Ugali ni chakula cha kimasikini

Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo

Mimi nakubaliana na wewe 100%. Hata hii mada yako inaonesha umekula ugali tangu kuzaliwa kwako hadi jana jioni. Mbaya zaidi inaonekana hujawahi kula kitu kingine tofauti na ugali......kwa mada hii, kweli ugali ni mbaya
 
Marekani mahindi hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo

Ishi!!! Kumbe nikienda Serena Hotel nikaagiza ugali wa elfu thelathini bado naonekana maskini? Lo! Kuanzia leo nitakuwa nakula ugali uliochanganywa na maharage ya wazungu ili niwe na akili.
 
Akili za wazungu bwana yaani kitu kinachotumika kwao basi ni bora kuliko vya wengine. Hivi hivyo vyakula wanavyotumia ndivyo viliwapa akili nyingi sana za kuanza kuoana jinsia moja? Any way tuwaache baada ya miongo 5 vizazi vyao vitapungua maana watakuwa hawazaliani. Akili zao mi nazishangaa. Ujinga ndo wanaona welevu.
 
siwezi kula vyakula vya wazungu halafu kesho yake niamke nililie haki ya kuolewa na mwanaume mwenzangu! Ukila hiyo ngano ya Wamarekani lzm masaburi yanyevue nyevue hence unakuwa punga! Ugali ndo kila kitu! Tena ugali wa ulea na lidelele mix up na sabola we acha tu
 
siwezi kula vyakula vya
wazungu halafu kesho yake niamke nililie haki ya kuolewa na mwanaume
mwenzangu! Ukila hiyo ngano ya Wamarekani lzm masaburi yanyevue nyevue
hence unakuwa punga! Ugali ndo kila kitu! Tena ugali wa ulea na lidelele
mix up na sabola we acha tu

Hahahahahhaha....mkuu you've made my day..
 
siwezi kula vyakula vya wazungu halafu kesho yake niamke nililie haki ya kuolewa na mwanaume mwenzangu! Ukila hiyo ngano ya Wamarekani lzm masaburi yanyevue nyevue hence unakuwa punga! Ugali ndo kila kitu! Tena ugali wa ulea na lidelele mix up na sabola we acha tu
kuna mkoa mmoja wenyeji wake hawali ugali bali ndizi na vyakula vingine legelege. Cha ajabu ni kwamba ushoga pia uko juu kwenye mkoa huo!!!. Somo: Ugali- hasa wa dona- ni sumu ya ushoga!!!
 
Marekani mahindi
hutumika kama chakula cha mifugo kwa 80% 20% for fuel(ethanol) and for
export inasemekana utumiaji mkubwa wa nafaka za maindi hupelekea akili
kuwa pumbafu hvyo uwezo wa kung'amua mambo huwa mdogo

Mkuu. Nijuavyo mimi, ukila ugali wa mahindi yaliyokobolewa hapo unakuwa unajaza tumbo tu, kwa sababu vile viini ambavyo vina protein, fat, other vitamiz, vinakuwa vimetoka.
Lakini ukila ugali wa dona, hapo hakuna tatizo. Ndio maana kwa kuona hivyo, kuna ishu ya kitaifa inakuja ya kuweza ku Fortify unga mweupe/uliokobolewa.
Kuna dossing/dosifier itakuwa inafanyika viwandani au kwenye milling machines, ili kuweza ku suppliment upungufu wa virutubisho.
Hivyo virutubisho watakuwa wanatuletea wenyewe wazungu kupitia BASF.
Hatari ninayoiona mbeleni wasije wakatufanya tukawa maanithii au mapungaa....
 
Back
Top Bottom