Ugomvi Arusha kati wamasai na waarusha

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Habari zinazinifikia sasa hivi zinasema kuwa wamasai na waarusha wanapigana kugombea eneo huko Oldonyasambo, ambapo ndani ya eneo hilo kuna shule wanafunzi wameshindwa kutoka kutokana na mapigano hayo.

Habari zinaendelea kusema kuwa shule hiyo ndiyo chanzo cha ugomvi huo baada ya kila upande kusema ndiyo wamiliki.

Polisi na FFU wameshindwa kuwaamulia, mapigano bado yanaendelea mpaka sasa.
 
Dah! hiyo noma mtu wangu, mpaka wale policcm wa mwangosi wameshindwa!
ILA INGEKUWA CHADEMA UNGUKUTA WASHAUA MTU.
 
Hii habari bado ya kusadikika, hebu ongezea ongezea tupeleke kamera zetu kule mkuu
 
Kama ni kweli kunamapigano, ni matokeo ya uzembe mkubwa wa serikali ya ccm kushughulikia kero na matatizo mbalimbali ya watanzania.

Tunahitaji uwajikaji wa viongozi ulionatija yaan kwa vitendo sio siasa za kitapeli majukwaani.
 
Samahani nina mashaka na usahihi wa habari hii!
  1. Ungesema Wamasai wamevamia eneo na Waarusha na kuwafurusha baru, hapo labda ndio ningekuelewa!.
  2. Kuna makabila ya wapiganaji na makabila ya watulivu. Tangu lini Waarusha wana jeuri ya kupigana?.
  3. Kwa nguvu zipi walizonazo Waarusha hadi wapigane na Wamasai?. Kwa msiowajua Waarusha, wana koo nne tuu zilizojimega kutoka kwa Wamasai. Koo hizo ni Laizer, Mollel, Kivuyo na Lukumay!.
  4. Wamasaia wanatembea na silaha 24/7, Waarusha hawatembei na silaha yoyote, kama ni kweli kuna makabiliano ya Waarusha na Wamasai, then ni kwa silaha gani wanazotumia hao Waarusha kuwakabili Wamasai?.
  5. Kuna makabila wana utamaduni wa mapambano, Wamasai wana utamaduni huo, Waarusha wapambane na Wamasai kwa utamaduni gani wa mapambano, walionao hao Waarusha?.
  6. Tangu lini Waarusha wakapigana kugombania Ardhi huku kila siku ardhi yao inamegwa na nyingine wakiitoa Sadaka?.
  7. Kama ni Wamasai na ni kweli wameamua kufanya kweli, FFU gani watathubutu kutia pua?!.
  8. Kwa msiofahamu, miaka ya nyuma, Ijumaa moja, Viongozi 4 wa kabila la Wamasai waliwahi kuwaamrisha Morani wao, kuchoma ofisi ya CCM na nyumba ya Mwenyekiti wa kijiji fulani aliyewaletea za kuleta!.
  9. Serikali iliwakamata hao viongozi Wanne wa Kimasai na kuwashikilia Polisi Central ya pale Arusha.
  10. Jumatatu asubuhi, jiji la Arusha lilifurika morani wa Kimasai waliokuwa wameshapandisha mori, midomo yao myekundu kwa kunywa damu mbichi!, waliizingira ofisi ya Mkuu wa mkoa na kusambaa mpaka polisi, mwakilishi wao akaitwa ndani, akagoma, wakamuamuru Mkuu wa Mkoa wa Arusha ndio atoke nje, by then alikuwa ni Daniel Ole Njoolay, wakazungumza nae Kimasai kuwa wale viongozi wao wanne wanaoshikiliwa polisi, waachiwe that very moment, bila mjadala wala majadiliano yoyote, vinginevyo morani hao, wangeigeuza mji wa Arusha dimbwi la damu within no time!. Wakati wote huo, hao morani wanaruka ruka na sime zao wamechomoa alani!.
  11. Ole Njoolay kuona hivyo, ili kuepusha balaa, alitii amri there and then, wale wazee waliachiwa na kuletwa pale, ndipo msafara ulitawanyika huku wakiimba na walipofika Masaini, ngombe wengi waliuawa kikatili ili kutimiza masharti ya kutuliza ile mori ya Kimasai!.

Pasco.
 
Habari zinazinifikia sasahivi zinasema kuwa wamasai na waarusha wanapigana kugombea eneo huko oldonyasambo, amapo ndani ya eneo hilo kuna shule wanafunzi wameshindwa kutoka kutokana na mapigano hayo.

Habari zinaendelea kusema kuwa shule hiyo ndiyo chanzo cha ugomvi huo baada ya kila upande kusema ndiyo wamiliki.

Polisi na FFU wameshindwa kuwaamulia,mapigano bado yanaendelea mpaka sasa.

