Ufunguzi wa tawi la CHADEMA UK leo,waislam wamwandikia barua dr Slaa kulalamika.

Status
Not open for further replies.

sina njaa! huku nipo ni tatu asubuhi swaum sio kali! ... forget about muandishi anafikiria nini point ni kwamba kitendo cha kufanya mkutano bar mwezi wa ramadhan chadema hapo wamekosea .. why is it so hard to swallow your pride na kukubali umekosea ..

Mkuu, hiki chama kinawatu mbumbu kikweli wanashindwa kuelewa 1+1==2, watabaki na wanachama wa kifamilia
 
Kweli cdm imekosea. Sielewi kwanini wanachama wengi wapo upande mmoja[ukristo] haileti picha nzuri. Pengine ule msemo wa padri unaukweli ndani yake WAISLAM AMKEN HAMNA CHENU APO

acheni upumbavu nendeni shule labda uwezo wenu wa kufikiri utapanda; hata baraza la mawazili likifanyikia msikitini bado hamtaridhika!
 
sina njaa! huku nipo ni tatu asubuhi swaum sio kali! ... forget about muandishi anafikiria nini point ni kwamba kitendo cha kufanya mkutano bar mwezi wa ramadhan chadema hapo wamekosea .. why is it so hard to swallow your pride na kukubali umekosea ..
Hapo hata mimi nakubali lakini na nyinyi hata mlipoliona tangazo hamkutaka kuwastua waandaji...ni kama vile mlikuwa mmetegeshea mambo yafanyike halafu muanze kupaka CDM/Slaa matope. Waungwana huwa wanaambiana mapema ukiona mwenzako kateleza. Kama mngelalamika mapema na CDM wangeendelea na mkutano wao bar basi kweli tungejua CDM haiwajali waislam.
 
Na nyie cjui kwanini mnashindwa kuelewa mambo madogo km haya, hivi kila mwanachama akiamua kutanguliza hisia zake za kiimani litafanyika jambo kweli? dini si uislamu tu! kwa mtu muungwana kwenda kwenye mkutano wa chama ulioandaliwa kwenye ukumbi wa bar si kunywa pombe, Mungu hutizama dhamira ya mtu si eneo! hata km imani yangu inanizuia basi hilo ni suala binafsi sana wala hakuna haja kulaumu eti kwa nin mlifanyia mkutano kwny bar! bado unaweza shiriki yale yaliyozungumzwa kwa njia nyingine kama kweli kuna nia! kutokuhudhuria mkutano hakunyimi nafasi nyingine kama mwanachama alikuwa na cha kusema
Haya mambo ya kutaka special treatment ndio yamewafikisha hapo ccm, chama hakiwezi kusimama kwa personal reactions! kupanga ni kuchagua bwana, km siafikikuhudhuria mkutano ulioandaliwa bar just simple naacha kwenda nitahudhuria wakati mwingine.
 
Yaleyaleeee: hiki chama bado kinawatu hawaja komaa, sijui tuanzie wapi kuwafundisha,,,,! endeleeni kujibizana na wanachama wehu
 
lets not critisize himm, tuamgalie hoja yake kama ina mashiko.. kama inamwelekeo tumuunge mkono kana haina tumwelekeze kwa hoja... hili limekuwa tatizo la Pro CDM kucritize tuuu bila kuwa waangalifu.

Jamani kwa maoni yangu naona kuna hoja hapa tifanyie kazi kwani itawakost kitu gani kuakubali makosa na kurekebisha sio tuu kuishi a akina Zitto kazini, Ritz na wengine hii sio haki ya wanchama wa CDM, kila mwanachama ana hali ya kutoa mawazo yake ndion demicrasia please tufunguke tuifanyie analysis hoja yake
asante
x
 
Duh! Hii kali! tena ni tatizo. Kwani hilo tawi linafunguliwa na wanaCDM kweli au.........? vongozi wanaoishi huko wanawajibika kwa hali hiyo. Iwe CDM au CCM,CUF,n.k. kufungua tawi bar ni upuuzi kweli kweli. Kodi kali nini majuu?
 
Kama anajua waandaji wa tukio hilo wako London, na mipango yote ya kufanya mkutano huo inafanyika London na inawahusu watu wa London iweje aandike barua kwa Katibu Mkuu wa taifa? Kama kosa la waandaji linatokana na kutokuwa sensitive la mwandishi ni la kutokuwa makini na kuzingatia mgawanyo wa majukumu. Inawezekana wote wawili wamefanya makosa ya makusudi - ya kutokuwa waangalifu.

Kama siyo ya makusudi basi yatakuwa ni ya uzembe.

