Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Fuga ndugu yangu kama una mtaji wako, maana sasa kilo moja ni Elfu 7 mpaka 10 utajipatia pesa kibwena
 
Mkuu swali lako tata..... ukiulizwa nguruwe wanalipa?? nikijibu wanalipa nini ntakua nimekosea?
 
Mkuu swali lako tata..... ukiulizwa nguruwe wanalipa?? nikijibu wanalipa nini ntakua nimekosea?
sio kwamba utakuwa umeelewa ila unauliza makusudi? Ila nafikiri anamaanisha afuge kwa ajili ya biashara.
 
nataka kuanza biashara ya nguruwe, yaani nifuge then niwe nasambaza mitaani, nachotaka kufahamu wanachukua mda gani kuzaa, wanazaa watoto wangapi, wanakula kiasi gani, magonjwa gani yanawaathiri, etc, etc...
 
wadau nataka nianze ufugaji wa nguruwe wa nyama dsm...sijui chochote kuhusu hawa jamaa ila wanalipa ile mbaya.....give me tips,plz.

Kweli wadau msaidieni huyu jamaa!!

Maana inaonekana kweli hajui chochote kuhusu Nguruwe! Inakuwaje aseme nguruwe wa nyama? Ina maana kuna nguruwe wengine wa Maziwa?
 
Kuna jamaa wameshafanya reaserch na wakapangilia kutokana na faida

1. Ufugaji wa kuku wa kisasa - NO 1
2. Ufugaji wa Nguruwe - NO 3
3. Ufugaji wa Samaki - NO 3

Kwa hiyo mzee jikite ila hakikisha una ka pickup ya kubebea misosi kukusanya kwenye baa na sehemu wanazopika pika misosi kwa wingi - zile left overs zote wewe unakusanya tu.

Kazi ngumu ila pesa nyingi - weka ulinzi kuna vibaka wanaiba hasa wakifikisha kiko 50 za zaidi

Jitahidi kupata mbengu kubwa, unaweza tembelea SUA wanaweza kukuuzia vitoto.
 
Ninakusanya taarifa zitakazo nisaidia kufuga nguruwe ki biashara zaidi. Natamani nijue mambo yafuatayo:
1. Ni breed ipi inazaliana kwa kasi zaidi
2. Ni mchanganyiko upi wa chakula unafaa kwa kukuza haraka nguruwe
3. Nguruwe mdogo/wa kati na mkubwa huwa wanakula wastani wa kilo ngapi kwa siku
4. Upi ni muda mzuri wa kulisha nguruwe
Mwenye taarifa hizi muhimu naomba animwagie data.
 
Hiyo ni biashara nzuri sana. ningekuwa na namba ya fatuma kimaro ningekupatia maana inaonekana wana mbegu nzuri sana ya nguruwe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom