UGANDA vs RWANDA uwanja wa Taifa mechi safi, tamu na burudani Tosha.

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Jamaa wanakanyaga ndinga mpaka raha, sisi uwanja tunao lakini soka yetu matope kabisa. Hii kero sijui itaisha lini?
 
Lazima tuwekeza kwa vijana wa umri mdogo yaani kuanzi miaka saba by the time kijana huyu nafikisha miaka kumi na tano tayari ameshajengeka kimwili na sio kwenda kuokota mtaani embu niambieni ni lini juma joso alianza kusakata kabumbu,pili wachezaji wa tanzania wanalewa sifa mapema mfano john Boko na Tegete hawa vijana kwa standar za ktz angalao walijulikana kabla hawajafimisha miaka ishirini lakini wameshindwa kuongeza bidii na hivyo kujikuta badala ya kisonga mbele wao wanarudi juma.
 
Back
Top Bottom