Ugonjwa utokanao na simu

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
Kuna ugonjwa unaowasumbua watumiaji wengi wa simu mara kwa mara;ugonjwa huo unajulikana kwa jina la UVOSI,yaani Ukosefu wa Vocha katika Simu.
Hivyo basi,tuma vocha ili ni kutoe katika list hiyo sasa hivi bila kuchelewa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom