Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

Naomi Kaihula Ilala
JJ Mnyika Ubungo
Halima Mdee Kawe
James Binagi, Ukonga
Philip Mugendi, Kinondoni
Anna Komu, Kigamboni
Fred Mpendazoe, Segerea
Dickson Hill Temeke
Regia Mtema, Kilombero (*Mwana JF)
Kisesa, Shinyanga
Alhaji Jaji Mstaafu, wa Tabora
Tundu Lissu
John Shibuda
Nyagawa?
 
Hatimaye Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC) limeanza kurusha matangazo ya moja kwa moja ya uzinduzi wa kampeni ya CHADEMA kutoka viwanja vya Jangwani, leo, Jumamosi, Agosti 28, 2010, kuanzia takriban saa 9.30 alasiri.

Viongozi wote waandamizi wa CHADEMA, wakiwemo wagombea wote, wameonekana, na hivi sasa kuna utambulisho wa wagombea, baadhi yao wakiwa wamepangwa kuzungumza, kama vile Mpendazoe, Shibuda, Tundu Lissu, Halima Mdee, na wengineo, bila kumsahau mgombea Urais Dk. Wilbroad Peter Slaa na mgombea mwenza Mzee Ali Mzee.

Kumekucha!

-> Mwana wa Haki

P.S. Sugu ametambulishwa na "ana nafasi yake maalum".
 
CHARLES lUBALA, kAHAMA
Masanja, Nzega
Buganga, Bukene

. . . . hakika watu ni wengi

Sugu . . . watu wanapiga kelele atambulishwe
 
Wakuu, mambo mengi ya uchaguzi, na chaguzi nyingi zimekuja nikiwa nje ya Tanzania, Juzi ijumaa nimefika Dar, nikafanya ka sensa kangu ka haraka haraka kwa kuuliza wadua mbalimbali katika sehemu za huduma mbalimbali nilipofika, nikianzia na Airport, nilipoenda Beural de Change na kwenye Mobile phone 'Vocha'. katika watu 10 niliowauliza 7 wamesema watamchagua Slaa na 3 Kikwete.

Hivi sasa niko on the way to Jangwani, nipo hapa Sea Boys Internet Cafe Magomeni, To be honest 'Tanzanians have changed' this Uchaguzi will real be different, stay tuned.
 
Du kuna post yangu imepotea.

Boba Makani aliomba siku ya Uchaguzi wamchague Slaa.

Niliona kama amechoka ghafla na ameketishwa chini
 
@Nostradamus ... Aiseeeeeeee.... jua kwamba humu ndani wengine hatutaki spoon feeding... tunaweza kusoma na kuchanganua wenyewe... tafadhari acha kutuhabarisha yale ambayo tunaweza kuyasoma na kuyachambua wenyewe kama hayo ya definition ya ufisadi... Sidhani kama wewe ndie KAMUSI ya kiswahili kwa kutuambia maana ya neno ufisadi hivyo STOP with capital letters... kutuletea kitu ambacho tayari kimekwisha elezewa kwa upana na ni uamuzi wetu kukubali au kutokukubaliana na akina chadema juu hasa ya ufisadi wanaouzungumzia...
 
Sasa Mpendazoe anaongea . . .

CCM isiwatishe wafanyakazi
Serikali inatoa mikopo ya wanafunzi kwa kubaguliwa
Serikali haiwapi waalimu haki yao mpaka wagome
Wazee waliostaafu wananyanyasika
Wafugaji wanaonekana kama si nchi yao
Wanafunzi wa kike shule za kata wanakebehiwa kwa kupata mimba badala ya kuweka mazingira bora
Yakuwapi matendo mema, kwa mapolisi, wauguzi
 
Leo kama tunavyojua wengi wetu kuwa Chadema inafanya ufunguzi wake wa kampeni hapo jangwani jijini Dar. Naomba wadau tupeane taarifa (Breaking News) za kuhusu huo mkutano pamoja na JWTZ, vipi wanarusha midege yao.

Ahsanteni.:violin::violin::juggle:
Mpendazoe anataka watanzania waiasi ccm
 
Serikali ya CCM imeshindwa kutenda mema kwa Raia wake
Wananchi waiasi CCM wakati wa Uchaguzi
Wafanyakazi pia
Viajana Pia
Waalimu

La mwisho, Uchaguzi ndani ya CCM rushwa imetembea.

Serikali ya wala rushwa huabudu matajiri

Siku ya Uchaguzi tuhukumu
 
Kutokana na Rushwa . . .

CCM itapasuka na kufa
Mshahara wa Mauti ni dhambi
rushwa ni dhambi

Nimekuwa Bungeni la Slaa kwa miaka 5
Slaa . . . . tumpe kura za kutosha

Tunao chaguo bora kwa mwaka huu
 
Wote wajitoke kupiga kura ili ushindi upatikane . . .

Mpendazoe kamaliza
 
Mpendazoe kamaliza...sasa anaongea Tindu Lissu, ni full hamasa.....
 
Back
Top Bottom