Ufugaji na kilimo unalipa sana

Kaka nashukuru sana je naweza pata mawasiliano yako ili niweze kuwasiliana nawe kwa msaada zaidi

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Salama wakuu.
Tangu nianzishe hii thread nimepokea msg nyingi toka kwa wadau na wengine wametembelea shambani kwangu pia na wengine wameshaanza project zao.Nashukuru kwamba post hii imewa inspire wengi NA NIMEKUWA MSAADA KWA WENGI!
MASIKA HII IMEKUWA NZURI NA MAZAO YANAENDELEA VEMA KABISA.
NINA IMANI PICHA HIZI ZITAWAHAMISHA WENGI ZAIDI

Hongera sana bwana mdogo kwa jitihada za kuupiga teke umaskini kupitia kilimo. Haya mambo yanawezekana sana tu! Shida ya vijana hata waliosoma kilimo wanalia ajira! Nami niko kwenye sekta hiyo hiyo nina shamba langu kule Kasulu huwa nalima matikiti, miwa, mahindi na mpunga. Mwaka huu nina mpango wa kuanza unenepeshaji wa ng'ombe kwa ajili ya biashara! Tuko pamoja Mkuu!!
 
Ahsante bro Job k.
Kitu ambacho vijana wengi hawajui influx kubwa ya wageni wanawekeza kwenye kilimo.wakenya ,wazungu,wachina etc.
Juzi tu nimepata bahati kukutana na wa thailand ambao wame introduce yellow corn tanzania kwa ajili ya kulisha kiwanda cha chakula cha mifugo,kuna opportunity kubwa kwa wakulima wa tanzania!
 
Ili mpate feel ya shambani see attachment

Update:
Habari wadau!
Kilimo na ufugaji vinaendelea vema kabisa.
1. Du vitimoto wanaongezeka si mchezo. Kwa wanaohitaji mbegu karibu
2. Mavuno ya mahindi alizeti yalikuwa poa kabisa. Mifugo yangu sasa ina chakula cha kutosha
3. Miembe ndo kama hivyo.
Karibuni wenye nia ya kufanikiwa ujasiriamali huu
 
Attachments

  • 20140913_175516.jpg
    20140913_175516.jpg
    283 KB · Views: 368
  • 20140912_150306.jpg
    20140912_150306.jpg
    626 KB · Views: 339
Mbegu hii huzaa watoto wangapi kwa uzao mmoja?
kwa anayehitaji mbegu uko mkoa gani wewe

Update:
Habari wadau!
Kilimo na ufugaji vinaendelea vema kabisa.
1. Du vitimoto wanaongezeka si mchezo. Kwa wanaohitaji mbegu karibu
2. Mavuno ya mahindi alizeti yalikuwa poa kabisa. Mifugo yangu sasa ina chakula cha kutosha
3. Miembe ndo kama hivyo.
Karibuni wenye nia ya kufanikiwa ujasiriamali huu
 
Mbegu huzaa watoto 7-9 uzao wa kwanza,
Watoto 10-14 zao zinazofuata.
Nafugia mikese,morogoro.Naishi dar though!ahsante
 
Mbegu zinapatikana sehemu nyingi tu inategemeana upo wapi.mi nilinunua SUA.kama upo dar wasiliana na amagro,wapo kota za urafiki pale.
Inachukua miaka 2-3 hadi kuanza kuzaa inategemea na matunzo
 
Update:
Habari wadau!
Kilimo na ufugaji vinaendelea vema kabisa.
1. Du vitimoto wanaongezeka si mchezo. Kwa wanaohitaji mbegu karibu
2. Mavuno ya mahindi alizeti yalikuwa poa kabisa. Mifugo yangu sasa ina chakula cha kutosha
3. Miembe ndo kama hivyo.
Karibuni wenye nia ya kufanikiwa ujasiriamali huu

Hongera sana jembe langu, mimi nitakutafuta mda si mrefu kwa ajili ya order ya Piglets. kama utaweza ni pm contact zako nitashukuru pia. well done malafyale
 
Mwakani nitaleta ushahidi humu juu kilimo kinavyoweza kubadili maisha ya kijana wa kiTanzania,
usiogope maswali negative weka chini chukua ushauri wa kitaalamu ungana na watu wenye uzoefu kisha chukua hatua.
 
Back
Top Bottom