Ugonjwa wa Pumu (Bronchial Asthma): Chanzo, dalili na tiba

PUMU AU ASTHMA
Habari za leo ndugu msomaji wa makala zangu ni matumaini yangu unaendelea vizuri na kufurahia pale unaposoma makala hizi, leo Nina habar njema Kwa wale wote wanaosumbuliwa na pumu kwani suluhusho la matatizo yao limepatikana, hata hivyo napenda tufahamu huu ugonjwa ili tuweze kujikinga na kuwashaur ndugu zetu wenye matatizo haya wapate dawa hiyo,
38ea56972fa60b79bc5ddb6a72bf6f87.jpg

PUMU AU ASTHMA NI NINI???
pumu au asthma ni ugonjwa sugu ambao huathiri njia ya hewa ambazo huingiza na kutoa hewa katika mapafu,ugonjwa huu wa pumu hufanya kuta za ndani ya njia ya hewa kuvimba na hivyo hupunguza kiasi cha hewa kinachoingia na kutoka katika mapafu,

Hali hii husababisha mgonjwa kutoa mlio kama wa filimbi au mluzi wakati wa kupumua pia kubanwa na kifua, kushindwa kupumua vizuri na kukohoa sana,, watu wenye pumu Mara nyingi hupata Dalili hizo wakati wa usiku na asubuhi sana.

ugonjwa huu huwaathiri watu wa Rika zote ingawaje Mara nyingi huanza utotoni hivyo huwaathiri Zaidi watoto, inasadikika kuwa takribani watoto MILION sita nchini na watu wazima takriban 255,000 Duniani wanaugua ugonjwa huu.

ugonjwa huu wa pumu ni mpana sana kwasababu Kuna aina nyingi za pumu kutokana na visababishi vyake

AINA ZA PUMU
(1)PUMU YA UTOTONI (CHILD_ONSET ASTHMA)
hii ni aina ya pumu inayotokea baada ya mtoto kuwa Kwenye Vizio kama vile VUMBI LA WADUDU KAMA MENDE, MANYOYA YA WANYAMA KAMA PAKA, MBWA PIA KUTUMIA BABY WIPES ZENYE HARUFU (PERFUME)
pumu hii hutokea kwa kuwa mwili wa mtoto hutengeneza Kinga ya mwili (ANTIBODIES) za IgE zinazosababisha pumu.
Ugonjwa wa pumu ni sugu sana kwa watoto wanaozaliwa na uzito mdogo wenye asili ya kiafrika pia pumu ya utotoni huwaathiri Zaidi watoto wa kiume Zaidi

(2)PUMU YA UKUBWANI (ADULT_ONSET ASTHMA)
~pumu hii huanza baada ya kufika miaka 20, pumu hii huwaathiri sana wanawake kuliko wanaume na pia haitokei sana kama pumu ya utotoni, Vizio kama vile perfume /cream zenye harufu kali /sabuni nk ndio husababisha pumu hii kwa asilmia kubwa

(3)PUMU ITOKANAYO NA MAZOEZI (EXERCISE INDUCED ASTHMA)
Pumu hii huwatokea Zaidi wanaofanya mazoezi, ikiwa utakohoa na kukosa pumzi wakati wa mazoezi au baada ya mazoezi kuna uwezekano wa wewe kuwa na pumu ambayo inasababishwa na mazoezi pia hata kama sio mwana mazoezi kukimbia kwa kasi angalau dk 10 Kunaweza kusababisha kukosa pumzi kwa muda mrefu na kuonyesha kwamba una pumu

(4)PUMU ITOKANAYO NA KUKOHOA SANA (COUGH INDUCED ASTHMA
hii ni aina ya pumu ambayo ni ngumu sana na kuumiza vichwa vya madaktar kuigundua kwasababu katika pumu hii inawezekana isitokee hata Dalili zingine Zaidi ya kukohoa kitu ambacho madaktari wanalazimka kuchunguza sababu nyingine za kukohoa sana na kuhakiksha sio zinasababishwa na kukohoa huko.

(5)PUMU YA USIKU (NOCTURNAL ASTHMA)
pumu hii hutokea Kati ya saa Sita usiku na saa mbili asubuh, pumu hii huamshwa na vumbi la wadudu, rangi ya nyumba, na harufu ya gesi pia Mara nyingi wagonjwa wa pumu hii hushtuka usingizini wakati wa usiku wa manane baada ya kukosa pumzi.

(6)PUMU KALI ISIYOKUBALI DAWA (SEVERE ASTHMA)
wakati wagonjwa wengi wanapata unafuu baada ya kupata steroid wachache hawapati unafuu na hvyo kuhitaj matibabu makubwa Zaidi.

(7)PUMU YA NGOZI (ECZEMA /ATOPIC DERMATITIS)
huenda utashangaa kwamba kuna pumu ya ngozi na ipoje sasa maswali yako yote yamepata majibu, naomba ufahamu kwamba neno ECZEMA ambalo ni neno la kigiriki na linamaanisha KUTUTUMUKA SEHEMU YA NNJE YA NGOZI hali ambayo huonekana pale mtu anapopata maradhi haya

~ugonjwa huu huchangia asilmia 40 ya maradhi yote ya ngozi kwa ufupi huu ugonjwa huwapata Zaidi watoto na tatzo hil limekua likiumiza vichwa vya madaktar na wanasayansi wengi kutokana na kwamba haijajulkana sababu maalum, ugonjwa huu ni wa muda mrefu nikimaanisha kwamba mtu huweza kukaa na ugonjwa huu kwa muda mrefu ingawa si muda wote mwil huonyesha dalil za ugonjwa huu

CHANZO CHA UGONJWA WA PUMU
visababishi vya pumu havijulkani wazwaz ila vitu vinavyochangia pumu ni VIZIO mfano MOSHI WA SIGARA, BANGI, GESI, PERFUME, KUWA NA MSONGO WA MAWAZO, KUOGEA MAJI YA MOTO KILA WAKATI, KUTOKUPAKA MAFUTA, KUKAA KWENYE VUMBI, KUVAA MAVAZ YASIYO YA PAMBA.
DALILI ZA PUMU
NOTED :sio watu wote wenye Dalili hz wanapumu na sio wote wenye pumu Wana Dalili HIZI
• KUKOHOA ~kikohozi huwa kikali wakati wa usiku na asubuhi
• KUTOA SAUTI KAMA MLUZI WAKATI WA KUPUMUA
• KUBANWA NA KIFUA HASA NYAKATI ZA JIONI NA ASUBUHI SANA
• KUPUNGUKIWA PUMZI
• SEHEMU YA NGOZI ILIYOATHIRIWA HUWA INATUTUMKA
• MAENEO YENYE ATHAR KUBWA YANAVIMBA NA KUWA NA JOTO
• MUWASHO WA NGOZI HUWA MKALI WAKATI WA JIONI NA USKU

MATIBABU NA JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU
Matibabu ya ugonjwa kwa hospital yapo ya aina mbili moja ni Ile ya dharura ili kutoa tu msaada, dawa hii ni zile zinazosaidia kutanua njia ya hewa ambazo zimesinyaa (Bronchopdilators) pia husaidia kulainisha misuli ya njia za hewa iliyosinyaa,

Aina ya pili ya matibabu ni kutumia dawa za steroid za kuvuta (inhaled corticosteroids) ila kwa kawaida matibabu haya poa huwa chanzo cha matatizo mengine kutokana na kwamba dawa hizo ni za kemikal hivyo huwa si nzur kwani hazimaliz tatizo Zinampa mtu unafuu tu,

pamoja na hayo ugonjwa huu unaweza kuuepuka kwa kuepuka kutumia vitu vyenye mzio ambavyo ni PERFUME, SABUNI ZENYE HARUFU KALI, RANGI ZA NYUMBA, KUACHA KUVUTA SIGARA NA BANGI, ACHA KUNYWA POMBE, EPUKA KUVUTA VUMBI LA WANYAMA, NA EPUKA KUKAA MAZINGIRA YENYE UNYEVU,

~Ndugu msomaji Asante kwa kuwa Nami muda wote kupata elimu hii napenda kukuhabarisha kwamba DAWA YA PUMU IMEPATIKANA INATIBU NA KUONDOA TATIZO HILI LA PUMU, NI DAWA ASILI YENYE UWEZO WA MAAJABU MAANA INATIBU MAGONJWA TABIA SUGU HIVYO WASILIANA NAMI 075157247.
Ninakubaliana na wewe kuwa dawa ya pumu ipo kwani hata mimi mtoto wangu wa miaka 9 amepona huo ugonjwa huu ni mwaka wa tatu sasa.
 
I have been athmatic since birth. Is there cure?

.......ndiyohiyo
Mimi ni mdau wa afya...kwa taaluma yangu nafahamu kuwa hakuna tiba ya Pumu (kwamba haitibiki ikakoma isitokee tena). Pumu inafanana na allergy jinsi inavyotokea, kunakuwa na kianzishi (allergen/trigger) halafu njia ya hewa ina'respond' kwa kubana haswa wakati wa kutoa hewa nje. Kikohozi na mafua ni moja ya vianzishi. Wakati mwingine Pumu inaweza ikaacha yenyewe (hasa inayoanzia utotoni) lakini sio mara zote.

Dawa zilizopo sasa na kupatikana hospitali au madukani husimamisha 'attack' inapotokea kwa kupanua njia za hewa ili mgonjwa apumue kawaida, hazitibu kuponyesha tatizo moja kwa moja.

Sijasikia bado dawa ya kienyeji iliyothibitishwa kuwa inapunguza kutokea kwa pumu au kutibu pumu kabisa. Kwa maelezo zaidi unaweza kwenda Muhimbili kitengo cha dawa asilia watakufahamisha.





 
Je unaweza kupata athma/pumu kwa kunyonyana mate/denda na mtu mwenye ugonjwa huo toka mtoto?
 
Je mtu unaweza kuambukizwa ugonjwa wa pumu/asthma kwa kunyonyana mate na mtu mwenye ugonjwa huo toka mtoto? Na ugonjwa huo hauambukizwi kwa njia ya hewa?
 
Je mtu unaweza kuambukizwa ugonjwa wa pumu/asthma kwa kunyonyana mate na mtu mwenye ugonjwa huo toka mtoto? Na ugonjwa huo hauambukizwi kwa njia ya hewa?
Asthma can be caused by internal factors such as genes, or environmental factors such as pollution. Atopic factors that can trigger asthma are; environmental allergens, some people have genes that are quick to respond to pollution, house dust, animal hair or latex.
 
Asthma can be caused by internal factors such as genes, or environmental factors such as pollution. Atopic factors that can trigger asthma are; environmental allergens, some people have genes that are quick to respond to pollution, house dust, animal hair or latex.
Shukrani ndugu kwa jibu lako
 
Kwanini iwe Jumamosi tu
Je malipo ni kiasi gani
Na kama sitakuwa nimepona unanisaidiaje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom