Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,634
- 6,800
Kama utaula kwa picha ya samaki lazima uuchukie.Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo