ugomvi wa mke na mume

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Swaleh aligombana na mkewe,
wakati wa kulala wakatengana.
Mume akalala kwenye sakafu,mke akalala
kitandani.Usiku Swaleh akawa anaipigapiga
NYETI yake akisema "wee ebu
tulia,huoni kama tumegombana?
Mke akajibu "Sisi ndo tumegombana
sio hao,mwache aje acheze na
mwenzake lakini ugomvi wetu uko pale pale!"
 
Swaleh aligombana na mkewe,
wakati wa kulala wakatengana.
Mume akalala kwenye sakafu,mke akalala
kitandani.Usiku Swaleh akawa anaipigapiga
NYETI yake akisema "wee ebu
tulia,huoni kama tumegombana?
Mke akajibu "Sisi ndo tumegombana
sio hao,mwache aje acheze na
mwenzake lakini ugomvi wetu uko pale pale!"

mchezo ukiisha na ugomvi kwisha!
 
Back
Top Bottom