UGAIDI: Mtanzania ahukumiwa maisha jela New York

Dah yaani me namhurumia mamake manake kila nkimsikia anahojiwa bbc namwona kama mamangu vil, she is so tender and loving. Ni maumivu but we can't control the behaviors of our beloved ones, we can only advise and no more!

Yaani mama yule ananitia huruma kweli! mtoto ni mtoto hata kama kajambazi au muuaji mhhh!... pole zake mama!
 
Pole sana gailan mungu atatuhukumia kwa hawa maadui wa uislam wanao ua watu kujitafutia utajiri kwa njia ya kujitanua kieneo la africa mashariki na dunia kwa ujumla. Ivi kwani gaidi hadi atoke zanzibar? Watanganyika wao sio?

Wengi naona mmemkemea huyu Mtabe, ila kumbukeni ni imani yake inayo mruhusu, yeye anamini yuko kwenye vita vya dini anapigania usilam , yeyete asiye Muislamu ni adui na kuuwawa kwa hao watu miambili na zaidi ni moja ya kupigania usilamu, kwake hilo sio tatizo ni moja ya sijui wanaitaje nadhani ni unapata kitu kama thawabu .

Hapo ndio tofauti ya imani na dhani tunao amini tofauti ,inakua ni ngumu kwetu sisi kumuelewa kwanini haoni ni jambo baya na yeye vile vile ana shangaa kwanini sisi tunashangaa ,mauaji ya wasio na hatia ni jambo tunalo likemea.
 
Kama vipi si wakate rufaa hao mawakili wake. Hii si hukumu ya Dowan kulipwa fidia
 
Pole sana gailan mungu atatuhukumia kwa hawa maadui wa uislam wanao ua watu kujitafutia utajiri kwa njia ya kujitanua kieneo la africa mashariki na dunia kwa ujumla. Ivi kwani gaidi hadi atoke zanzibar? Watanganyika wao sio?

Wewe ni mpumbavu. Maadui wa uislam akina nani na wanautafutia una nini cha maana. Ni sawa na fisi mwoga sijui anaogopa nini wakati akifa hata bacteria hawamtaki. Acha fikra za kibaguzi hizo. Huyo kijana amekiri kwamba aliendesha gazi likiwa limebeba mitungi na vifaa vingine vya kulipulia. Mahakama ilipomuuliza kwamba alikuwa anajua vingetumika kwa kazi gani? Anasema hakujua. Lakini anakiri alibeba vifaa hivyo. Ningekuwa mimi ndiye hakimu ningemmaliza kwa kamba afilie mbali huko. Kuna familia ngapi sasa zipo kwenye mateso kwa kufiwa na ndugu na jamaa zao wakati wa tukio hilo la ugaidi mwaka 1998?
 
Dah yaani me namhurumia mamake manake kila nkimsikia anahojiwa bbc namwona kama mamangu vil, she is so tender and loving. Ni maumivu but we can't control the behaviors of our beloved ones, we can only advise and no more!
Take all these to Rostam Aziz as just a lot could still be in store.
 
pole al-habiib Ghailani.
Ningekupa sapoti kama ungejilipua kwenye Mkutano mkuu wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi ''CCM''.
 
Pole sana gailan mungu atatuhukumia kwa hawa maadui wa uislam wanao ua watu kujitafutia utajiri kwa njia ya kujitanua kieneo la africa mashariki na dunia kwa ujumla. Ivi kwani gaidi hadi atoke zanzibar? Watanganyika wao sio?

Unajua pale ubalozini walikufa Waislamu wangapi???
Uislamu ni imani si utaifa.
 
Pole sana gailan mungu atatuhukumia kwa hawa maadui wa uislam wanao ua watu kujitafutia utajiri kwa njia ya kujitanua kieneo la africa mashariki na dunia kwa ujumla. Ivi kwani gaidi hadi atoke zanzibar? Watanganyika wao sio?
relax wewe hujui hata unachokiongea bana
 
pole al-habiib Ghailani.
Ningekupa sapoti kama ungejilipua kwenye Mkutano mkuu wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi ''CCM''.

Hayo maisha ya Mbongo yalivyo magumu kuna haja gani kupenda kuishi kwa matatizo?
Itakua ndugu zake wanakula battta hadi ....
Ccm ingekua janga la taifa hiyo yake ni bab k@! Lol
Mungu atunusuru.
 
.......Pole yake, kama alifanya kosa basi hii hukumu ni halali yake.
 
Pole sana gailan mungu atatuhukumia kwa hawa maadui wa uislam wanao ua watu kujitafutia utajiri kwa njia ya kujitanua kieneo la africa mashariki na dunia kwa ujumla. Ivi kwani gaidi hadi atoke zanzibar? Watanganyika wao sio?

Hivi kichwani zimo kweli?
 
Pole sana gailan mungu atatuhukumia kwa hawa maadui wa uislam wanao ua watu kujitafutia utajiri kwa njia ya kujitanua kieneo la africa mashariki na dunia kwa ujumla. Ivi kwani gaidi hadi atoke zanzibar? Watanganyika wao sio?

hapa hoja sio dini kwani aliowaua walikuwa hawana dini?
 
Pole sana gailan mungu atatuhukumia kwa hawa maadui wa uislam wanao ua watu kujitafutia utajiri kwa njia ya kujitanua kieneo la africa mashariki na dunia kwa ujumla. Ivi kwani gaidi hadi atoke zanzibar? Watanganyika wao sio?

unashangaza sana gaidi ni matakwa ya mtu binafsi haijalishi ametokea wapi!huwa napata kukereka na comments zisizokuwa na afya kama hii yako mkuu.nisamehe tafadhali kwa kuwa wazi.ni aibu mtu kuwa na mtazamo kama wako
 
mods naomba kuvunja sheria huyu mtabe ananikera natamani kumvunjia heshima.hana adabu ni gaidi ndo maana haoni hasara watu waliokufa anaona uislam na uzanzibar!jamani napata irritation huyu jamaa vipi?we ni .
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom