Ugonjwa wa zinaa unaofanya uume ukatike.

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,683
8,829
Nimesikia kuna ugonjwa unaitwa pangusa, mwanaume akiwa nao na asipopata matibabu kwa wakati basi uume wake huanza kukatika vipande na kutoweka kabisa.

Je kwa wanawake dalili za ugonjwa huu ni zipi? Na ni yepi madhara yanayoweza kumpata dada aliyeathirika na gonjwa hili?
 
si vizuri kuweka upupu humu maana watu wanatafuta Elimu, kama huna cha kuchangia then nyamaza!!

hajaongea upupu, kuna huo ugonjwa kweli, uume unalika sana na sehemu za kike zinamöng'onyoka. Matiti nayo yanapoteza mwonekano. Mimi niliona kwenye magazine. Sikufatilia zaidi ila hapa madaktari wanaweza wakawa washaelewa kinachoongelewa.
 
si vizuri kuweka upupu humu maana watu wanatafuta Elimu, kama huna cha kuchangia then nyamaza!!

je kuuliza ni upupu? Je hamna ugonjwa waitwa pangusa? Kukumbuka kuuliza si ujinga
 
huo ugonjwa unaitwa chancroid au pangusa dalili zake kwa mwanaume nikipere kinachouma sana sehemu yoyote kwenye sehemu ya uume na kinatokea baada ya siku nne hadi nane baada ya kujamiana na mwanamke mwenye na hao wadudau wanaosmabsiha ugnjwa huu wanaitwa H.ducrey. kwa wanawake dalili huchelewa kuonekana ila navyo ni vipere vinavyouma sana.tiba yake ni antibiotic sana sana doxycline
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom