Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

Kama kuna wanaopenda kufuga wanyama hasa Mbuzi ( wa maziwa,nyama),njooni tuunganishe nguvu tufanye mambo.Inawezekana kabisa tukafuga kwa mafanikio sana. Kila kitu kipo ndani ya uwezo wetu.

I believe together we can go.

Some people talk intelligently, writes sweet stories, and keep on dreaming that by only doing that the Earth will become the Paradise! But Malila you are an exceptional generous Tanzanian, you dream high, work harder and consistently to make your imaginations come true. Congratulations and may the Almighty God bless your noble cause.
 
Thanks Bro.

Ktk hili tumeanza,na tayari kipande cha kuanzia tumepata. 2012 january ujenzi unaanza wa nyumba ya meneja wa shamba. Niwashukuru waliotoa ushauri, waliojitolea na kuungana pamoja, karibuni.
 
Kama kuna wanaopenda kufuga wanyama hasa Mbuzi ( wa maziwa,nyama),njooni tuunganishe nguvu tufanye mambo.Inawezekana kabisa tukafuga kwa mafanikio sana. Kila kitu kipo ndani ya uwezo wetu.

I believe together we can go.

Nimependa wazo lako ingawa mimi ni raia mwenye mtaji mdogo, mwenye nia ya kujikita kwenye ujasiliamali, hoja yako inanifaa sana! Je nawezaje kupata nafasi ya kufanya hivyo kwenu?
 
Nimependa wazo lako ingawa mimi ni raia mwenye mtaji mdogo, mwenye nia ya kujikita kwenye ujasiliamali, hoja yako inanifaa sana! Je nawezaje kupata nafasi ya kufanya hivyo kwenu?

Ndio unaweza kupata,

mpaka sasa tumeshapata location murua ya kufugia na mipango ya upanuzi wa site unaendelea. Kipato chako kidogi kisikupe shida kwa sababu hata changu ni kidogo pia, cha msingi ni nia yako kama iko thabiti. Karibu sana.
 
Katika kutafuta ideas ya kufanya biashara nimefikiria ufugaj wa mbuzi kisasa lakin tatzo sijui kiundan mbinu au namna gan hawa mbuz wanapopatikana na wanavyofugwa.hvyo mwenye ujuzi wowote naomba anisaidie
 
tembelea mashamba ya mifugo yaliyo karibu nawe upate maelezo ya aina inayokufaa kufuga kulingana na malengo yako .. lakini uwe mvumilivu kwenye foleni au kama hutaki longolongo nenda kwa wafugaji binafsi watakuuzia. Uzuri wa mbuzi wakisasa wanakua haraka na wengi wanazaa watoto 2 mpk 3 kwa mpigo. Changamoto: wabovu sana kwa kuvunjika miguu na kushambuliwa na magonjwa
 
Me niko dar,mashamba yanapatikana wap ndugu
 
Mbuzi ngapi wataka kufuga wewe?? kama ni chache huna haja na kuhangaika. Nenda sokoni tafuta Mbuzi wazazi anza kazi mradi una uhakika na sehemu ya kuwalaza na chakula, otherwise utaadhirika apo DSM
 
Me niko dar,mashamba yanapatikana wap ndugu

karibu na dar kuna ruvu, mashamba/wafugaji wengine wengi wapo morogoro na karibu vyuo vyote vya mifugo LITI tz. Anza na SUA moro huwa wana products za uhakika.... njia nyingine ulizia vikundi vya wajasiriamali wanaofuga c'se kuna NGOs dodoma na moro zilikuwa zikifadhiri vikundi/mtu kwa kuwapa mbuzi wa kisasa kwa mkataba maalum (ukiwapata wanaweza kukuuzia)
 
Wakuu habari zenu

Natafuta hawa mbuzi wa maziwa nataka niwafuge kwakuanzia nataka jike na dume tu. Naombeni masaada wenu wenye kujua .

1. Wapi naweza pata mbuzi hawa
2. Ni kwa gharama gani
3. Mbegu gani ni nzuri na inayotoa maziwa mengi
4. Nikifanikiwa kuwapata hivi si wanakula majanai kama kawaida au wana matunzo ya ziada?
5. Wanauzwa shilingi ngapi kwa size gani

Nawasilisha wakuu naombeni michango yenu
 
Ok.ok.mimi pia nilikuwa nawatafuta but nimepata mmoja mwenye mimba..juzi juzi tu kimara korogwe, bei zake ni laki na nusu ..sec wanalishwa kama mbuzi wa kawaida.unatengeneza banda la juu..kama futi mbili kutoka chini. Mengine nipm.
 
ok.ok.mimi pia nilikuwa nawatafuta but nimepata mmoja mwenye mimba..juzi juzi tu kimara korogwe, bei zake ni laki na nusu sec wanalishwa kama mbuzi wa kawaida.unatengeneza banda la juu..kama futi mbili kutoka chini..mengine nipm.....
Asante sana kwa utangulizi mzuri WAPI NAWEZA PATA NA MIMI HAO MBUZI?
 
Thanks mkuu.incase mm bado naitaji ukipata pande za mgeta moro nistue, design ya kwangu wanawaita saanen kama sijachemka jina .pia kuna sehemu moja mwika -maring"a kilimanjaro wanao wa aina mbili hao saanen na wale wa mradi wanaitwa mbuzi wa israel..hawa ndio wazuri sana mkuu wanazaaga wawili wawili kwa mzao mmoja.na full kitu maziwa.

Khusu faida from point of view..yalivyo na faida katika utumiaji utaoona ni hasara kuuza..yanasaidia sana wanaume ktk productions of sparms ukitumia haya hakuna tatizo gobore kutoa risasi finyu .wakati wa kumpigia shem cm kwa ajili kumpata dogo..ukitumia kwa muda hata kama ni mzee,unakuwa kama kijana trust me.sec huwezi kupata ugonjwa baridi yabisi.yanaondoa sumu mwilini.impilies to reduce deprression and strees for both man &women.

pia ni chakula kizuri ukiyabadili yakiwa mtindi ukatumia kama chakula ..unakunywa nusu saa kila baada ya milo mitatu kwa siku.walenga hapa ni watu wenye matatizo kama saratani ,h.i.v.na related deaseas..napita tu..zipo kama 18 faida.naomba kuwasilisha wakuu!
 
thanks mkuu.incase mm bado naitaji ukipata pande za mgeta moro nistue, design ya kwangu wanawaita saanen kama sijachemka jina .pia kuna sehemu moja mwika -maring"a kilimanjaro wanao wa aina mbili hao saanen na wale wa mradi wanaitwa mbuzi wa israel..hawa ndio wazuri sana mkuu wanazaaga wawili wawili kwa mzao mmoja.na full kitu maziwa,..kuhusu faida from point of view..yalivyo na faida katika utumiaji utaoona ni hasara kuuza..yanasaidia sana wanaume ktk productions of sparms ukitumia haya hakuna tatizo gobore kutoa risasi finyu .wakati wa kumpigia shem cm kwa ajili kumpata dogo.

Ukitumia kwa muda hata kama ni mzee,unakuwa kama kijana trust me.sec huwezi kupata ugonjwa baridi yabisi.yanaondoa sumu mwilini.impilies to reduce deprression and strees for both man &women.pia ni chakula kizuri ukiyabadili yakiwa mtindi ukatumia kama chakula ..unakunywa nusu saa kila baada ya milo mitatu kwa siku.walenga hapa ni watu wenye matatizo kama saratani ,h.i.v.na related deaseas..napita tu..zipo kama 18 faida.naomba kuwasilisha wakuu!
Aisee asante sana nawahitaji sana ntawasiliana na uncle zangu wako marangu nipate hiyo specie ya israeli
 
Back
Top Bottom