Wewe umeona kula nguruwe dhambi lakin wewe unavozini na wake za watu unaona poa, unavosema uongo, kutamani malo za watu ebu acheni unafiki pelekeni imani zenu huko na mtuache na imani zetu ebooo unajidai msafi kumbe mchafu kunuka kila siku unafumaniwaWagalatia someni maandiko yenu.
Haya sikusema Mimi bali Ni BIBILIA ndio inaongea.
Nguruwe msimle; ana kwato zilizogawanyika lakini hacheui; kwenu ni najisi. Kwa sababu wanyama hao ni najisi msile nyama yao wala msiguse mizoga yao (Walawi 11: 7 8).
Agizo hilo limerudiwa katika Kumbukumbu la Shariah 14: 7 8 na pia Isaya 66: 17. Na katika Agano Jipya, Yesu naye amesema kuwa hakuja kutangua shariah na mafundisho ya manabii bali kukamilisha (Mathayo 5: 17). Kwa ibara hiyo ni kuwa Yesu pia aliharamisha ulaji wa nguruwe.
Hata hivyo, Ni Paulo ndiye aliyekuja akaenda kinyume na shariah hiyo kwa kutoa agizo kwa barua aliyowaandikia Warumi:
Basi, usiiharibu kazi ya Mungu kwa sababu ya ubishi juu ya chakula. Vyakula vyote ni halali, lakini haifai kula chakula ambacho kitamfanya aanguke katika dhambi (Waroma 14: 20).
Pia, Katika kuungana na Bwana Yesu, nina hakika kwamba hakuna kitu chochote kilicho najisi kwa asili yake (Waroma 14: 14).
Paulo amesema tena kuwa kila kitu alichoumba Mungu ni chema wala hakuna kinachohitaji kukataliwa (1 Timetheo 4: 3 5).
Paulo Adui wa Yesu na Mpinga Maandiko ya Yesu Ndio aliyewapa Nyie Ruksa ya kula Mpk paka.
Muogopeni Mungu enyi wagalatia.
Kifo hakiko mbali.
Acha unafiki weweUnichoke kwani tumefunga ndoa mimi na wewe?
Mimi kazi yangu kufikisha Ujumbe.
Nyie mchoke msichoke ujumbe ntafikisha tu ili wale wenye kumuogopa Mungu waache kufanya hii mambo ya HARAMU.
Acheni kula nyama Ya Nguruwe. YESU ALIKATAZA. na Ni Machukizo Kwa Mungu mkuu.
Mgalatia nae kachangia hoja hapa!Acha unafiki wewe
Mkuu hizo drinkers nazihitaji kama unaweza kuweka picha yake hapa itakuwa vyema, au unitumie whatsapp. Nakutumia namba yanguTUNAUZA ''DRINKERS'' IMARA NA ZA KISASA ZA NGURUWE. Wasiliana nasi:0625504952
Kama maesabu yangekuwa yanaenda hivyo,basi maskini wangekuwa wachache sanaView attachment 324772
- Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000
- Banda la mabanzi=1,000,000
- Chakula = 1,000,000
- Dawa= 200000
After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100,
mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe
mkubwa ni Tsh 200,000 tu, utapata 4,000,000.
After 2yrs: Nguruwe 100 wanaweza kuzaa 700.Kati ya 700 chagua majike 500,(unaweza kuuza watoto dume ukanunua jike).
Year 3: Nguruwe 500 watazaa watoto 3500, chagua watoto 1500 tu
Kutoka hapo unamentein Number 1500, kila mwaka unaweza kuuza
watoto zaidi ya 3000, na nguruwe wakubwa 1500
1500*200000= Tsh 300,000,000/= kwa mwaka
Nusu ya hiyo pesa ni gharama zingine, unabaki na 150mil.
Welcome to the club
Kabla hujajitumbukiza kaone mifano, au nenda sokoine ukaonane na wataalamu.
Kila mwaka nalima Mahindi, alizeti, maboga ekari 30 kwa ajili ya chakula cha nguruwe tu.
Nakupenda saana mpwa,
==========
USHUHUDA
Epuka kabisa Laana hii.wakuu natamani sana kupata mrejesho kwa ambao wamefanya project hii. Nami najiandaa kuanza. nimeanza kwa kutafuta eneo nimepata heka 4. Ninatafuta makadirio ya gharama za banda kwa sasa maana bei zimebadilika
Unampa hongera Mfuga mnyama anaekula mavi yake mwenyewe?Hongera kwa juhudi zako
Unampa hongera Mfuga mnyama anaekula mavi yake mwenyewe?
Aisee nyie viumbe sijui hamna Roho!
We unajua Nguruwe pia anatokwa damu ukeni km Binaadamu?
Vipi unaweza kumla mnyama km huyu?
Mimi ni mtaalamu wa afya na ni jukumu langu kuwatahadharisha Watu wa nchi yangu madhara ya Nguruwe.Acha Urongo Kahtan.Kama wewe hutumii waachie wanaotumia watumie?
Pili Pili usioila yakuwashia nini ?
Wewe mbona laana yako ya kuzini na wake za watu, kusema uongo, kutamani vya watu, hujaacha acha kujidai msafi bro pua zote zinaamgalia chini wewe umeola dhambi tu kula kitimoto vingine hujaona daah hii movie yako ukifika episode ya kumi naomba izunduliweEpuka kabisa Laana hii.
Yesu alikataza na wewe usije kuingia kwenye laana hii kuu.
Kwanza vipi watu wanakula mnyama anaekula mavi yake mwenyewe?
Dah....
Aisee mna moyo nyie!!
Mkuu uchafu huo uliotaja hapo juu Mimi sifanyi na wala mimi sijadai kuwa ni Msafi au bora kuliko wengine.Wewe mbona laana yako ya kuzini na wake za watu, kusema uongo, kutamani vya watu, hujaacha acha kujidai msafi bro pua zote zinaamgalia chini wewe umeola dhambi tu kula kitimoto vingine hujaona daah hii movie yako ukifika episode ya kumi naomba izunduliwe
Kama ni mtaalamu wa afya mbona maambukizi ya VVU yanaongezeka kila kukicha umesaidia nini taifa katika hili, kipindu pindu kimejazana Dar na mikoan umrefanya nini kuhakikisha umezuia mgonjwa ya Aibu kama haya?? Acha usanii na maigizo ya kujinga mbona ndege bata ni mchafu sana ila nyumbani kwako ndo mboga kuu??Mimi ni mtaalamu wa afya na ni jukumu langu kuwatahadharisha Watu wa nchi yangu madhara ya Nguruwe.
Its not fiction pal. That's the fact.
Soma kidogo tu kuhusu Saratani zinazo sababishwa na nyama ya nguruwe utaona mwenyewe. Wala huna haja ya kunisikiliza mimi.
ingia kwenye mtandao ujionee mwenyewe.
Ahsanta.
Hakuna tiba ya ghafla ktk maradhi ulotaja hapo juu.Kama ni mtaalamu wa afya mbona maambukizi ya VVU yanaongezeka kila kukicha umesaidia nini taifa katika hili, kipindu pindu kimejazana Dar na mikoan umrefanya nini kuhakikisha umezuia mgonjwa ya Aibu kama haya?? Acha usanii na maigizo ya kujinga mbona ndege bata ni mchafu sana ila nyumbani kwako ndo mboga kuu??
Kwa taarifa tu kitimoto inalika mno miaka nenda Rudi na huwezi amin mwenz mtukufu huwa tunakosa wateja mno sijui kwa nini asilimia inapungua ila nadhani kwa sababu msanii wewe huwa unaungana na wale wamchao mungu kikamilifu ili kuficha makucha yako halafu mfungo ukiisha unarudi kambini mkeo na watoto wanahangaika kumpikia love ftari
Funga kwanza ile danguro yakoHakuna tiba ya ghafla ktk maradhi ulotaja hapo juu.
Na moja ya Sababu kuu za Kipindupindu ni Ulaji wa Nyama chafu km hio ya nguruwe.
Na Suala la Kukosa wateja mwezi wa Toba ni kuwa hata Makafiri mwezi huu wanauheshimu sana.
Mabaa mengi yanafungwa na Makahaba pia wanaacha tabia zao mbaya.
Hata wapika pombe za Moshi pia wanaacha.
Ikiwa Waislamu ndio walevi. Makahaba na Wala Nyama ya Nguruwe kiasi Cha kukukosesha wateja mwezi wa Toba inakuwaje tusiwaome wakiyafanya hayo ndani ya miezi 11?
Unapotaka kusema Uongo Jaribu Kuufananisha na Ukweli japo Kidogo.
Acha KUUZA hio Nyama ya Nyamafu. Ni DHAMBI kwa MUNGU na Ni Hatari Kwa AFYA.
Hizi pesa njaa zitakupeleka Pabaya mno kijana.
Badili Biashara fast.