Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

Wapendwa, hii nimenukuu kwenye gazeti la mwananchi 4/ feb 2014.

Hapatitis A: Hiki ni kirusi kinachopatikana katika kinyesi cha binadamu, na kirusi hiki huwaingia wale wanaopenda kunyonya na kulambana sehemu za HAJA KUBWA. Ni kwamba kwa ugonjwa huu mtu anaweza akaharibika macho hadi kupofuka.

Wadau nimeona ni vema tukaelimishana katika hili, kwani ni mtindo ulionea sana kwa sasa, hasa vijana na wadogo zetu na mchezo wanaosifiana mtaani na ni changamoto kwa wote.

toa maoni yako katika hili...
 
Asante Mungu kwa huu ugonjwa na naomba dawa isipatikane! Itasaidia sana kukomesha vitendo viovu vilivyoshamiri duniani.
 
haya sasa wale wanyonya m-i-ku--du, speed gavana hiyo a. k. a gusa unate
 
mafundi kazi kwenu mmeathirika hadi kwenye vyoo vya nyumba zenu mnaramba tena wakatike na shingo zao dadadeeeek.....
 
Mungu hakukosea kuweka mbali mdomo na hizo sehemu nyingine mbili. ..
 
Wapendwa, hii nimenukuu kwenye gazeti la mwananchi 4/ feb 2014.

Hapatitis A: Hiki ni kirusi kinachopatikana katika kinyesi cha binadamu, na kirusi hiki huwaingia wale wanaopenda kunyonya na kulambana sehemu za HAJA KUBWA. Ni kwamba kwa ugonjwa huu mtu anaweza akaharibika macho hadi kupofuka.

Wadau nimeona ni vema tukaelimishana katika hili, kwani ni mtindo ulionea sana kwa sasa, hasa vijana na wadogo zetu na mchezo wanaosifiana mtaani na ni changamoto kwa wote.

toa maoni yako katika hili...

kwanini hivyo virusi havimuathiri mtu aliyevibeba?
 
Mtoa mada ungedadavua vizuri ni macho tu!vipi kuhusu midomo na ulimi na pua je?aisee
 
Huu ugonjwa umekuwepo tangu zama, na tayari kuna kinga ya ugonjwa huu ila hakuna tiba, ni kweli unaenezwa kwa virusi wanaokuwa kwenye choo cha mtu aliyeathirika, pia wanakuwepo kwenye damu yake...hivyo contact yoyote itakayopelekea damu au choo cha muathika kufikia sehemu yoyote yenye upenyo kuingia kwako unaathirika.

Na kama ushauri unawalenga wale wapenda kuiga tabia ya kunyonyonya hovyo kila kona....basi hatari sio Hepatitis A pekee...kuna magonjwa lukuki yanayopatikana kwenye kinyesi cha binadamu ikiwemo kuhara damu n.k....

Kwa hiyo swali la kujiuliza ni kwa nini upeleke ulimi wako kwenye tundu la haja kubwa ?
 
kwahyo FYATU hatari ni pale ntakapopeleka ulimi kwenye tundu la 0714 tu? Afadhali.
 
Last edited by a moderator:
wanatafuta nini sas huko?kama wanapenda harufu ya mavi si wanye wakae nayo ndan ili wakizi haja zao.
 
Wapendwa, hii nimenukuu kwenye gazeti la mwananchi 4/ feb 2014.

Hapatitis A: Hiki ni kirusi kinachopatikana katika kinyesi cha binadamu, na kirusi hiki huwaingia wale wanaopenda kunyonya na kulambana sehemu za HAJA KUBWA. Ni kwamba kwa ugonjwa huu mtu anaweza akaharibika macho hadi kupofuka.

Wadau nimeona ni vema tukaelimishana katika hili, kwani ni mtindo ulionea sana kwa sasa, hasa vijana na wadogo zetu na mchezo wanaosifiana mtaani na ni changamoto kwa wote.

toa maoni yako katika hili...

Hepatitis ni Ugonjwa tunaouita Homa ya Ini gasa ukisababishwa na virusi(katika hili). Kuna aina nyingi ya virusi wasababishao Homa ya Ini(Hepatitis) yaani Hepatitis A, B, C n.k.

Lakini kati ya virusi vingi hivi, wadudu/virusi wengi hawa virusi vya Hepatitis B, ni hatari zaidi kuliko vingine, na pengine hayari kuliko vile vinavyosababisha UKIMWI.

Virusi vya Hepatitis A, hupatika kwa njia ya kula vitu vichafu kupitia mfumo wa haja kubwa(Fecal oral route). Hapa namaanisha/hii ni zaidi ya "kula kinyesi"..yaani kupitia kucha chafu, kusalimiana na mtu ambaye hajanawa kisha mkono ukaenda kinywani, vyakula ambavyo vinaweza kuwa na vimelea hasa kachumbari, matunda n.k

Hepatitis A, Haitaji matibabu kwani karibu asilimia zaidi ya tisini(90%) mwili wenyewe huwa na kinga yake/Immunity au self clearance. Lakini kuna asilimia kidogo ambayo ugonjwa huu huweza kuendelea kwa muda mrefu(mwili kutoweza kutoa kinga).

NB: Maelezo hayo hapo juu hayahalalishi/kuchochea ngono ya mdomo na njia ya haja kubwa.
 
Asante Mungu kwa huu ugonjwa na naomba dawa isipatikane! Itasaidia sana kukomesha vitendo viovu vilivyoshamiri duniani.

Kuna chanjo ya Hepatitis kama ilivyo kwa chanjo nyingine za magonjwa yaletwayo na virus...

Kama hujapata hiyo chanjo fanya hima maana kuna zaidi ya Haptitis A, na mtu akipata ugonjwa huu ndio safari hauna mswalie mtume
 
haya sasa wale wanyonya m-i-ku--du, speed gavana hiyo a. k. a gusa unate

Mkuu, mleta uzi amenishangaza sana kwa kubandika kuhusu sehemu moja tu-kinyesini, wakati hiyo makala imezungumzia pia hatari ya kupata Saratani ya koo kwa wale wanaonyonya/kulamba sehemu ya uke pia wakati wa kujamiiana.
Kwa mujibu wa makala, oral sex kwa ujumla wake ina risk magonjwa ya hepatitis A, Kansa ya Koo, na magonjwa mengine. Hayo mawili ni hatari zaidi.
Tujiepushe kuiga mambo ya Wazungu.
 
Kuna chanjo ya Hepatitis kama ilivyo kwa chanjo nyingine za magonjwa yaletwayo na virus...

Kama hujapata hiyo chanjo fanya hima maana kuna zaidi ya Haptitis A, na mtu akipata ugonjwa huu ndio safari hauna mswalie mtume

Hakuna kesi ya matokeo hatari iliyotokana na ugonjwa huu, ila kama mchangiaji ahapo juu alivyotangulia kusema ni kweli kuna uwezekano wa mgonjwa kurejea kwenye hali yake ya kawaida baada ya muda mfupi, muathirika huweza kupata homa, kuharisha, kupoteza hamu ya chakula n.k na kama nilivyotangulia kusema hakuna tiba rasmi ila dalili huweza kutoweka zenyewe kupitia kinga asili ya mwili, na mara nyingi huwa ni chini ya miezi miwili hivi.....ni kesi chache sana za mtu kupitiliza zaidi ya miezi miwili....na uwezekano ni mdogo saaaana kupelekea kifo.

ILA YAKE CHANJO IPO......ila bado nasisitiza kupeleka ulimi "channel o" ina umuhimu gani ?
 
kwahyo FYATU hatari ni pale ntakapopeleka ulimi kwenye tundu la 0714 tu? Afadhali.

Hatari ni pale uchafu/ kinyesi au damu yenye virusi hivi itafika mdomoni kwako kwa chanzo chochote hata kama sio 0714, ina maana hata kama unayecheza na channel o yake ana kipindupindu ni dhahiri utapata kipindupindu.

Na kama ni kuiga kila wanachofanya wenzetu, nadhani wale wala hawaishii tu kulamba hizo 0714, wapo wanaothubutu hata kula kabisa choo cha mwenzake.....sasa je na hayo tuige ?
 
Back
Top Bottom