Uhaba wa mafuta Dar

hubby

Member
Mar 5, 2011
93
5
jaman, kwani kunamgomo wamafuta? shel ya nne nimekosa. nimepak nipo kwa daladala sasa.
tafadhali tujulishane yalipo
 
mliopo maoficni 2juzeni ni nn kinaendelea juu ya swala hili. au ndio wameshtuka sasa kuwa watapata hasara baada ya pesa ya tanzania kuyumba x 2
 
wahuni hao walisingizia toka ijumaa baada ya kutonywa kuwa leo bei itapanda.we vuta muda baadae wakishaprogram mashine zao yatakuwa bwerere
 
Petroli imeadimika tangu wiki 2 zilizopita hakuna meli ilishusha petroli, dizeli nayo iko hatihati wakati wowote nayo itakata. Petroli iliokuwa inauzwa ni ile ilikuwamo kwenye maghala ya mafuta, waagizaji naona wanaweka mgomo baridi kwasababu ya kushuka kwa shilingi yetu, wanasubiri dola ikipanda ndipo walipie ili waje kuuza kwa bei kubwa.
 
Hongera JK kwakudhihirishia ulegelege wa serikali yako
 
Ewura, BP, GAPCO, OIL COM, LAKEOIL nawengine huko maofisin tuelezeni wenzenu. nivyema tujue kama stock imeisha au bado ipo.
 
Nilipita leo asubuhi pale BP-Manyanya nikakuta bonge la foleni, hii hali kwa Tanga sasa imekua hali ya kawaida sana, nilienda Tanga alhamisi hakukuwa na petrol zaidi ya ile iliyokuwa inauzwa kwenye madumu ya lita tano kwa bei ya shilingui elfu tatu kwa lita, wakati wa kuondoka kurudi Dar ilibidi kila kituo njiani tuulizie mafuta hadi tulipofika Kabuku kuna kituo kimoja tu ndio kilikua na petrol kwa bei ya sh.2200 kwa lita.
Hongera JK kwakudhihirishia ulegelege wa serikali yako
 
Petroli imeadimika tangu wiki 2 zilizopita hakuna meli ilishusha petroli, dizeli nayo iko hatihati wakati wowote nayo itakata. Petroli iliokuwa inauzwa ni ile ilikuwamo kwenye maghala ya mafuta, waagizaji naona wanaweka mgomo baridi kwasababu ya kushuka kwa shilingi yetu, wanasubiri dola ikipanda ndipo walipie ili waje kuuza kwa bei kubwa.
sasa yule mzembe wa ewura alikuwa anatueleza nini?
ooh.....tuna reserv ya kutosha.....msiwe na hof. kwanini hawa vilaza wanatutania? patakuwa padogo hapa.!!!
 
Back
Top Bottom