Uganda Ready to Sign EPA

EngineerLMG

Senior Member
Nov 28, 2013
125
75
This just in:

"Uganda has reversed its decision to delay the signing of the Economic Partnership Agreement (EPA) with the European Union.

Trade minister Amelia Kyambadde said the government has since made up its mind and was ready to sign the deal irrespective of whether all the other regional countries are on board or not.

Burundi has also shown strong desire to sign the agreement in its current form, leaving Tanzania in its effort to seek further reassurance regarding the matter."

Baada ya wanaJF wengi kutucheka Kenya na Rwanda tulipotia sahihi zetu kwenye EPA na EU, habari motomoto yaja kutoka huko Kampala. Uganda wako tayari kutia sahihi kwenye mkataba huo.

Poleni sana. Ni vitunguu mnakata?

=======

Uganda has reversed its decision to delay the signing of the Economic Partnership Agreement (EPA) with the European Union.

Trade minister Amelia Kyambadde said the government has since made up its mind and was ready to sign the deal irrespective of whether all the other regional countries are on board or not.

On Thursday, Kenya and Rwanda Trade ministers signed the EPA pact in Brussels, Belgium, with the European Union, a deal the East African Community Council of Ministers had recommended earlier this year.

Kenya was desperate to have the agreement signed to safeguard unlimited duty free access of its exports to Europe after Tanzania and Uganda said the deal initialled in October 2014 needed to be renegotiated following Britain’s exit from the bloc.

Speaking at the sidelines of the 7th Ministry of Trade, Industry and Cooperatives sector review annual conference in Kampala on Tuesday, Ms Kyambadde said “The EU is our major trading bloc and we are going ahead to sign the EPAs.”

Burundi has also shown strong desire to sign the agreement in its current form, leaving Tanzania in its effort to seek further reassurance regarding the matter.

Tanzania’s refusal to sign the EPAs is due to fear of repercussions the deal would have on the growth of the emerging regional industries.

Without guarantees against the side effects, Tanzania says it is not prepared to commit itself into economic enslavement.

EPAs are trade and development agreements negotiated between the EU, African, Caribbean and Pacific (ACP) partners engaged in regional economic integration processes.

The EU is Uganda’s second leading exports markets destination.

Speaking at the conference, the assistant commissioner, External Trade, Mr Emmanuel Mutahunga, said: “We can’t afford to lose the EU market because it’s contributing a lot to our economy.”

He said Uganda coffee exports to the EU are worth $252 million while flowers exports to the region bring in $45 million.

Mr Mutahunga said a conclusive decision on the deal is expected to be discussed at the ongoing negotiations by the regional council of ministers who will make final recommendations to the heads of states next week in Arusha, Tanzania. The EAC states are expected to sign the deal before this month ends.

If the EPA is not signed and ratified by all EAC partner states by September 30, 2016, Kenya – being the bloc’s only developing state - stands to lose its market to the EU, having significant impact on her economy.

The rest of the members have alternative access to EU as they are all classified as least developed countries.

The Private Sector Foundation Uganda executive director, Mr Gideon Badagawa, said Uganda’s decision to sign the EPAs has been long overdue.

“EPAs will build our capacities as far as infrastructures are concerned which is an important gain,” Mr Badagawa said.

Additional reporting from The EastAfricanteam.

Uganda makes U-turn, says ready to sign EPA
 
Dadadeki zenu, nilisema ni mwendo wa kuwaburuza kwa pua, tena mkome. Hamna nchi ya kuitunishia misuli Kenya kwenye Afrika yote tunasema na inatendeka.
 
