Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

True mavi ya Kuku ni chakula kizuri cha nguruwe usiangalie tafsiri ya neno mavi ya Kuku bali nutrients iliyopo kwenye mavi ya kuku
 
Wapendwa mimi ndio nataka kuanza ufugaji ngurue niko mapinga naomba unaidd kwenye whatsapp ya wafugaji nguruwe na mimi nijifunze
 
Naomba ushauri wa ufugaji wa nguruwe.sijui nianzie wapi.nilikuwa naomba ushauri please.
Wewe ni pagani? Au unajiamulia kuishi utakavyo tu?
Je wewe ni mfuasi wa Paulo au Yesu?

Yupo mdau anaitwa Maxkitimoto, mpm huyo akupe maujanja.

Angalizo:
Deuteronomy 14:8 The pig is also unclean; although it has a divided hoof, it does not chew the cud. You are not to eat their meat or touch their carcasses.

Leviticus 11:7 And the pig, though it has a divided hoof, does not chew the cud; it is unclean for you.
 
Mr nonda, don't judge me about my belief.msaada ninaoomba every one can understand apart from you.do yourself a favour, kama unamawazo yakuchangia katika maombi yangu, kaa kimya.
 
Mr nonda, don't judge me about my belief.msaada ninaoomba every one can understand apart from you.do yourself a favour, kama unamawazo yakuchangia katika maombi yangu, kaa kimya.
Ndugu usikwazike. Kukumbushana ni jambo zuri.
 
Back
Top Bottom