Uganda na Kenya juu kwenye matumizi ya Internet-Tanzania bado

The Dreamer

JF-Expert Member
Feb 2, 2009
1,282
20
Hivi karibuni waziri mmoja mwanasiasa alikataa kwamba matumizi ya internet Tanzania hayapo chini sana. Alidai ilibidi ripoti (sikumbuki jina la waziri na kampuni iliyofanya utafiti) ilingane na matumizi ya simu. Ukiangalia ramani hii hapa kutoka facebook http://sphotos.ak.fbcdn.net/hphotos...79288597199_9445547199_5658562_14158417_n.jpg utagundua kuwa watumiaji facebook Tanzania (na kwa hiyo internet) ni wachache. Lakini ukanda wa kaskazini na kenya na Uganda wanaonekana kuwa juu. Je hii ina uhusiano na uelewa wa kisíasa unaonekana Kaskazini mwa Tanzania?
 

Attachments

  • facebook.png
    facebook.png
    31.7 KB · Views: 41
Back
Top Bottom