Nchi hii ni yetu wote sio ya koo fulani kama wewe hutaki kuandamana kwa kudai haki yako wakati rasilimali zinafujwa na akina kikwete ridhiwani na salma kaa ,sisi tutazidai kwa njia ya maandamano na mabunduki yatufuate tuzikwe kama mizoga lakini ukweli ni kwamba haki ya mtanzania haitapotea kwa ajili ya mafisadi,chuki zako hazitatutisha tuna ngozi ngumuSidhani kama kufa kwa sababu za ubinafsi na uroho wa madaraka ni sifa nzuri, hautakuwa tofauti na mizoga ya majambazi na vibaka. Inahuzunisha sana kuona watu wa umri wako mkiitumbukiza nchi hii kwenye vita wakati ninyi mmelelewa kwa amani na utulivu, huu ni ubinafsi wa hali ya juu na historia itakukumbuka hivyo.