Uhaba mkubwa wa petrol mji wa tabora

KELVIN GASPER

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,066
454
Toka jana mji wa tabora umekumbwa na uhaba wa petrol.vituo vya kuuzia bidhaa hii misururu ya pikipiki na magari ni mirefu. Kuna mtu ameninong'oneza kuwa, kuna uwezekano ni hujuma inayofanywa na wafanyabiashara ya bidhaa hii. pamoja na kuwa siku ya leo ni sikukuu na mapumziko wa mwisho wa wiki, shamrashamra si sana kama tulivyozoea.
 
Inawezekana maana Tanzania hii haieleweki kabisa, hata jana nilikwenda kituo kimoja hapa Arusha kinaitwa Panone - kilichopo Shamsi nikaambiwa petrol hakuna nikaamua kuondoka lakini ilinipa alarm fulani kichwani ambayo siyo nzuri.
 
Back
Top Bottom