Jatropha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2009
- 1,151
- 199
Mambo ya kifisadi yanayoendelea hapa nchini kwa sasa yana chimbuko la muda mrefu sana, kwa wale waliokuwepo zama za Nyerere ilifikia wakati wakubwa katika Chama na Serikali, katika majeshi n.k wanapofanya ziara mikoani na katika vituo mbali mbali vya kazi ulikuwa ni utamaduni wa ofisa mwenyeji kumtayarisha mkubwa husika mwanamke wa kustarehe naye. Ikumbukwe kwamba mabosi wa wakati huo walikuwa hawawezi kabisa kutongoza wenyewe.
Katika utaratribu huu hata wanafunzi walitumika kuwastarehesha viongozi mbali mbali wa chama na serikali. Kushindwa kumuandalia kiongozi mwanamke ilikuwa na maana kwamba haufai kuwa mkuu wa kitengo husika hata kama ulikuwa mtendaji mzuri wa kazi. Matokeo yake taratibu nchi ikaanza kuenea viongozi na watendaji ambao hawapati madaraka kutokana na utendaji bali ni kutokna na ukuadi!!!!!
Matokeo ya rushwa hii ya ngono ni kuwa na kizazi cha viongozi kutoka ngazi ya shina hadi taifa ambao wamepata madaraka kutokana na umahiri wa ukaadi na siuo utendaji. Na hiki ndio chanzo kikuu cha matatizo ya Tanzania ya leo.
Katika Awamu ya tatu ikavuma kuwa mmoja wa viongozi wandamizi mambo ya nje kazi yek kubwa ni kutanguliza vimwana kabla ya safari za mkubwa.
Hiki ndicho chanzo cha ufisadi mkubwa uliotapakaa nchi nzima!!!!