MMM mi nadhani huna kosa ulipoweka mkazo wa kuwa na uhakika wa makosa ya mwandishi na kutoweka msimamo wa uhakika juu ya wandaaji.
1. Kwanza mwandishi hajasema aliwasiliana na wandaaji na kwamba walikaidi ombi/pendekezo lake. Kama ingekuwa hivyo basi ungeweza kutoa hoja isiyo na shaka kuhusu wandaaji maana ungeshawaelewa kabisa ni watu wa msimamo gani.

2. Lakini kwa mwandishi ushahidi uko wazi na ni sahihi kutolea hoja inayobeba alama ya uhakika kumhusu. Hamna shaka kuwa mwandishi lazima anajua taratibu za kuwasilisha maoni katika ngazi za utawala wakati wa kusimamia jambo/tukio lolote lile. Badala alijitwisha upofu ambao una ushahidi wa wazi unaoruhusu kutolea hoja inayoashiria uhakika wa upofu wake mwandishi kama ulivyofanya.
Kwa logic hiyo mwandishi ana makosa makubwa kuliko upande wa pili hasa ukiangalia muda aliyotuma taarifa kabla ya tukio kufanyika, maana hajaweka wazi kuwa alichelewa kupata taarifa. Hivyo basi uko sahihi.
 
Mkuu, hiki chama kinawatu mbumbu kikweli wanashindwa kuelewa 1+1==2, watabaki na wanachama wa kifamilia
Mkuu, sio lazima 1+1 iwe = 2, inategemea unajumlisha vitu gani!na huna sababu ya kutokwa mapovu na kuwatukana wanachama wa chama usichokipenda eti ni mbumbu! wala huo sio ustaarabu hata kidogo. Sio kweli kwamba unaloliona wewe ni kosa basi lazima kila mtu aone hivyo! kama ni swala la imani za watu basi kwa mazingira tofauti mtu anahaki kuamua nini afuate na sio kulazimisha kila mtu afuate imani za watu wengine.
 
Kama anajua waandaji wa tukio hilo wako London, na mipango yote ya kufanya mkutano huo inafanyika London na inawahusu watu wa London iweje aandike barua kwa Katibu Mkuu wa taifa? Kama kosa la waandaji linatokana na kutokuwa sensitive la mwandishi ni la kutokuwa makini na kuzingatia mgawanyo wa majukumu. Inawezekana wote wawili wamefanya makosa ya makusudi - ya kutokuwa waangalifu.

Kama siyo ya makusudi basi yatakuwa ni ya uzembe.

MMM mi nadhani huna kosa ulipoweka mkazo wa kuwa na uhakika wa makosa ya mwandishi na kutoweka msimamo wa uhakika juu ya wandaaji.
1. Kwanza mwandishi hajasema aliwasiliana na wandaaji na kwamba walikaidi ombi/pendekezo lake. Kama ingekuwa hivyo basi ungeweza kutoa hoja isiyo na shaka kuhusu wandaaji maana ungeshawaelewa kabisa ni watu wa msimamo gani.

2. Lakini kwa mwandishi ushahidi uko wazi na ni sahihi kutolea hoja inayobeba alama ya uhakika kumhusu. Hamna shaka kuwa mwandishi lazima anajua taratibu za kuwasilisha maoni katika ngazi za utawala wakati wa kusimamia jambo/tukio lolote lile. Badala alijitwisha upofu ambao una ushahidi wa wazi unaoruhusu kutolea hoja inayoashiria uhakika wa upofu wake mwandishi kama ulivyofanya.
Kwa logic hiyo mwandishi ana makosa makubwa kuliko upande wa pili hasa ukiangalia muda aliyotuma taarifa kabla ya tukio kufanyika, maana hajaweka wazi kuwa alichelewa kupata taarifa. Hivyo basi uko sahihi.
 
Uzinduzi wa Tawi la Chadema-London Kwenye Bar mwezi mtukufu wa Ramadhani unatoa tafsir gani kwa watanzania wenye IMAN ya dini ya KIISLAMU juu ya kitendo hiki cha Chama Kikuu cha Upinzani Hapa nchini.?

Waislamu ambao wanaamini kuwa mwezi huu ni mtukufu kwao na hivyo wanauheshimu na kuutukuza kwa kuacha matendo yote yaliyo mabaya lakini pia wanajizuia na kwenda maeneo yenye kutoa ushawishi wa kufanya mabaya kama sehemu zinazouzwa vilevi.

Kwa kitendo chao hiko waislamu waishio london wameamua kumuandikia barua katibu mkuu wa chama hicho kuwasilisha madai yao hayo ambapo pia wameuandikia ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza wakilaani kitendo hiko cha CHADEMA.

Huu ni upuuzi wa mchana kweupe. Wewe unawasemea waislamu gani?. Sioni mantiki yoyote ile, huu ni upuuzi mkuu. Hatuwezi kutumia dini kwenye propaganda za kisiasa ni kuishiwa. Na ukimuona mtu anaanza kuingiza udini au ukabila ujue kuwa amefilisika kisiasa bado kuzikwa tu. Tawi linaweza kufunguliwa popote pale kwani kwenda bar mtu analazimishwa kunywa pombe?. Mbona kuna waislam wengi tu UK wanafanyakazi Supermarkets na wanawauzia watu viti moto na kupanga vitimoto kwenye shelves huku wamefunga?.

Kama suala ni Bar hiyo si hoja maana hata kwa muislam kufunga ukiwa UK utalalamikia pia, Acheni propaganda za kitoto, mi mtu anayetumia dini ku-advance political cause huwa ninamchukia na kumuona kama UKOMA. Maana huyu ni lazima atakuwa na asili ya ubaguzi na ni mbaguzi 'Bigot'
 
wako waliosema ningewasiliana na hao wanaoandaa mkutano Uingereza.kwenye Muundo wa uongozi hakuna pahala ambapo Lema ana nafasi ni mwanachama wa kawaida nendeni kwenye website ya Chadema muone kama eneo linamuonesha Lema .si mbunge wala si afisa wa Chama.
Wewe utakuwa una kaswende ya ubongo wala siyo bure, na hapa ndipo unapothibitisha Inferiolity complex yako. Nyinyi Wapemba ni CCM tu ndio inawalea otherwise tungeshavunja muungano siku nyingi na kuwatandika ndipo mpate akili.
Sina undugu na mpemba hata siku moja, nyinyi kwanza Ulaya hamjitambulishi kama Waytanzania Pumbavui zenu.
 
Kuna kipindi nilikuwa napenda sana kusikiliza Mahubiri ya Kakobe kwenye Television na alikuwa ananivutia sana, lakini siku alipowatangazia waumini wake wake kwamba Sigara ni sumu na pombe ni sumu, kama kuna muumini wake anafanya kazi kwenye kiwanda kimojawapo kati ya hivyo aache kazi mara moja na Yesu atamuonesha kazi nyingine, hiyo ndio ilikuwa siku yangu ya mwisho kumsikiliza kakobe maana nilimuona ni mpuuzi kabisa.

Sasa akili hizi naona zimekosekana kabisa kwa baadhi ya watu wa kitabu, watu wameshabikia mtandio hapa na ukabatizwa jina la Hijab kumbe hawajui kama yule mama mume wake ni mkristo na wanafuga nguruwe, kwao Fatuma ndio ulikuwa Uislamu. hili ni janga.
 
Mkuu, Hii issue mbona ni simple sana mnashindwaje nyie chadema kuielewa??? Location nyingine za mikutano zina wa offend prospective members, baa nimoja wapo. Kama unategemea kuwalenga jamii wenye itikadi zao inabidi murespect itikadi hizo,

Duh! Hii kali! tena ni tatizo. Kwani hilo tawi linafunguliwa na wanaCDM kweli au.........? vongozi wanaoishi huko wanawajibika kwa hali hiyo. Iwe CDM au CCM,CUF,n.k. kufungua tawi bar ni upuuzi kweli kweli. Kodi kali nini majuu?
mkuu nilitaka kuamini hivyo. Lakini unaniambia nini kuhusu haya?

Uzinduzi CCM-Mysore

Mahali ni King Kourt Hotel: Hapa napo panauzwa pombe za aina zote. Haikuwa issue hata kidogo, haikuhusishwa na ubaguzi wa kidini, na organiser ni Mwenyekiti Adam Mzee.

CCM Bangalore kufunguliwa kwa shangwe kubwa

Hapa tawi linafunguliwa Zee Club, na kwenyewe pombe kama kawaida! Organiser Mohamed Kisamfu!

Hakukuwa na mjadala wa kubagua waislamu.

Kwa nini kwa CDM imekuwa issue hii venue ya Bar?

Nakubaliana na suala la muda wa kufuturu. Lakini wangewafahamisha organisers moja kwa moja hili lingetatuliwa tu.

Naona kama double standards!
 
Kuna umuhimu wa kuwa sensitive na imani za watu katika mambo ya siasa. Lakini katika hili naona pia ni kama watu wenye ajenda zao wamevizia ili wapate nafasi hoja wanayoikuza siku zote ipate nguvu. Kutumia dini kufanya waislamu waikatae CDM.

Kama nilivyoeleza hapo juu ninaona kuna double standards, kwa Kiswahili ndio UNAFIKI wenyewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom