Ufisadi: Winning the battle, Losing the war

Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,820
8,886
Nimefuatilia kwa karibu sana huu mjadala wa R. Abraham Mengi na Ndugu R. Azizi kwa ukaribu sana. Kilichonisikitisha siyo malumbano ya hawa wakubwa, bali ni nafasi yetu sisi kama wananchi na wenye nchi hii. Watanzania. Naomba kuuliza, hivi katika haya malumbano: Who is the loser haswa? Watu tumeamua kwa upofu au ujinga wetu kuanza kuchukua sides hapa, mpaka wengine wanatumia haki yao ya kikatiba kuandamana kupinga na kussuport wahusika. I have no problem with that. LAKINI is that what we TANZANIANS breeding in poverty can collectively do to respond to these group of mafias who have decided that poverty is a badge of honour to million of our fellow citizens?

Wengine wameanza kuweka "race card" Too me hili ni jambo la kupigwa vita na watanzania wote..leo hii RA anataka ageuze hii vita eti ni "wazawa dhidi ya wageni" Juzi tumemchambua Karamagi..mbona hakusema ananyanyaswa kwa sababu ya kabila lake. RA amenichefua sana kwa kuonyesha kwamba watu wako against him kwa vile yeye si mweusi. And there are people naively buying this cheap reasoning. Fisadi ni fisadi tuu..awe mweupe, awe mweusi, awe wa kijana...haijalishi.

Hivi kweli..leo Aziz anaweza kusimama mbele ya podium na kutwambia eti Mengi aliifilisi NBC? Surely, Mengi kama alikopa..lilikuwa jukumu la aliyempa hela kumdai au kumpeleka mahakamani....hivi Aziz anafikiri sisi hatunazo? Hata yeye angetuhumiwa "kukopa" I wouldnt "dare him". Nukta. Maana hapo ni jukumu la wahusika.

Nadhani iko haja sisi kama wananchi tukae chini Tujiulize nafasi yetu katika kutafuta suluhu la matatizo ya nchi yetu. Just as fatherhood doesnt end at the conception, even responsible citizenship do not end after casting your vote. We need to do more. Haiwezekani tangu JK aingie madarakani..tumeshuhudia wizi wa raslimali zetu (mwanakijiji anasema urithi wetu) na watu hawa hawa wanaokuja leo kutupa press conference. Na tuko kimya! Surely, lazima ifike point tuache kusingizia "njaa zetu" kwa kussuport ujinga! Sasa hizo njaa zitaisha lini kama hatuzitafutii suluhu ya kudumu?

Haihitaji degree ya Princeton kujua kwamba ROSTAM AZIZ has been involved in ECONOMIC HEIST of our Treasury using our leaders as compradors to systematically loot our resources. Anzia Richmond, EPA, DOWNS nk. Hizi hela zimekwenda and we seem to have forgotten each and everything! Isingekuwa Dr. Slaa au Mwakyembe....kuwa na courage ya kusimama na kusema enough is enough..watanzania tungekuwa kimya tuu tukitegemea serikali iwapeleke kwenye "vyombo vya sheria" Can we really delegate our right and responsbility to be at the battle front to fight for our country?

Wito wangu: Wengi humu tumeshachukua pande.bila kujiuliza athari za maamuzi yetu. Wengine tunaishi DAR...hata umeme hatuna ni wa mgao.., wengi wanaishi kwenye slums humu mjini..taabu tupu! wengi tuna shida mbali mbali..Huko vijijini ndo hatuongelei kabisa..maana umasikini ulio huko..huwezi kuujua mpaka uuone. Nadhani kwanza ni vyema kuestablish nexus ya shida zetu na huu wizi unaofanywa na akina Aziz (I stand by my words: ROSTAM NI MUHUJUMU WA UCHUMI WETU). tunashindwa ku-connect DOWANS na TANESCO waliotufikisha hapa and who was involved. Surely, wote hatuwezi kuwa na mawazo sawa. LAKINI naomba watanzania tujiulize wajibu wetu ni upi katika hii vita dhidi ya ufisadi. Mabadiliko ya kweli yataletwa na sisi wananchi siyo Pinda wala Kikwete.

Inaonekana kuna watu wameshaamua kabisa..haya mambo hayawahusu..wao ni kuangalia TV tuu na kucheka na kuangalia the "winning team" This is WAR not just a small battle of personalities. Watanzania tunahitaji kufika sehemu tufanye maamuzi magumu kwa niaba yetu na watoto wetu/kizazi kijacho. Haiwezekani mpaka leo sisi ni kuwategemea wengine watupiganie.

