Ugonjwa wa degedege ambao CCM wameupata huku Washington DC umesambaa mpaka kwenye gazeti la Uhuru

environmental

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,054
137
Kweli nimekubali Mheshimiwa Leticia Nyerere ni Kiboko ,ni mwiba kwa ccm.Kwani mpaka sasa wanamwandika kwenye magazeti huko bongo bila hata kujua ukweli .Narudia tena.Tatizo la ccm ni kwamba hakuna wasomi makini ,wao wamesomea ulaya mashariki[propaganda]sasa Chadema washington DC inakupeni scholarship bure mje kusoma elimu kwa ajili ya maendeleo na sio propaganda.Peopleoooooooooooooooooo, powerrrrrrrrrrrrrrr.
 
Wanaweweseka tu na mimi nawaambia bado moto haujawawakia vizuri,Tutawashika pabaya hadi majambazi wote wahame nchi.
 
Na kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 watu wote wenye passport lazima wazirudishe uhamiaji na watarejeshewa baada ya uchaguzi maana naona dalili za watu kuikimbia nchi hii baada ya madudu yao,maana hili degedege la CCM sasa limekosa dawa
 
2po pamoja.
 
Back
Top Bottom