Dadadeki zenu, nilisema ni mwendo wa kuwaburuza kwa pua, tena mkome. Hamna nchi ya kuitunishia misuli Kenya kwenye Afrika yote tunasema na inatendeka.
Hivi na akili zako unaona EPA ni ya faida sana? Tanzania haitakia kusign EPA si kwa sababu tunashindana na Kenya bali MKATABA (Contract ) sio mzuri bali wa kinyonyaji. Hivi hata kama ni wewe Tanzania tuna sera ya kuanzisha viwanda halafu uwaachie wazungu wadamp bidhaa ndani ya nchi yako kwa bei rahisi at wewe ukauze kwa wakati huna cha kuuza. Hawa washezi wa ulaya sijui wanatuchulia vipi? Tuamke... mimi nahisi kuna baadhi ya viongozi wa Africa wanapewa rushwa na wazungu ili wasign huo mkataba. Sikatai Kenya mnauza maua free lakini ni viwanda vingapi vitakufa kwa sababu ya EPA?
Kama sikosei kuna kiwanda kimoja Kenya hivi majuzi kimesema hakiwezi kuzalisha tyres hapo kwa sababu ya gharama hayo ni mafhara ya EPA. https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17461853
Tusije na ushabiki tu hapa. Kumbuka wazungu hawataki tuendelee na kugombana kwetu ni mtaji kwao
 
Dadadeki zenu, nilisema ni mwendo wa kuwaburuza kwa pua, tena mkome. Hamna nchi ya kuitunishia misuli Kenya kwenye Afrika yote tunasema na inatendeka.

Na wewe unaamini kabisa kwamba Kenya ndiyo wanaofanya lobbying nyuma ya pazia? Amka kijana lobbying inafanywa na EU wao ndiyo wanaoshinikiza nchi zisaini kwa sababu wanazozijua wao, Kenya mwanzoni waligoma wakatishwa na Wazungu wakasaini hivyo usijidanganye EU ndiyo wanaosukuma nchi zisaini kwa kuziwekea vitisho!

Kwa kawaida ulipaswa uhoji ni kwa nini EU wanashinikiza nchi zisaini kama kweli ni jambo jema? Kwa nini wasiache nchi zisaini kwa free will?
 
Hivi na akili zako unaona EPA ni ya faida sana? Tanzania haitakia kusign EPA si kwa sababu tunashindana na Kenya bali MKATABA (Contract ) sio mzuri bali wa kinyonyaji. Hivi hata kama ni wewe Tanzania tuna sera ya kuanzisha viwanda halafu uwaachie wazungu wadamp bidhaa ndani ya nchi yako kwa bei rahisi at wewe ukauze kwa wakati huna cha kuuza. Hawa washezi wa ulaya sijui wanatuchulia vipi? Tuamke... mimi nahisi kuna baadhi ya viongozi wa Africa wanapewa rushwa na wazungu ili wasign huo mkataba. Sikatai Kenya mnauza maua free lakini ni viwanda vingapi vitakufa kwa sababu ya EPA?
Kama sikosei kuna kiwanda kimoja Kenya hivi majuzi kimesema hakiwezi kuzalisha tyres hapo kwa sababu ya gharama hayo ni mafhara ya EPA. https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17461853
Tusije na ushabiki tu hapa. Kumbuka wazungu hawataki tuendelee na kugombana kwetu ni mtaji kwao

Uchumi wa leo lazima ukubali kuliwa ndio ule, tatizo lenu huwa mnajifungia na bado mnaliwa tu, hauwezi kuwa nchi ya viwanda huku unaogopa ogopa na kujifungia fungia ndani. Lazima uachie ila unakua makini.
Sisi Wakenya tutawaburuza mpaka fika. Nchi yetu tupo kwenye level nyingine, tatizo tumezungukwa na majirani wanaotaka kuburuzwa muda wote kwa jinsi walivyo wazembe. Nchi yenu hiyo haitakua ya viwanda kwa kuongea ongea hayo maneno mengi ya kiswahili, mfanye kwa vitendo.

Rais wenu naona kama yupo tayari kufanya, ila mnamkwamisha kwa uswahili mwingi tu.
 
Acha vioja kama mwanamke uje na hoja nzito sio michapo oh siju hiki sijui kile....
Nijibu hoja yangu je EPA ina faida gani kwa Kenya na hasara gani. Please list them down, achana na umbea sijui tz wanaburuzwa au wanajifungia hilo sio jibu la msomi kama ww. Ni afadhali anaekataa kuliwa lakini anakufa kiume kuliko wewe unakubali kuliwa halafu halafu wanakupa makapi
 
I am sure with your growth rates you will be a mid income country in 5 years maybe, yet am not so sure your industrial revolution will be that fast. even if it is the fruits won't be, so it is counterproductive not to sign the deal. I actually think if you sign you will get there faster, since you can work harder sell more, get the necessary revenue and grow.
 
Unaandika ujinga tu na mambo usiyoyaelewa! Kenya haina competitive industry yoyote ile ya kuuza EU isipokuwa Maua industry ambayo ni 100% foreign owned hivyo Wazungu wanataka kuuza Maua yao tax free na hamna kitu Kenya itapata kwa maana kama ni ajira Maua industry ni cheap labor, lkn Kenyan industries zenyewe haziwezi ku compete hata Sameer industries anafunga manufacturing industries Kenya in favor of distributing imported goods from abroad na hapo bado EPA haijasainiwa ...
 
Uchumi wa leo lazima ukubali kuliwa ndio ule, tatizo lenu huwa mnajifungia na bado mnaliwa tu, hauwezi kuwa nchi ya viwanda huku unaogopa ogopa na kujifungia fungia ndani. Lazima uachie ila unakua makini.
Sisi Wakenya tutawaburuza mpaka fika. Nchi yetu tupo kwenye level nyingine, tatizo tumezungukwa na majirani wanaotaka kuburuzwa muda wote kwa jinsi walivyo wazembe. Nchi yenu hiyo haitakua ya viwanda kwa kuongea ongea hayo maneno mengi ya kiswahili, mfanye kwa vitendo.

Rais wenu naona kama yupo tayari kufanya, ila mnamkwamisha kwa uswahili mwingi tu.
Acha vioja kama mwanamke uje na hoja nzito sio michapo oh siju hiki sijui kile....<br />Nijibu hoja yangu je EPA ina faida gani kwa Kenya na hasara gani. Please list them down, achana na umbea sijui tz wanaburuzwa au wanajifungia hilo sio jibu la msomi kama ww. Ni afadhali anaekataa kuliwa lakini anakufa kiume kuliko wewe unakubali kuliwa halafu halafu wanakupa makapi
 
Unaandika ujinga tu na mambo usiyoyaelewa! Kenya haina competitive industry yoyote ile ya kuuza EU isipokuwa Maua industry ambayo ni 100% foreign owned hivyo Wazungu wanataka kuuza Maua yao tax free na hamna kitu Kenya itapata kwa maana kama ni ajira Maua industry ni cheap labor, lkn Kenyan industries zenyewe haziwezi ku compete hata Sameer industries anafunga manufacturing industries Kenya in favor of distributing imported goods from abroad na hapo bado EPA haijasainiwa ...
sasa unaita wenzako wajinga alafu we mwenyewe unaharibia mara dufu... hayo ya maua tueke kando, ni ya badae. kwanza sameer imefunga kwasabavu ya cheap imports kutoka china wala si EU. Tz mnajifanya kuzuia, hebu niambieni, ni bidhaa ghani wachina hawana ndani ya tz au EAC kwasababu hau hufanya subsidies kwa bidhaa zao ili wauze bei rahisi????
Hii dili ya EPA hakuna jambo lolote la kututishia, ni vile tu Tz na uoga wao wameweka propaganda za uongo ile wananchi wakatae hio dili... si eti tukikubali kesho yake EU itamwaga bidhaa zao zote hata toothpick kwa port zetu, dili yenyewe hairuhusu kujaza bidhaa zao huku kwetu, ni lazima wa support kampuni zetu kujimudu na kuweza ku export vitu internatiinal standars alafu kule kwao hawata zulia bidhaa zetu maanake kule si rahisi zetu zitishie uchumi wao... hii dili imekua ikijadiliwa tangu 2007., vipengee vyote vya kutishia uchumi wa EAC viliondolewa hadi ikafika wakati kila mtu akaridhika... lakini Tz baadae wakaanza kigugumizi

wp_ss_20160906_0001.png
wp_ss_20160906_0002.png
wp_ss_20160906_0003.png
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom