Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,826
- 2,056
NONDAEcholima.
Huu ndio mchango wako?
Kwa nini umefikia hitimisho kuwa naichukia Marekani?
Nilichofanya mimi ni kudondoa kutoka vyanzo tofauti, video au mada zinanazokushawishi kuwa Marekani wanafanya ugaidi na kusingizia wengine kwa lengo la kutanua himaya yao.
Kama una vyanzo vya taarifa au video, weka hapa na onesha kuwa US hawafanyi ugaidi au hawatanui himaya yao kwa kutumia ugaidi.
Unaelewa maana ya chuki?
Watu wengine hawawezi kuhimili kusikia ukweli.
Hata kwa tafsiri yako kuwa mimi nimeleta mada au mjadala, hakuna ambaye amezuiliwa kuandika maoni yake vile apendavyo. Badala ya kutaka malumbano ya chuki/mapenzi nami ungeweka machango wako kama kuisafisha US au vyenginevyo.Chagua moja kati ya hizo 20 ulizoziona na toa maoni yako.
Kwa mfano, tetea uwepo wa AFRICOM katika nchi za Afrika(Bara la Afrika) au onesha madhahara ya uwepo wake kwa Afrika.
Karibu mkuu.
Nimefatilia sana post zako nyingi sana kama si zote umekuwa mstari wa mbele kuishambulia Marekani na wala si Iran kutaka kukwepa vikwazo ilivyowekewa na Umoja wa mataifa kwa kushawishi meli zake zipeperushe Bendera ya taifa lingine ili kukwepa vikwazo hivyo kusababisha nchi zingine zionekane zinashirikiana nayo kukwepa vikwazo.
Hiyo chuki dhidi ya marekani hujaianza leo nionavyo mimi yawezekana kabisa unaongozwa na hisia fulani sijaona hata post yako moja ambayo unalaani vitendo vinavyofanywa na nchi yoyote utafikiri anayejamba ni Mmarekani peke yake mbona hata wengine hujamba mbona huwasemi??????ila Mmarekani ndiye mwenye Mafyuzi pekee yake lazima na wewe uwe FAIR.
Sitapenda kusema au kukuunga mkono maana wewe huko FAIR unapendelea watu fulani au nchi fulani na unachukia nchi fulani fulani kwa maslahi yako Binafsi keep-it-down.