Hafadhali ya mapigano haya kuliko ya wale wengine.
 
Samahani nina mashaka na usahihi wa habari hii!
  1. Ungesema Wamasai wamevamia eneo na Waarusha na kuwafurusha baru, hapo labda ndio ningekuelewa!.
  2. Tangu lini Waarusha wana jeuri ya kupigana?.
  3. Kwa nguvu zipi walizonazo Waarusha?.
  4. Kwa silaha gani wanazotumia kuwakabili Wamasai?.
  5. Kwa utamaduni gani wa mapambano, walionao hao Waarusha?.
  6. Tangu lini Waarusha wakapigana kugombania Aridhi huku kila siku wakiitoa Sadaka?.
  7. Kama ni Wamasai na ni kweli wameamua kufanya kweli, FFU gani watathubutu kutia pua?!.
  8. Kwa msiofahamu, miaka ya nyuma, Ijumaa moja, Viongozi 4 wa kabila la Wamasai waliwahi kuwaamrisha Morani wao, kuchoma ofisi ya CCM na nyumba ya Mwenyekiti wa kijiji fulani aliyewaletea za kuleta!.
  9. Serikali iliwakamata hao viongozi Wanne wa Kimasai na kuwashikilia Polisi Central ya pale Arusha.
  10. Jumatatu asubuhi, jiji la Arusha lilifurika morani wa Kimasai waliokuwa wameshapandisha mori, midomo yao myekundu kwa kunywa damu mbichi!, waliizingira ofisi ya Mkuu wa mkoa na polisi, mwakilishi wao akaitwa ndani, akagoma, wakamuamuru mkuu wa mkoa atoke nje, by then alikuwa Ole Njoolay, wakazungumza nae Kimasai kuwa wale viongozi wao wanne wanaoshikiliwa polisi, waachiwe that very moment, bila mjadala wala majadiliano yoyote, vinginevyo maroni hao, wangeigeuza mji wa Arusha dimbwi la damu within no time!. Njoolay alitii amri there and then, wale wazee waliachiwa na kuletwa pale, ndipo msafara ulitawanyika na walipofika Masaini, ngombe wengi waliuawa kikatili ili kutimiza masharti ya kutuliza ile mori ya Kimasai!.

Pasco.

samahani Pasco

hii inapaswa kuwa thread nyingine kabisa
 
Nijuavyo Maasai = Muarusha....!!
Sasa hapo nachanganyikiwa kidogo...........!!:frusty:
 
Samahani nina mashaka na usahihi wa habari hii!
  1. Ungesema Wamasai wamevamia eneo na Waarusha na kuwafurusha baru, hapo labda ndio ningekuelewa!.
  2. Tangu lini Waarusha wana jeuri ya kupigana?.
  3. Kwa nguvu zipi walizonazo Waarusha?. Kwa msiowajuu Waarusha, wana koo nne tuu, Laizer, Mollel, Kivuyo na Lukumay!.
  4. Kwa silaha gani wanazotumia kuwakabili Wamasai?.
  5. Kwa utamaduni gani wa mapambano, walionao hao Waarusha?.
  6. Tangu lini Waarusha wakapigana kugombania Aridhi huku kila siku wakiitoa Sadaka?.
  7. Kama ni Wamasai na ni kweli wameamua kufanya kweli, FFU gani watathubutu kutia pua?!.
  8. Kwa msiofahamu, miaka ya nyuma, Ijumaa moja, Viongozi 4 wa kabila la Wamasai waliwahi kuwaamrisha Morani wao, kuchoma ofisi ya CCM na nyumba ya Mwenyekiti wa kijiji fulani aliyewaletea za kuleta!.
  9. Serikali iliwakamata hao viongozi Wanne wa Kimasai na kuwashikilia Polisi Central ya pale Arusha.
  10. Jumatatu asubuhi, jiji la Arusha lilifurika morani wa Kimasai waliokuwa wameshapandisha mori, midomo yao myekundu kwa kunywa damu mbichi!, waliizingira ofisi ya Mkuu wa mkoa na polisi, mwakilishi wao akaitwa ndani, akagoma, wakamuamuru mkuu wa mkoa atoke nje, by then alikuwa Ole Njoolay, wakazungumza nae Kimasai kuwa wale viongozi wao wanne wanaoshikiliwa polisi, waachiwe that very moment, bila mjadala wala majadiliano yoyote, vinginevyo maroni hao, wangeigeuza mji wa Arusha dimbwi la damu within no time!. Njoolay alitii amri there and then, wale wazee waliachiwa na kuletwa pale, ndipo msafara ulitawanyika na walipofika Masaini, ngombe wengi waliuawa kikatili ili kutimiza masharti ya kutuliza ile mori ya Kimasai!.

Pasco.

hadithi yako ilikuwa mzuri japo imekwisha haraka sana.bila kukosea inatufunza kusichokoze maasai.ndo maana wanatembea na sime bila mada kesi jaribu wewe polce ccm wakudake
 
Samahani nina mashaka na usahihi wa habari hii!
  1. Ungesema Wamasai wamevamia eneo na Waarusha na kuwafurusha baru, hapo labda ndio ningekuelewa!.
  2. Tangu lini Waarusha wana jeuri ya kupigana?.
  3. Kwa nguvu zipi walizonazo Waarusha?. Kwa msiowajuu Waarusha, wana koo nne tuu, Laizer, Mollel, Kivuyo na Lukumay!.
  4. Kwa silaha gani wanazotumia kuwakabili Wamasai?.
  5. Kwa utamaduni gani wa mapambano, walionao hao Waarusha?.
  6. Tangu lini Waarusha wakapigana kugombania Aridhi huku kila siku wakiitoa Sadaka?.
  7. Kama ni Wamasai na ni kweli wameamua kufanya kweli, FFU gani watathubutu kutia pua?!.
  8. Kwa msiofahamu, miaka ya nyuma, Ijumaa moja, Viongozi 4 wa kabila la Wamasai waliwahi kuwaamrisha Morani wao, kuchoma ofisi ya CCM na nyumba ya Mwenyekiti wa kijiji fulani aliyewaletea za kuleta!.
  9. Serikali iliwakamata hao viongozi Wanne wa Kimasai na kuwashikilia Polisi Central ya pale Arusha.
  10. Jumatatu asubuhi, jiji la Arusha lilifurika morani wa Kimasai waliokuwa wameshapandisha mori, midomo yao myekundu kwa kunywa damu mbichi!, waliizingira ofisi ya Mkuu wa mkoa na polisi, mwakilishi wao akaitwa ndani, akagoma, wakamuamuru mkuu wa mkoa atoke nje, by then alikuwa Ole Njoolay, wakazungumza nae Kimasai kuwa wale viongozi wao wanne wanaoshikiliwa polisi, waachiwe that very moment, bila mjadala wala majadiliano yoyote, vinginevyo maroni hao, wangeigeuza mji wa Arusha dimbwi la damu within no time!. Njoolay alitii amri there and then, wale wazee waliachiwa na kuletwa pale, ndipo msafara ulitawanyika na walipofika Masaini, ngombe wengi waliuawa kikatili ili kutimiza masharti ya kutuliza ile mori ya Kimasai!.

Pasco.

mkuu Pasco umepotoka.SWALI DOGO TU KWAKO.,mbona Ukienda kwa wamasai kuna Laiser na Mollel? NAOMBA UFAFANUZI THEN NTAKUTOA TONGOTOTO juu ya matabaka haya ya Maasai yaani WAARUSHA NA WAMASAI
 
Mkuu
Pasco,
Mleta habari kaleta anachokijua,sasa iweje upinge taarifa aliyotoa mtu ili utuaminishe uyasemayo ambayo yako nje ya mada,hebu mpe uhuru mleta mada mpaka pale taarifa itakapoonekana ni sahihi au si sahihi,BTW waarusha na wamasai tofauti yao ni ndogo sana na kama ni mamorani hata waarusha wana mamorani.
 
mkuu Pasco umepotoka.SWALI DOGO TU KWAKO.,mbona Ukienda kwa wamasai kuna Laiser na Mollel? NAOMBA UFAFANUZI THEN NTAKUTOA TONGOTOTO juu ya matabaka haya ya Maasai yaani WAARUSHA NA WAMASAI

mkuu Pasco ni mpotoshaji mkubwa sana na huwa analazimisha idea zake without facts,wamasai na waarusha tofauti yao
ni ndogo sana,hizo koo zipo pande zote,wamasai na waarusha kiasi flani hata lugha wanasikilizana,kama ni mamorani
hata waarusha wana mamorani na mila zao zipo kama za kimasai kwa kiasi flani
 
mkuu hiyo shule inayogombewa ni sc au primary? Na ni mali ya serikali au nani? Jaribu kuchunguza utuhabarishe mkuu
 
Habari zinazinifikia sasahivi zinasema kuwa wamasai na waarusha wanapigana kugombea eneo huko oldonyasambo, amapo ndani ya eneo hilo kuna shule wanafunzi wameshindwa kutoka kutokana na mapigano hayo.

Habari zinaendelea kusema kuwa shule hiyo ndiyo chanzo cha ugomvi huo baada ya kila upande kusema ndiyo wamiliki.

Polisi na FFU wameshindwa kuwaamulia,mapigano bado yanaendelea mpaka sasa.

Kumbe polisi na FFU wanaweza kudhibiti maandamano tuu!!!!
 
Back
Top Bottom