Ufumbuzi wa kuikomboa tanzania kupitia njia ya siasa hauna matumaini

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Tukiendelea Kujadili Baraza la Mawaziri na Mengine Yanayoendelea Kutokea Inchini Kwetu Tutaona Uwanja wa Siasa Unakuwa Mgumu Zaidi. Tukiangalia Hili Baraza la Mawaziri Tutaona Hawa Walioteuliwa Sio Kutokana na Utendaji Wao Mzuri Hapo Nyuma Ila Jinsi Gani Wanaurafiki na Viongozi Ngazi za Juu CCM. Tukichukulia Hali ya Miasha Ilivyo Sasa Inchini Hawa Mawaziri na Manaibu Wao Wanaingia Kwenye Maofisi Tena Kuendelea Kulinda Back Door Deals na Kuhakikisha Wananchi Wasijue Nini Kinatendeka Ndani ya Hizi Wizara. Kwa Ujumla Wananchi Wengi Tunataka Wabadilishe Utendaji Wao Hasa "Corruptions" na Kuongeza Openness Wizarani Kote. Hatari Nyingine Kubwa ni Kuweka Waziri Katika Wizara Ambapo Hana Experience na Hilo Swala. Hasara Kubwa kwa Wananchi ni Kuona Makosa Makubwa Yakifanyika na Waziri Baadae Kupelekwa Mahakamani na Kujitetea Kwamba Si Yeye Aliesababisha Matumizi Mabaya au Ukosefu wa Ideas Nzuri Kuijenga Inchi Yake. Wengi Tunauhakika Inchi Inazidi Kuharibika na Hakuna Manufaa Yatatokana na Sera za CCM.
Wananchi na Wanajamii Tuendelee Kupressure "Transparency" na Kuonyesha Maovu Inchini. Kikubwa Zaidi Tusukume Uundwaji wa Commission kwa Ajili ya Referendum ya Katiba Mpya ili Inchi Nzima Ipige Kura Mwakani. Kenya Walifanikiwa na Sudan Itafanikiwa January Kwanini Watanzania Tushindwe Hili?
 
A far off I hear a sound of revolution coming!
It is normal routine when diplomatic means fails, and people are persistent on demanding, revolution is unavoidable!

Only God's intervention can stop the storm!
 
Wajanja walishauona kitaambo sana kwamba 'demokrasia' sio lazima itokeshe maendeleo...achilia mbali 'demokrasia iliyochakachuliwa' amayo ndio inatawala huku kwetu.

The so called 'democracy' inaondoa proper query into decision-making on resources which should lead into reason on how we should achieve true development, lakini kinyume chake 'domocrazia' inaangalia wengi wape na wengi watapewa wakitakacho hata kama wanaruka maji kukanyaga mkojo.

Sasa tusilalamike, ukipanda chelewa huezi kuvuna madafu.
 
Nakubaliana na wewe kuwa hali itakuwa ngumu lakini matumaini yetu ni katiba ibadilishwe ili vyama vya siasa viwe ninauwezo sawa katika siasa.Pili wananchi waondokane na wazo kuwa vyama vya siasa vinaweza kuwakomboa watanzania.Watanzania watajikomboa wenyewe kwa kuukata mfumo mzima wa siasa kwa mbinu mbali mbali kama kuundamana na kugoma.Mwisho watanzania lazima tubadilike tukatae kilicho kibaya enzi za baba wa taifa aliyetupa kila kitu zimeisha sasa nienzi za wao kuchukua kila kitu hata uhuru wako !!!!!!
 
Kuikomboa kutoka wapi? kwani hii nchi metekwa? Ni juzi tumepiga kura za kihalali na kidemokrasia na waangalizi wandani na wa nje, AU, UN, wote wamesifu kuwa kura zimeenda shwaaari kabisa. Sasa mimi sikuelewi ukisema tuikombowe?
 
Back
Top Bottom