Ugomvi wa Kidini ndani ya Chadema

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
Kwa mujibu wa habarti za uhakika kuto Mkoani Iringa, ndani ya Chadema mkoa wa Iringa, kuna ugomvi wa kidini umezuka baina ya mwanachma mmoja kwa jina Abuu na Mbunge ambae ni Kiongozi wa kanisa.

Haya jamani, ikiwa ndani ya chama ni hivyo! Jee nje?
 
System At Work
 
hii thread imekula kwako..!
 
Usipotumia akili zako ewe mleta mada, utaichukia jf bure.,.utasema unaonewa... unapewa nafasi nyngne, ongeza maneno uliyoyaacha kwny hilo bandiko.,.usitafute wa kumfia bana!
 
Vipi? kwani ni uongo? piga simu Chadema uwaulize, mpaka jamaa, Abuu, anashinikiza Mwenyekiti ajiuzulu, hata TBC wametangaza hii habari.
 
Mimi pia nimeisikia ila sio kwa sababu za UDINI kama unavyosema ila wanamtuhumu mwenyekiti wao ambaye pia ni mbunge kwa kushindwa kuwasaidia madiwani kupita.Sijui kwa nini ZOMBA umeamua kusema ni ugomvi wa kidini?
 
Fatilia zaidi utaelewa kwa nini nimesema hivyo, nakuhakikishia, sikukurupuka.
 
Tanzaniaaaa Tanzaniaaaaa... nakupenda kwa muoyooowoteeee!

Mkitafautiana majina tu tabu tayari! Jina fulani ni la dini fulani! Kwetu kuna Josia na kila siku yuko Msikitini!!! Na kuna Zubeda kila wikendi anakwenda kanisani.... yawezekana huyo Abuu na mchungaji wamekosana kanisani pia!
 
You are not a reliable source when it comes to matters CHADEMA. You have earned your pay.
 
Najua hukukurupuka ndo maana naogopa zaidi natamani sana ungekuwa umekurupuka ila naogoma sana kwa nini umeamua kujipanga na kuihusisha na UDINI?
 
Kwa mujibu wa habarti za uhakika kuto Mkoani Iringa, ndani ya Chadema mkoa wa Iringa, kuna ugomvi wa kidini umezuka baina ya mwanachma mmoja kwa jina Abuu na Mbunge ambae ni Kiongozi wa kanisa.

Haya jamani, ikiwa ndani ya chama ni hivyo! Jee nje?
Mbona sisi huku hatuna ugomvi wa kidini kabisa Mheshimiwa, umechemkaa, Kizibo kimefumuka nini?
 
Vipi? kwani ni uongo? piga simu Chadema uwaulize, mpaka jamaa, Abuu, anashinikiza Mwenyekiti ajiuzulu, hata TBC wametangaza hii habari.

Kwa upeo wako umeona TBC ni chombo cha maana sana cha habari sivyo???
 
Kwa mujibu wa habarti za uhakika kuto Mkoani Iringa, ndani ya Chadema mkoa wa Iringa, kuna ugomvi wa kidini umezuka baina ya mwanachma mmoja kwa jina Abuu na Mbunge ambae ni Kiongozi wa kanisa.

Haya jamani, ikiwa ndani ya chama ni hivyo! Jee nje?

Kwa hiyo ugomvi wa watu wawili katika chama tena ngazi ya mkoa kwako wewe ni ugomvi wa chama nchi nzima???? DIMWIT!!!!
 
kwa mujibu wa habarti za uhakika kuto mkoani iringa, ndani ya chadema mkoa wa iringa, kuna ugomvi wa kidini umezuka baina ya mwanachma mmoja kwa jina abuu na mbunge ambae ni kiongozi wa kanisa.

Haya jamani, ikiwa ndani ya chama ni hivyo! Jee nje?

scum !
 
huyu jamaa kwa kweli ni **** ajabu! Sijui kaolewa wapi maanake inabidi awe anapatiwa double barrel penetration asubuhi na jioni ndo atatia akili na kutulizana
 
Back
Top Bottom