ufisadi wa mnyika huu hapa

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
[h=6]John Mnyika - Ubungo tangu anachukua Ubunge kupitia Chadema mpaka sasa ana nyumba 10 jijini Dar-es-salaam na kila nyumba tunaijua ilipo leo anazungumzia ufisadi kweli wajinga ndio waliwao...[/h]hii kitu nimekutana nayo facebook.
 
talking about JF being home of great thinkers, did you check the authenticity of this statement or u just simply copied and pasted it here?
 
talking about JF being home of great thinkers, did you check the authenticity of this statement or u just simply copied and pasted it here?

we see many things abt our leaders around us so dont ignore anything u guy.being great thinker doesnt mean making u fool
 
John Mnyika - Ubungo tangu anachukua Ubunge kupitia Chadema mpaka sasa ana nyumba 10 jijini Dar-es-salaam na kila nyumba tunaijua ilipo leo anazungumzia ufisadi kweli wajinga ndio waliwao...

hii kitu nimekutana nayo facebook.
Sasa ufisadi hapo ni upi? fanya uchunguzi uje na takwimu hapa badala ya kukurupuka, hujui Mbunge ana mshahara na anautumia atakavyo ikiwa ni pamoja na kujenga nyumba na kununua magari ili mradi si ubadhirifu..
 
john mnyika - ubungo tangu anachukua ubunge kupitia chadema mpaka sasa ana nyumba 10 jijini dar-es-salaam na kila nyumba tunaijua ilipo leo anazungumzia ufisadi kweli wajinga ndio waliwao...

hii kitu nimekutana nayo facebook.

haina ukweli ni majungu tu hayo! Waje kwa staili nyingine
 
Hivi nini maana ya ufisadi? Mleta mada naomba utusaidie, ili uanze kujicheka mwenyewe. Kwani kumiliki nyumba ni ufisadi? Japo sina uhakika na maelezo yako bt sioni kinachoonyesha ufisadi ktk huo umiliki wa hizo nyumba. Nilitegemea ungetuonyesha namna nyumba zilivyopatikana ili tujue kazipata kihalali au haramu. Otherwisi umepost ujinga, it shows how ignorant u are kiasi cha kutokujua hata maana ya ufisadi.
 
hawa watoto wa facebook wanatujazia upu*zi humu, wewe nawe ni great thinker?
yani source yako ni facebook? BTW, unajua maana ya ufisadi wewe?
 
Hivi kuwa na nyumba 10 ni ufisadi? Kama ni hivi sijui kwa nini tunawataka watanzania wawe wajasiriamali! Tueleze zaidi ili tuone huo ufisadi wake. Hujaeleza amezipataje ghafla ni Fisadi!

Kama ni kweli unazo Mnyika, hongera sana...ikiwa kuna mbinu unaweza kuwasaidia vijana wengi zaidi wafikie pale umefika wasaidie wale watakaokutafuta kwa hili. Usiwape samaki, wape nyavu
 
Hizo nyumba nio ''wake'' au ''majengo''?......hivi mkitumwa hamuwezi kujipanaga vizuri kabla ya kuja hapa JF?....toka lini Facebook infos zikawa credible?.........hujui kuwa huko FB Daudi Balali kafufuka?
 
Back
Top Bottom