Otherwise I say we may win the battle against ufisadi and we lose the entire war against the entrenched graft in our system.

Naombeni tujadili ni namna gani tunaweza kujumuika na watu wenye courage ambao wamejitokeza kupigana hii vita ambayo hata serikali tuliyoichagua inaogopa kupigana nao.

Wazo langu la kwanza...tutumie hizi nyaraka za JF ambazo zinafichua maovu na akina Hawa Ghasia wanaomba ziwe protected kama Nyaraka za serikali..tutafute namna ya kufungua public interest litigation kuiomba mahakama itafsiri hili neno rasmi. Whether illigal and economic sabotaging documents can be protected by the law. I as one..nitachanga for this noble cause! We have to start from somwhere. NOW.
 
Well said Masanja,

Nakubaliana na wewe, that we need now to action rather than justing booing at the losers of the war against ufisadi!

Mbali ya kuiomba mahakama itafsiri legal framework & justification ya ''Nyaraka za siri'' kufanywa siri kwa wananchi na wawakilishi wao, hata kama zinahusu kuliangamiza taifa kama zile za EPA, Richmond, Radar etc!, tufikirie pia kuanda petition kama wananchi wenye uchungu na urithi wetu, tuisign na then kuwafungulia mashtaka wote walioshiriki kwa namna moja au nyingine kudhulumu au kutupora urithi wetu!

Hili tulishalijadili kidogo kwenye thread iliyoanzishwa na Petu hapa....unaweza kuangalia hapa...!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/27796-maandamano-ya-kupinga-ufisadi.html

Kwa hili mimi niko ready to support it materially and morally!

Cheers!
 
Inaonekana kuna watu wameshaamua kabisa..haya mambo hayawahusu..wao ni kuangalia TV tuu na kucheka na kuangalia the "winning team" This is WAR not just a small battle of personalities. Watanzania tunahitaji kufika sehemu tufanye maamuzi magumu kwa niaba yetu na watoto wetu/kizazi kijacho. Haiwezekani mpaka leo sisi ni kuwategemea wengine watupiganie.

Hayo maneno hapo juu ni mazito sana kwa wanao itakia mema Tanzania!
 
Tatizo Watanzania wengi wanajali fedha kuliko utu wao.Lakini naamini kuna siku watajitambua.
 
Tatizo Watanzania wengi wanajali fedha kuliko utu wao.Lakini naamini kuna siku watajitambua.

Si dhani kama ni watanzania Wengi labda ungesema watz wachache ndo wapenda pesa za kifisadi na kuuza utu wao!

Watz walio wengi nani wakuwapa pesa kaka?
 
I dont care if anyone here call me a Racist! But I hate these guys, They think they own this country, Huyu Rostam what does he think he is? Mengi kakopa who cares? He will deal with the people from the banks. We are talking about Richmond, Dowans, kagoda, etc. Hizo ni hela za watanzania. It is time for Rostam, and his fellows watanzania mafisadi, tena hao mafisadi wa kitanzania wanasikitisha sana manake hawaionei huruma nchi yao na watanzania wenzao, wajue kwamba we, tanzanians are tired with their dirty games. As you guys said "Enough is Enough"
 
I dont care if anyone here call me a Racist! But I hate these guys, They think they own this country, Huyu Rostam what does he think he is? Mengi kakopa who cares? He will deal with the people from the banks. We are talking about Richmond, Dowans, kagoda, etc. Hizo ni hela za watanzania. It is time for Rostam, and his fellows watanzania mafisadi, tena hao mafisadi wa kitanzania wanasikitisha sana manake hawaionei huruma nchi yao na watanzania wenzao, wajue kwamba we, tanzanians are tired with their dirty games. As you guys said "Enough is Enough"
 
Naombeni tujadili ni namna gani tunaweza kujumuika na watu wenye courage ambao wamejitokeza kupigana hii vita ambayo hata serikali tuliyoichagua inaogopa kupigana nao.

Mimi naona tu-strike nchi nzima kama kweli tutakuwa na nia njema ya kuiokoa nchi yetu kwenye hili janga la UFISADI.
 
Haya yote tunajibiwa sasa, ila hawa manguli wa UFISADI naona ni kiporo, labda wakimbie! Ila watakimbilia wapi?! Wako kama Panya, njia zao ni zile zile, wawekee chambo tu kuwa kuna deal ipo hapa ya kusaini waje...unakamata kiraisi sababu ya uroho wao..
 
Back
Top Bottom