Ufumbuzi unapogeuka kuwa tatizo

Lakuchumpa

Member
Mar 28, 2012
73
13
Jamani 2mwamini nani watanzania
make wabunge tayar wameisha2geukia.
Mimi nahsi inatosha, katiba mpya lazima impe mpiga kura nguvu na mamlaka ya kumwondoa mbunge madarakani.
Kama hawa walokula fedha Tanesco wakijifanya wana kamati.
 
Back
Top Bottom