Ugonjwa wa Saratani Kansa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
Kupambana na ugonjwa huu ni vigumu na unatisha.Kuna aina nyingi ya saratani jambo linalofanya kuwa gumu kukabiliana nao.

Saratani ya ubongo Ubongo ni mojawapo ya kiungo kitovu cha mtandao wa mishipa ya kusafirisha damu mwilini.Ubongo na uti wa mgongo huweza kuwa na uvimbe wa saratani ingawa ni nadra sana, ugonjwa huu ni hatari sana ikiwa hautatibiwa mapema.
Kisababishacho saratani ya ubongo haijulikani, lakini kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha ugonjwa huu:

  • Ukiwa na saratani katika sehemu zengine za mwili huweza kusambaa hadi katika ubongo
  • Kufanya kazi katika kampuni za kusafisha mafuta, bidhaa za mipira , zinazotengeza madawa.
Dalili
Uvimbe unaweza kujitokeza katika sehemu yoyote ya ubongo,kwa hivyo dalili zitatofautiana.
Sehemu ya mbele (frontal)

  • Kuumwa na kichwa
  • Ulegevu mwilini
  • Kufa ganzi sehemu moja ya mwili
  • Mabadiliko ya haraka mwilini,hisia ,moyo na tabia
  • Kuchanganyikiwa na akili
Sehemu sawia (parietal)

  • Kuumwa na kichwa
  • Kushikwa na kifafa
  • Kufa ganzi
  • Shida unapoandika hati
  • Shida unapojaribu kusonga kwa namna Fulani
  • Shida kufanya hesabu rahisi
Sehemu ya nyuma (occipital)

  • Kuumwa na kichwa
  • Kushindwa kuona vizuri
  • Kuona mazingaumbwe yako tu
  • Kushikwa na kifafa
Kwa muda mfupi (temporal)

  • Kuumwa na kichwa
  • Kushikwa na kifafa
  • Shida ya kufuata maagizo kwa pamoja
  • Kutong’amua usumbufu wa hali ya anga.
Uvimbe katika mtandao wa mishipa huweza kumfanya mtu ashindwe kusimama wima, kutapika,na kubadilika kwa ghafla kwa hisia.

Saratani ya Matiti Wanawake walio hatarini kuupata ugonjwa huu ni:

  • Ajuza
  • Wenye asili ya kihindi au kizungu
  • Wanawake ambao washaugua saratani ya matiti mbeleni
  • Walio na jamaa wa karibu ( mama,dada,binti) ambao washawahi kuuguwa ugonjwa huu
  • Wanawake wenye hitilafu ya kinasaba kutoka kwa mzazi aliyeugua ugonjwa huu
  • Wanawake tasa au waliowapata watoto baada ya umri wa miaka 30.
  • Wanawake waliopata damu yao ya hedhi wakiwa na umri mdogo kabla miaka 12.
  • Wanawake waliokatika hedhi wakiwa wamechelewa baada ya miaka 50.
  • Wanawake wenye matiti makubwa(daktari anaweza kukuelezea baada ya uchunguzi wa mammogram)
  • Wanawake waliotumia tembe za uzazi,waliokosa kunyonyesha, wanaokunywa pombe kila siku,wanaonenepa sana baada ya kukatika hedhi,wanaomeza vidonge vya kubadilisha nasaba,na wale ambao hawakunyonyesha.
Dalili ya saratani ya Matiti:

  • Uvimbe kwenye matiti au kwapa
  • Mabadiliko katika umbo la matiti
  • Chuchu kutoa usaa ama titi kuwa nyororo
  • Chuchu kupotelea ndani ya matiti badala ya kujitokeza nje
  • Madutamaduta kwenye matiti kama yale ya maganda ya machungwa
  • Kubadilika kwa ngozi ya matiti na chuchu kuonekana zimefura
Ukiwa na mojawapo ya dalili hizi muone daktari,ni vyema kufanyiwa uchunguzi wa mammograms.
Fanyiwa uchunguzi wa matiti mapema ili kutambua saratani ya matiti mapema.Kujichunguza kila mwezi na kufanyiwa uchunguzi wa mammograms mara moja kwa mwaka hasa wanaozidi miaka 40 in bora.
 
Saratani ya mlango wa kizazi Hii ni njia ya kizazi kati ya uke na mji wa mamba.Ugonjwa huu ukijulikana mapema unweza kutibiwa, wakati wa kufanyiwa uchunguzi wa ubwabwa na fupa nyongo.
Nani yumo hatarini

  • Wanawake wengine wamo hatarini mwa kupata saratani ya mlango wa kizazi:
  • Wanawake wasioenda kwa uchunguzi wa kila mwaka wa fupa nyongo na ubwabwa
  • Wanawake walio na "human papillomavirus" HPV au genital warts
Kuvuta sigara, kuwa na ukimwi,na kutokula vyakula bora huweza kusababisha saratani ya mlango wa kizazi.
Dalili ya saratani ya mlango wa kizazi

  • Hamna dalili zozote mpaka unaposambaa nje ya mlango wa kizazi.
Hali hii ikitokea waweza kuwa:

  • Kuvuja damu katikati ya siku za hedhi, unaposhiriki ngono au baada ya hedhi kukatika
  • Kuvuja damu nyingi zaidi ya kawaida.
Ukiona dalili hizi pata ushauri wa daktari.

Saratani ya Utumbo Mpana na Sehemu za Siri za Nyuma Saratani ya sehemu za siri za nyuma zipo. Huambukiza sehemu za mmeng'enyo (digestive system) wa chakula. Watu wengi wanaopata ugonjwa huu ni wa umri wa zaidi ya miaka 50.

Matibabu yake yameimarika, lakini ni vyema kugundua mapema.Watu wanahitaji kufahamu madhara, dalili na umuhimu wa kupimwa na madaktari wao.

Walio hatarini kupatwa na saratani ya utumbo mpana:

  • Ajuza wa miaka 50 na zaidi.
  • Wanaokula vyakula vya mafuta mengi
  • Walio na maoteo (ndani ya utumbo mpana )
  • Wanawake ambao washaugua saratani ya matiti, au mji wa mimba au yai la mwanamke
  • Aliye wahi kuugua saratani ya utumbo mpana
  • Aliye na mzazi, jamaa au motto aliye na saratani ya utumbo mpana
  • Aliye na utumbo mpana wenye kiungulia (donda au uvimbe)
Dalili za saratani ya utumbo mpana ni:

  • Kuvimbiwa, kusokotwa au kujihisi tumbo limejaa sehemu ya chini
  • Kuhara, kufunga choo au kujihisi haukamilishi haja kabisa
  • Damu katika kinyesi
  • Kinyesi chembamba zaidi
  • Kupoteza uzito bila ya kufahamu kisababu
  • Kujihisi mchovu kila wakati
  • Kutapika
Hizi dalili zinaweza kusababishwa na shida nyingine ambazo si saratani. Muulize daktari wako ili ufahamu
Saratani ya Mapafu Saratani ya mapafu ndio aina hatari ya magonjwa ya saratani, lakini ndio rahisi kuzuia.Uvutaji wa sigara husababisha asilimia 9% kwa 10% ya kesi za ugonjwa huu.Matibabu ya ugonjwa huu yameimarika lakini bado hakuna tiba.Ili kuimarisha afya yako na walio karibu yako usivute sigara.
Pia hakikisha nyumba yako haina 'radon' gesi hatari isababishayo saratani ya mapafu.

Watu wengine wamo hatarini zaidi ya kupata saratani ya mapafu.

  • Wanaovuta sigara au kiko, na hata usipo vuta moshi ndani, umo hatarini kupata saratani ya domo. Kukaa karibu na mvutaji sigara au kuishi naye ama kufanya kazi katika mazingira yenye moshi huongeza hatari hasa kwa watoto wasio na namna.
  • Kiwango kingi cha madini ya radon nyumbani mwako.
  • Kufanya kazi karibu na asbestos, aseniki, uranium au bidhaa kutokana na mafuta.
  • Kuwa na kifua kikuu.
Ishara ya saratani ya mapafu ni nini?

  • Kikohozi kisicho kwisha.
  • Kuumwa na kifua.
  • Kukohoa damu
  • Shida ya kupumua au kukorota upumuapo
  • Nimonia(kichomi) au mkamba usiyokwisha
  • Uvimbe shingoni au usoni.
  • Kupoteza uzito wako bila sababu au kutohisi njaa.
  • Kujihisi mchovi kila wakati.

Ukiwa na mojawapo ya dalili hizi, hasa ikiwa umo hatarini ya kupata huu ugonjwa, mwone daktari.

Saratani ya Mdomo Saratani ya mdomo husambaa kinywani kwenye ulimi, ufizi, kidakatonge na koromeo.Watu hawatambui ugonjwa huu upesi.Wanaovuta sigara,kuvuta tumbako au kunywa kunywa pombe wamo hatarini mwa kupata sratani yam domo.Unaweza kusaidiwa ili kuwacha sigara au pombe.Ugonjwa huu unaweza kitibiwa ukiuwahi mapema.
Ishara ya saratani ya Mdomo ni kama zifuatazo;

  • Uvimbe sehemu yoyote mdomoni, ambao hauponiau kutokuwa na damu kwa urahisi.
  • Kuhisi uchungu au kufa ganzi mdomoni.
  • Kuhisi uchungu unapo tafuna, kumeza chakula ulimi unapotumika au taya.
  • Kubadilika kwa sauti yako.
  • Kuumwa na sikio.
  • Koo linalowasha bila kupona.
Ukiwa na ishara hizi mwone daktari haraka sana.
 
Saratani ya kifuko cha mayai ya uzazi cha mwanamke. Vifuko hivi ni viwili vidogo vilivyo kila upande wa mji wa mimba. Saratani hii huwaambukiza wanawake walio zidi umri wa miaka 50. Ni vigumu kuitambua kwa hivyo ni muhimu kumtembelea daktari wako kila mwaka kwa uchunguzi wa fupanyonga bila kujali miaka yako.
Baadhi ya mambo yanayowatia wanawake hatarini kupata saratani ya kifuko cha mayai ni:

  • Ikiwa mtu yeyote wakike katika familia (mama,dada,nyanya) amewahi kua nao huu.
  • Umri kuzidi miaka 50.
  • Ukiwa tasa.
  • Ikiwa umewahi kuwa na saratani ya matiti au utumbo mpaua
Wanawake hutambua ungonjwa huu kama umeshaenea sana.

Ishara zengine ni kama:

  • Maumivu tumboni kama uliyejawa na hewa tumboni.
  • Kuendesha au kufunga choo
  • Kutohisi njaa au kutokula vizuri
  • Kupoteza au kuongeza uzito bila kisababu
  • Kuvuja damu wakati haupo katika hedhi.

Dalili hizi zaweza kuwa kitu kingine, lakini ni vyema kuongea na daktari unapoziona.

Saratani ya tezi kibofu cha mkojo (Prostate) Saratani ya mamalia dume (tezi kibofu) huwa kati ya wanaume. Huweza kutibiwa inapogunduliwa mapema. Ugonjwa huu huwaambukiza wanaume walio na umri wa miaka 55 na zaidi. Mamalia dume hutengeza manii ambayo mbegu za kiume hupatikana. Huambukiza chini ya kibofu cha mikojo.
Wanaume wengine wamo hatarini kupata saratani ya mamalia dume:

  • Walio na umri wa miaka 55 na zaidi
  • Wanaume ambao wamekuwa na jamaa kama baba au kaka ambao washauguwa ugonjwa huu.
  • Wanaume weusi.
  • Kula vyakula vingi vya mafuta, nyama nyekundu, siagi na maziwa.
Dalili ya saratani ya mamalia dume:

  • Kukojoakojoa kila mara hasa wakati wa siku.
  • Kuwa na shida za kuanza kukojoa au kusitiri mikojo.
  • Kukojoa kwa matone matone.
  • Kuhisi uchungu au moto unapokojoa
  • Kuwa na shida kusimika.
  • Kuhisi uchungu unapomwaga manii.
  • Kukojoa mikojo iliyochanganyika na damu.
  • Maumivu ya kila mara hasa sehemu za mgongo,nyonga au mapajani sehemu za juu.
Daktari wako anaweza kukufanyia uchunguzi kutambua kama una saratani ya mamalia dume.Kwa kutumia kemikali ya “Prostate specific antigen” au PSA katika damu yako, ikiwa una idadi ya juu ya PSA , waweza kuwa na ugonjwa huu.

Saratani ya Ngozi Watu wengine wamo hatarini zaidi kupata saratani ya ngozi:

  • Walio weupe, na macho na ngozi ilio parara.
  • Walio na mabakabaka mwilini.
  • Wanaoishi sehemu ambayo kuna jua jingi.
  • Walio na maturuturu kutokana na miale ya jua.
Dalili za Saratani ya Ngozi ni nini?

  • Uvimbe au mabaka katika ngozi
  • Uvimbe katika ngozi usiopona
  • Katika hatua za mwisho unahisi mwasho, ngozi inayowaka moto na kutokwa damu.
Saratani ya ngozi inaweza kutibika ikitambulikana mapema. Hata wale wasiokuwa hatarini ya kupata saratani ya ngozi lazima watumie mafuta ya kujipaka ili kuzuia miale ya jua hasa kati ya saa 4 asubuhi na saa 9 mchana.

Saratani ya Makodo (Testicular)
Saratani ya makodo au mapumbu ndio inayojulikana sana hasa kwa vijana barubaru wa kati ya miaka 15 hadi 35. Habari njema ni kuwa saratani ya makodo ni haba sana na inatibika.

Licha ya kutoa mbegu za uzazi, makodo pia hutengeza homoni za kiume. Makodo ni laini, mviringo na ngumu. Wanaume wanahitaji kujikagua wenyewe mara kwa mara kila mwezi kutambua mabadiliko.

Wanaume wengine wamo hatarini zaidi mwa kupata saratani ya makodo:

  • Watoto wa kiume waliozaliwa na makodo isiyo ning’inia chini.
  • Wanaume ambao makodo yao hayakumea kawaida.
  • Wanaume waliozaliwa na Klinefelter’s Syndrome (Hali ya mvulana kuzaliwa na chromosome zaidi ya 46 iliyo kawaida. Akikua mwili wake una dalili za uke kama vile matiti na kutokuwa na nywele usoni)
Dalili za Saratani ya Makodo

  • Uvimbe usiyo na uchungu kwa kodo
  • Uchungu ndani ya kodo
  • Kodo kuwa ngumu na kubadilika kwa saizi. (Kuvimba au kurudi). Kuhisi uzito kwa mapumbu (mfuko wa makodo)
  • Uchungu usio mkali kwa manena na sehemu ya chini ya tumbo.
  • Matiti kuwa makubwa au kuuma.
Hizi pia zinaweza kuwa dalili za magonjwa mengine ambayo si saratani. Ukihisi dalili yoyote ya hizi, muone daktari.

Saratani ya Makodo (Testicular) Saratani ya makodo au mapumbu ndio inayojulikana sana hasa kwa vijana barubaru wa kati ya miaka 15 hadi 35. Habari njema ni kuwa saratani ya makodo ni haba sana na inatibika.

Licha ya kutoa mbegu za uzazi, makodo pia hutengeza homoni za kiume. Makodo ni laini, mviringo na ngumu. Wanaume wanahitaji kujikagua wenyewe mara kwa mara kila mwezi kutambua mabadiliko.

Wanaume wengine wamo hatarini zaidi mwa kupata saratani ya makodo:

  • Watoto wa kiume waliozaliwa na makodo isiyo ning’inia chini.
  • Wanaume ambao makodo yao hayakumea kawaida.
  • Wanaume waliozaliwa na Klinefelter’s Syndrome (Hali ya mvulana kuzaliwa na chromosome zaidi ya 46 iliyo kawaida. Akikua mwili wake una dalili za uke kama vile matiti na kutokuwa na nywele usoni)
Dalili za Saratani ya Makodo

  • Uvimbe usiyo na uchungu kwa kodo
  • Uchungu ndani ya kodo
  • Kodo kuwa ngumu na kubadilika kwa saizi. (Kuvimba au kurudi). Kuhisi uzito kwa mapumbu (mfuko wa makodo)
  • Uchungu usio mkali kwa manena na sehemu ya chini ya tumbo.
  • Matiti kuwa makubwa au kuuma.
Hizi pia zinaweza kuwa dalili za magonjwa mengine ambayo si saratani. Ukihisi dalili yoyote ya hizi, muone daktari.
 
Saratani ya Mapafu Saratani ya mapafu ndio aina hatari ya magonjwa ya saratani, lakini ndio rahisi kuzuia.Uvutaji wa sigara husababisha asilimia 9% kwa 10% ya kesi za ugonjwa huu.Matibabu ya ugonjwa huu yameimarika lakini bado hakuna tiba.Ili kuimarisha afya yako na walio karibu yako usivute sigara.
Pia hakikisha nyumba yako haina 'radon' gesi hatari isababishayo saratani ya mapafu.

Watu wengine wamo hatarini zaidi ya kupata saratani ya mapafu.

  • Wanaovuta sigara au kiko, na hata usipo vuta moshi ndani, umo hatarini kupata saratani ya domo. Kukaa karibu na mvutaji sigara au kuishi naye ama kufanya kazi katika mazingira yenye moshi huongeza hatari hasa kwa watoto wasio na namna.
  • Kiwango kingi cha madini ya radon nyumbani mwako.
  • Kufanya kazi karibu na asbestos, aseniki, uranium au bidhaa kutokana na mafuta.
  • Kuwa na kifua kikuu.
Ishara ya saratani ya mapafu ni nini?

  • Kikohozi kisicho kwisha.
  • Kuumwa na kifua.
  • Kukohoa damu
  • Shida ya kupumua au kukorota upumuapo
  • Nimonia(kichomi) au mkamba usiyokwisha
  • Uvimbe shingoni au usoni.
  • Kupoteza uzito wako bila sababu au kutohisi njaa.
  • Kujihisi mchovi kila wakati.

Ukiwa na mojawapo ya dalili hizi, hasa ikiwa umo hatarini ya kupata huu ugonjwa, mwone daktari.

Saratani ya Matiti Wanawake walio hatarini kuupata ugonjwa huu ni:

  • Ajuza
  • Wenye asili ya kihindi au kizungu
  • Wanawake ambao washaugua saratani ya matiti mbeleni
  • Walio na jamaa wa karibu ( mama,dada,binti) ambao washawahi kuuguwa ugonjwa huu
  • Wanawake wenye hitilafu ya kinasaba kutoka kwa mzazi aliyeugua ugonjwa huu
  • Wanawake tasa au waliowapata watoto baada ya umri wa miaka 30.
  • Wanawake waliopata damu yao ya hedhi wakiwa na umri mdogo kabla miaka 12.
  • Wanawake waliokatika hedhi wakiwa wamechelewa baada ya miaka 50.
  • Wanawake wenye matiti makubwa(daktari anaweza kukuelezea baada ya uchunguzi wa mammogram)
  • Wanawake waliotumia tembe za uzazi,waliokosa kunyonyesha, wanaokunywa pombe kila siku,wanaonenepa sana baada ya kukatika hedhi,wanaomeza vidonge vya kubadilisha nasaba,na wale ambao hawakunyonyesha.
Dalili ya saratani ya Matiti:

  • Uvimbe kwenye matiti au kwapa
  • Mabadiliko katika umbo la matiti
  • Chuchu kutoa usaa ama titi kuwa nyororo
  • Chuchu kupotelea ndani ya matiti badala ya kujitokeza nje
  • Madutamaduta kwenye matiti kama yale ya maganda ya machungwa
  • Kubadilika kwa ngozi ya matiti na chuchu kuonekana zimefura
Ukiwa na mojawapo ya dalili hizi muone daktari,ni vyema kufanyiwa uchunguzi wa mammograms.
Fanyiwa uchunguzi wa matiti mapema ili kutambua saratani ya matiti mapema.Kujichunguza kila mwezi na kufanyiwa uchunguzi wa mammograms mara moja kwa mwaka hasa wanaozidi miaka 40 in bora.

Saratani ya Mdomo Saratani ya mdomo husambaa kinywani kwenye ulimi, ufizi, kidakatonge na koromeo.Watu hawatambui ugonjwa huu upesi.Wanaovuta sigara,kuvuta tumbako au kunywa kunywa pombe wamo hatarini mwa kupata sratani yam domo.Unaweza kusaidiwa ili kuwacha sigara au pombe.Ugonjwa huu unaweza kitibiwa ukiuwahi mapema.
Ishara ya saratani yam domo ni kama zifuatazo;

  • Uvimbe sehemu yoyote mdomoni, ambao hauponiau kutokuwa na damu kwa urahisi.
  • Kuhisi uchungu au kufa ganzi mdomoni.
  • Kuhisi uchungu unapo tafuna, kumeza chakula ulimi unapotumika au taya.
  • Kubadilika kwa sauti yako.
  • Kuumwa na sikio.
  • Koo linalowasha bila kupona.
Ukiwa na ishara hizi mwone daktari haraka sana.

Saratani ya Ngozi Watu wengine wamo hatarini zaidi kupata saratani ya ngozi:

  • Walio weupe, na macho na ngozi ilio parara.
  • Walio na mabakabaka mwilini.
  • Wanaoishi sehemu ambayo kuna jua jingi.
  • Walio na maturuturu kutokana na miale ya jua.
Dalili za Saratani ya Ngozi ni nini?

  • Uvimbe au mabaka katika ngozi
  • Uvimbe katika ngozi usiopona
  • Katika hatua za mwisho unahisi mwasho, ngozi inayowaka moto na kutokwa damu.
Saratani ya ngozi inaweza kutibika ikitambulikana mapema. Hata wale wasiokuwa hatarini ya kupata saratani ya ngozi lazima watumie mafuta ya kujipaka ili kuzuia miale ya jua hasa kati ya saa 4 asubuhi na saa 9 mchana.

Saratani ya Nyumba ya Uzazi. (Uterine)
Aina hii ya saratani huwa katika nyumba ya uzazi, pale mtoto anakulia. Kuna aina tofauti ya saratani ya nyumba ya uzazi: Endometrial (Utando unaofunikasehemu ya ndani ya nyumba ya uzazi) na Sarcomas (uvimbe wa saratani katika misuli au mifupa). Endometrial ndio inayojulikana zaidi na huvamia sehemu nyepesi ya nyumba ya uzazi. Sarcomas ambayo ni nadra sana huvamia misuli inayosaidia nyumba ya
uzazi, ni muhimu kumuona daktari kila mwaka kwa uchunguzi.

Ni zipi hatari za kuwa na ugonjwa huu?

  • Kuwa na miaka 50 na zaidi.
  • Kutumia madawa yenye hormone
  • Ukiwa na endometrial hyperplasia
  • Uzito wa kupita kiasi
  • Ikiwa umewahi kuwa na saratani ya utumbo mpana (Colorectal)

Ishara zake ni zipi?

  • Uvujaji wa damu usio wa kawaida kutoka kwa uke
  • Kuvuja zaidi wakati wa hedhi
  • Uchungu unapokojoa au kushiriki ngono
  • Maumivu sehemu ya chini ya tumbo
  • Damu katika kinyesi au mkojo wako

Ishara hizi zaweza kuwa kitu kingine, lakini muone daktari mara moja ukihisi mojawapo ya dalili hizi.

Saratani ya Utumbo Mpana na Sehemu za Siri za Nyuma
Saratani ya sehemu za siri za nyuma zipo. Huambukiza sehemu za mmeng'enyo (digestive system) wa chakula. Watu wengi wanaopata ugonjwa huu ni wa umri wa zaidi ya miaka 50.

Matibabu yake yameimarika, lakini ni vyema kugundua mapema.Watu wanahitaji kufahamu madhara, dalili na umuhimu wa kupimwa na madaktari wao.

Walio hatarini kupatwa na saratani ya utumbo mpana:

  • Ajuza wa miaka 50 na zaidi.
  • Wanaokula vyakula vya mafuta mengi
  • Walio na maoteo (ndani ya utumbo mpana )
  • Wanawake ambao washaugua saratani ya matiti, au mji wa mamba au yai la mwanamke
  • Aliye wahi kuugua saratani ya utumbo mpana
  • Aliye na mzazi, jamaa au motto aliye na saratani ya utumbo mpana
  • Aliye na utumbo mpana wenye kiungulia (donda au uvimbe)
Dalili za saratani ya utumbo mpana ni:

  • Kuvimbiwa, kusokotwa au kujihisi tumbo limejaa sehemu ya chini
  • Kuhara, kufunga choo au kujihisi haukamilishi haja kabisa
  • Damu katika kinyesi
  • Kinyesi chembamba zaidi
  • Kupoteza uzito bila ya kufahamu kisababu
  • Kujihisi mchovu kila wakati
  • Kutapika
Hizi dalili zinaweza kusababishwa na shida nyingine ambazo si saratani. Muulize daktari wako ili ufahamu.
 
Saratani ya kifuko cha mayai ya uzazi cha mwanamke. Vifuko hivi ni viwili vidogo vilivyo kila upande wa mji wa mimba. Saratani hii huwaambukiza wanawake walio zidi umri wa miaka 50. Ni vigumu kuitambua kwa hivyo ni muhimu kumtembelea daktari wako kila mwaka kwa uchunguzi wa fupanyonga bila kujali miaka yako.

Baadhi ya mambo yanayowatia wanawake hatarini kupata saratani ya kifuko cha
mayai ni:

  • Ikiwa mtu yeyote wakike katika familia (mama,dada,nyanya) amewahi kua nao huu.
  • Umri kuzidi miaka 50.
  • Ukiwa tasa.
  • Ikiwa umewahi kuwa na saratani ya matiti au utumbo mpaua
Wanawake hutambua ungonjwa huu kama umeshaenea sana.

Ishara zengine ni kama:

  • Maumivu tumboni kama uliyejawa na hewa tumboni.
  • Kuendesha au kufunga choo
  • Kutohisi njaa au kutokula vizuri
  • Kupoteza au kuongeza uzito bila kisababu
  • Kuvuja damu wakati haupo katika hedhi.

Dalili hizi zaweza kuwa kitu kingine, lakini ni vyema kuongea na daktari unapoziona.

Saratani ya mlango wa kizazi Hii ni njia ya kizazi kati ya uke na mji wa mamba.Ugonjwa huu ukijulikana mapema unweza kutibiwa, wakati wa kufanyiwa uchunguzi wa ubwabwa na fupa nyongo.
Nani yumo hatarini

  • Wanawake wengine wamo hatarini mwa kupata saratani ya mlango wa kizazi:
  • Wanawake wasioenda kwa uchunguzi wa kila mwaka wa fupa nyongo na ubwabwa
  • Wanawake walio na “human papillomavirus” HPV au genital warts
Kuvuta sigara, kuwa na ukimwi,na kutokula vyakula bora huweza kusababisha saratani ya mlango wa kizazi.
Dalili ya saratani ya mlango wa kizazi

  • Hamna dalili zozote mpaka unaposambaa nje ya mlango wa kizazi.
Hali hii ikitokea waweza kuwa:

  • Kuvuja damu katikati ya siku za hedhi, unaposhiriki ngono au baada ya hedhi kukatika
  • Kuvuja damu nyingi zaidi ya kawaida.
Ukiona dalili hizi pata ushauri wa daktari.

Saratani ya tezi kibofu cha mkojo (Prostate) Saratani ya mamalia dume (tezi kibofu) huwa kati ya wanaume. Huweza kutibiwa inapogunduliwa mapema. Ugonjwa huu huwaambukiza wanaume walio na umri wa miaka 55 na zaidi. Mamalia dume hutengeza manii ambayo mbegu za kiume hupatikana. Huambukiza chini ya kibofu cha mikojo.
Wanaume wengine wamo hatarini kupata saratani ya mamalia dume:

  • Walio na umri wa miaka 55 na zaidi
  • Wanaume ambao wamekuwa na jamaa kama baba au kaka ambao washauguwa ugonjwa huu.
  • Wanaume weusi.
  • Kula vyakula vingi vya mafuta, nyama nyekundu, siagi na maziwa.
Dalili ya saratani ya mamalia dume:

  • Kukojoakojoa kila mara hasa wakati wa siku.
  • Kuwa na shida za kuanza kukojoa au kusitiri mikojo.
  • Kukojoa kwa matone matone.
  • Kuhisi uchungu au moto unapokojoa
  • Kuwa na shida kusimika.
  • Kuhisi uchungu unapomwaga manii.
  • Kukojoa mikojo iliyochanganyika na damu.
  • Maumivu ya kila mara hasa sehemu za mgongo,nyonga au mapajani sehemu za juu.
Daktari wako anaweza kukufanyia uchunguzi kutambua kama una saratani ya mamalia dume.Kwa kutumia kemikali ya “Prostate specific antigen” au PSA katika damu yako, ikiwa una idadi ya juu ya PSA , waweza kuwa na ugonjwa huu.

Saratani ya ubongo
Ubongo ni mojawapo ya kiungo kitovu cha mtandao wa mishipa ya kusafirisha damu mwilini.Ubongo na uti wa mgongo huweza kuwa na uvimbe wa saratani ingawa ni nadra sana, ugonjwa huu ni hatari sana ikiwa hautatibiwa mapema.

Kisababishacho saratani ya ubongo haijulikani, lakini kuna mambo mengi yanayoweza kusababisha ugonjwa huu:

  • Ukiwa na saratani katika sehemu zengine za mwili huweza kusambaa hadi katika ubongo
  • Kufanya kazi katika kampuni za kusafisha mafuta, bidhaa za mipira , zinazotengeza madawa.
Dalili
Uvimbe unaweza kujitokeza katika sehemu yoyote ya ubongo,kwa hivyo dalili zitatofautiana.

Sehemu ya mbele (frontal)

  • Kuumwa na kichwa
  • Ulegevu mwilini
  • Kufa ganzi sehemu moja ya mwili
  • Mabadiliko ya haraka mwilini,hisia ,moyo na tabia
  • Kuchanganyikiwa na akili
Sehemu sawia (parietal)

  • Kuumwa na kichwa
  • Kushikwa na kifafa
  • Kufa ganzi
  • Shida unapoandika hati
  • Shida unapojaribu kusonga kwa namna Fulani
  • Shida kufanya hesabu rahisi
Sehemu ya nyuma (occipital)

  • Kuumwa na kichwa
  • Kushindwa kuona vizuri
  • Kuona mazingaumbwe yako tu
  • Kushikwa na kifafa
Kwa muda mfupi (temporal)

  • Kuumwa na kichwa
  • Kushikwa na kifafa
  • Shida ya kufuata maagizo kwa pamoja
  • Kutong’amua usumbufu wa hali ya anga.
Uvimbe katika mtandao wa mishipa huweza kumfanya mtu ashindwe kusimama wima, kutapika,na kubadilika kwa ghafla kwa hisia. Naishia hapo kwa leo Asanteni wote mliokuwa mnanifuatilia.
 
Ahsante kwa ufafanuzi juu ya dalili zake
Dawa yake au kuzuia ni kutumia matunda ya msatafeli (Annona muricata) na tayari unaugonjwa na hakuna tiba nzuri kama kutumia majani ya mstafeli na tawi lake (Leaves and stem) chemsha pamoja kama dakika 15 hadi 20 na kunywa asubuhi, mchana na jioni kiasi cha nusu kikombe cha kahawa ~(mililita za dawa 20-30/vijiko vya chai 4-6) na endelea kwa siku 21. Dawa hii ni bora zaidi kuliko chemotherapy ambayo pia ni ghali (single doze~700,000/=tshs na ni mara moja tu) saidia ndugu, jamaa, majirani, unawaona wanatatizo hili na marafiki wenye tatizo hili dawa hii
 
Nitoe pongez kwa shule iliyotolewa.il kuzuia saratan isitukabili tunapaswa kujua nin kinatokea kwenye seli zetu mpaka saratan inatokea. in a normal person the body is under constant metabolism and during the proces a lot of reactive oxyen species are produced.these are known as free radicals that are suposed to be removed by the body.the body have a mechanism by which it get rid of all these free radicals through oxidation-reduction reactions using glutathione as an antioxidant.glutathion and other potent antioxidant systems are proteins that are synthesized in the body using amino acids,vitamins and minerals
Any condition that depletes amino acids particularly essential amino acids,vitamins and minerals result in the decrease in the level of antioxidant system thus favouring accumulation of free radicals.
Its the accumulation of free radicals that cause cerry injury,cause mutation and result in abnormal cellular proliferation thus culminating into cancer.that is the molecular mechanism underlying the genesis of cancer.
PREVENTION
The target is to increase the level of antioxidants in the body so that the damaging reactive oxygen species are not allowed to accumulate and cause cell injury.
Thus we need to ensure adequate supply of all essential amino acids,vitamins and minerals in our bodies.the important ones are vitamin c,selenium,vitamin b12,beta carotene,poly unsaturated fatty acids, zinc, and many others.
Some times its necessary supplimenting our bodies with all what it needs if u ar not suse whether you ar getting the required ammounts.
They ar all available in tanzania you just decide and you get them.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom