Ufugaji wa Bata Mzinga (Turkeys) unalipa?

jinalako

Member
Apr 8, 2011
56
2
Wadau nimekuwa nikijiuliza kuhusu ufugaji wa bata mzinga (turkeys) nasikia wanauzwa bei ghali. Kuna mwenye uzoefu na mradi wa aina hii? Na je soko lake lipo?
 
Anza na majike wa4 na dume 1

Unalipa ukiwa una nia hasa ya kuwa mfugaji wa bata mzinga. Mimi nilianza na turkey wawili jike na dume. nzao ya kwanza alitaka maya 13 nikamnyang'anya na kuyaweka kwenye incubetor nikamwachia yai moja alalie ili kumpunguzia kihoro maana alikuwa anatafuta mayai yake pale nje alipotaga nikamhamishia ndani ili kumuepusha na kuliwa na wanyama usiku. alitotoa kifafanga chake kimoja nikamnyang'anya mtoto nikamlea pamoja na wale walioanguliwa na mashine.

Baada ya muda mfupi alitaga tena nzao ya pili mayai 14 nikampokonya yote nikaweka kwenye mashine wakaanguliwa watiti wote nikawalea . kwa vile ni wagumu kuwalea vifaranga wa bata walikufa wawili bila kujua ni nini kimewaua, Nililea watoto hao wakawa wakubwa nikawauza kila mmoja sh elfu hamsini, Nikaendelea na kazi yangu ya kumsaidia mama bata kuangua na kulea yeye ikawa kazi yake kutaga tu , ninapokwambia ninalea vifaranga wengine kumi ambao sitarajii kuwauza kwanza ili nijaze banda zima. Kwa picha baadhi ya poultry mama ninaowalea ili watoto nipeleke shambani niliweka kwenye profile yangu FB. Nemyingwa mhina, utajifunza ninavyijitahidi kuwatunza kwa uangalifu mkubwa, maana kuwakuza turkey chicks ni kazi kidogo kwani wanakufa sana.
 
Hebu jaribu kuweka mazingira yanayohitajika kwa mfugaji anayeanza,yaani nini kinahitajika.

Mimi ninao kama 50 hivi. Ni kweli wanalipa ukiwa na ''order'' kwa kuwa Wa-TZ wengi hii nyama ni anasa kwao. Nakushauri uatafute mayai yao umpe kuku alalie halafu ukuze vifaranga. USINUNUE wale wa barabarani wako stressed sana na hii huwaathiri sana katika utagaji mayai na kuyatamia. Ila wanakula sana kwa hiyo usiwe bahili
 
Asante mkuu,
Je utakubali nikutembelee ili kujifunza zaidi?
 
Unalipa ukiwa una nia hasa ya kuwa mfugaji wa bata mzinga. Mimi nilianza na turkey wawili jike na dume. nzao ya kwanza alitaka maya 13 nikamnyang'anya na kuyaweka kwenye incubetor nikamwachia yai moja alalie ili kumpunguzia kihoro maana alikuwa anatafuta mayai yake pale nje alipotaga nikamhamishia ndani ili kumuepusha na kuliwa na wanyama usiku. alitotoa kifafanga chake kimoja nikamnyang'anya mtoto nikamlea pamoja na wale walioanguliwa na mashine. Bbaada ya muda mfupi alitaga tena nzao ya pili mayai 14 nikampokonya yote nikaweka kwenye mashine wakaanguliwa watiti wote nikawalea . kwa vile ni wagumu kuwalea vifaranga wa bata walikufa wawili bila kujua ni nini kimewaua, Nililea watoto hao wakawa wakubwa nikawauza kila mmoja sh elfu hamsini, Nikaendelea na kazi yangu ya kumsaidia mama bata kuangua na kulea yeye ikawa kazi yake kutaga tu , ninapokwambia ninalea vifaranga wengine kumi ambao sitarajii kuwauza kwanza ili nijaze banda zima. Kwa picha baadhi ya poultry mama ninaowalea ili watoto nipeleke shambani niliweka kwenye profile yangu fb. Nemyingwa mhina, utajifunza ninavyijitahidi kuwatunza kwa uangalifu mkubwa, maana kuwakuza turkey chicks ni kazi kidogo kwani wanakufa sana.

Kwa sababu ndio naanza poultry farm, ningependa kuwatembelea wafugaji wa bata hawa ili nijifunze kwa vitendo. Je naweza kutembelea banda lako?
 
Changamoto zake, kama magonjwa, vyakula, n.k. Naomba unijuze tafadhali.
 
hiii imenikumbusha mbali tulikuwa nanjirani utotoni alikuwa anawafuga kwa wingi sana na alikuwa anauza mayai,
imeniletea nami kuanza kuwafuka
 
Unalipa ukiwa una nia hasa ya kuwa mfugaji wa bata mzinga. Mimi nilianza na turkey wawili jike na dume. nzao ya kwanza alitaka maya 13 nikamnyang'anya na kuyaweka kwenye incubetor nikamwachia yai moja alalie ili kumpunguzia kihoro maana alikuwa anatafuta mayai yake pale nje alipotaga nikamhamishia ndani ili kumuepusha na kuliwa na wanyama usiku. alitotoa kifafanga chake kimoja nikamnyang'anya mtoto nikamlea pamoja na wale walioanguliwa na mashine.

Baada ya muda mfupi alitaga tena nzao ya pili mayai 14 nikampokonya yote nikaweka kwenye mashine wakaanguliwa watiti wote nikawalea . kwa vile ni wagumu kuwalea vifaranga wa bata walikufa wawili bila kujua ni nini kimewaua, Nililea watoto hao wakawa wakubwa nikawauza kila mmoja sh elfu hamsini, Nikaendelea na kazi yangu ya kumsaidia mama bata kuangua na kulea yeye ikawa kazi yake kutaga tu , ninapokwambia ninalea vifaranga wengine kumi ambao sitarajii kuwauza kwanza ili nijaze banda zima. Kwa picha baadhi ya poultry mama ninaowalea ili watoto nipeleke shambani niliweka kwenye profile yangu FB. Nemyingwa mhina, utajifunza ninavyijitahidi kuwatunza kwa uangalifu mkubwa, maana kuwakuza turkey chicks ni kazi kidogo kwani wanakufa sana.
Heshima yako mkuu...naweza pata mbegu toka kwako? Kama inawezekana naomba niPM
 
Unajua kweli kulea! Lakini mbona nasikia ulikimbia mke na watoto?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom