Uganda : Mwanamke apewa talaka na mumewe baada ya kulia jina la msanii kitandani

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Mwanamke nchini Uganda amepewa talaka na mumewe baada ya kulia jina la msanii wa Uganda Jose Chameleon wakati walipokuwa wakishiriki mapenzi na mumewe.

Habari hii imesambaa kama moto kichakani na hata kuchapishwa kwenye mojawapo ya majarida Uganda.

Jose Chameleon ambaye alionekana kufurahishwa na tukio hili, alichukuwa picha ya gazeti na kuiweka kwenye mtandao wa Instagram yake.
=================

A Ugandan man has divorced his wife after the woman shouted out Uganda's popular singer Jose Chameleone's name while the two had sex.

The woman is said to have screamed Chameleone's name as the two climaxed, a Ugandan tabloid reported on Thursday.

What is not clear however, is whether the incident occurred because the woman was in love with the singer or whether she simply loved his music.

Chameleone, in collaboration with Kenyan music group Elani feature in a song 'My Darling'.

The story has gone viral in Uganda to the extent of catching the attention of the 'Jamilla' hitmaker who, through his Facebook page expressed amusement with the incident.

The woman defended herself saying she cannot comprehend how she ended up screaming out Chameleone's name.

She said it didn't mean anything and that it didn't translate to cheating.

The lady however, acknowledged to loving 'Dr' Chameleone's music.

The husband is said to be 'hurt' and currently doesn't know what to do after the woman left.


Source: Tuko.co.ke
 
Katika hali kama hiyo mwambie aondoke akapumzike kwao wakati akili yako ikijipanga upya usije ukajiikuta unaemda kumbembeleza arudi ukidai iliuwa hasira tu.
 
Ila halikuitaji sana maamuzi magumu nje na kulifanyia uchunguzi kama lina ukweli japo mwanamke amemkosea sana mmewe
 
hatudanganyiki,weka hiyo picha kwanza na sisi tuihakiki
1472393477909.jpg
Hiyo ndo habari katika Instagram ya Jose Chameleon
 
Back
Top Bottom