Ufisadi wa Mengi ni huu hapa

Status
Not open for further replies.
Kuuza Chai Ni Kupiga Soga na Kuzungumza yale usiyo na Uhakika nayo (Waulize Vijana wa Mlimani). Inaonekana Mkuu Umekurupuka hata hujapiga mswaki ukaweka hilo Tundiko Lako.

Note:JF ni mahali pa watu wanaopenda kufikiri kabla hawajatundika lolote.

BTW Karibu Jamvini kata ishu na siyo Story wala Matukio Mkuu!

Asante

Naam kijana naona anaosha kinywa hadi kitakate asubuhi, anataka kukata bajeti ya kutumia whitedent kutoka kwa mzee mengi..

Kwi kwi kwi..
 
Wacheni kumsulubu MuuzaChai,hivi kosa lake ni lipi ? Au kwa kuwa tu hali yake na umasikini wake ndio mnaoutumilia kumdharaulisha ,si kila mtu anaweza kupata source za habari na ushahidi wa maandishi ,ila hata tetesi zinatosha kabisa kuwa anachokizungumza kina ukweli flani flani,kushindwa kwake kuweka ushaidi isiwe wala isionekane kuwa hakuna tatizo ambalo amekusudia kuliwakilisha.

Kama imeamuliwa kuwa JF ni jukwaa la Jamii ,hivyo yeye kama mwanajamii anayohaki ya kuandika kile anachokiona kimetokea na huenda pengine yaliomkuta hayo aliyokusudia kuyaeleza yametokea kwa ndugu,jamaa au rafiki yake ,sasa kama kuna watu wameamua kufanya haki kwa kila mtu na wana uwezo wa kuyafuatilia mambu ,hao itakuwa jukumu lao kuzamia na kutoa yalioko huko kulikoshutumiwa.

Ila kama wengi mliomtisha na kumdharau Muuza Chai ni wa kabila la Mengi ,ni watu wa karibu na Mengi,mnafaidika na mapato ya Mengi hapo mtakuwa hamtendi wema kwa kumvurumishia maneno Muuza Chai , mnaonyesha ni watu mliojaa dharau kwaq wengine kwa kuwa tu ni masikini na hawana wa kumsikitikia na kueleza shida zao ,kama kujiunga kwa Muuza Chai hapa JF ni katika kuona kuwa JF ni sehemu ya kupeleka kilio Chake na kuona wahusika wanafuatilia malalamiko yake bila ya upendeleo ,kwa nini hutimizi wajibu wako katika kumsaidia Muuza Chai na hoja zake na kumpa kilicho na uhakika ambacho huenda hana uelewa kuliko kuzidi kumtia unyonge ,mwenyewe ametoka huko kwa furaha kuelekea JF na kujipa matumaini kuwa hata Mengi ni fisadi na kueleza kile anachokijua akitumaini haki anayoililia itapigiwa makelele hapa JF ,wacheni kulinda manyang'anyi.
 
Mnajua hawa watu wanatucheka sana. Wao wameshiba nchi ikiharibika watakimbilia kwenye visiwa walivyopeleka hela zetu na familia zao haziwezi kupata shida watakaopata shida ni walalahoi kama muuzachai ambae hana pakwenda ila akitupiwa mfupa anaropoka mambo ya kudhalilisha Mengi. Mengi tangu leo namheshimu kwa ujasiri wake .
 
Wacheni kumsulubu MuuzaChai,hivi kosa lake ni lipi ? Au kwa kuwa tu hali yake na umasikini wake ndio mnaoutumilia kumdharaulisha ,si kila mtu anaweza kupata source za habari na ushahidi wa maandishi ,ila hata tetesi zinatosha kabisa kuwa anachokizungumza kina ukweli flani flani,kushindwa kwake kuweka ushaidi isiwe wala isionekane kuwa hakuna tatizo ambalo amekusudia kuliwakilisha.

Mwiba, unapaswa kubadilisha jina lako kuwa mkalia mwiba ..maana huishi kutuvunja mbavu tulonuna

Hivi mleta thread amekwambia kuwa ni muuza chai na maskini? au alikutumia PM?

Halafu kama mleta thread haleti taarifa yenye uhakika sasa unataka tujadili maono binafsi ya mtu amelala zake huko anakuja kutuletea pumba zake hapa jamvini?
 
nimesema hivi mengi, rostamu. sonia, manji, patel. jeetu, hawa wote ni mafisadi

Wewe kijana wakiume (labda wa kike) una akili nzuri kweli? Kati ya uliyoyataja, ni wapi Mengi kachota pesa za umma kama vile EPA? Hebu nenda kwanza ukakepewe kwa sababu unaonesha hata bei yako ni ndogo kuliko dadapoa. Sina hakika kama umepewa hata chai na vitumbua kabla ya kuja kuweka upupu wako hapa. Mwaka huu haya mapapa (na mbwa wao) yatawaoa wengi tu, labda na wewe harusi yako imefungwa kabla ya sala ya adhuhuri!
 
Mheshimiwa , babu aka kijana wa zamani reginald mengi nani asiejua ufisadi wako. ufisadi wa mengi ni huu hapa.

1: kampuni yake ya vinjwaji hailipi kodi

2: mishahara yake ya ipp media ipo ya ina mbili
a: kuna watu wanaochukua pesa dirishani kila mwezi kwenye baasha tu na wana zaidi ya miaka kumi ya kazi. hawana PAYE wala NSSF

b: kuna watu wanaochukulia mshahara benki na kukatwa shahiri zote yaani PAYE and NSSF ambao hawazidi hata mia ukilinganisha na wafanyakazi ambao kampuni inao

3: TRA hawa audit wala kufatilia mambo ya mengi

mfano halisi mwaka jana alipowachisha kazi watu ilikuwa balaa tupu.

JAMANI SINA NIA MBAYA NA LAKINI HIZI NI TATU KATI TA MATENDO 1000 YA UFISADI YA MENGI NITAENDELEA WIKI IJAYO WIKI END NJEMA

ROSTAM, SOMAIA, MANJI, PATEL, JEETU HAWA NDIO SOURCE YA UMASKINI BONGO BILA KUWASAHAU WENGINE.

UNAPOMNYOOSHEA MWENZIO KIDOLE KIMOJA AMBALIA KWAKO VINGAPI VINAKUNYOOSHEA WEWE

NANI WA KUMFUNGA PAKA KENGELE

Da! we kwanini hukusema mabaya ya MENGI kabla ya kutaja haya mapapa ya UFISADI? hata kama anamabya yake nampongeza kwa UJASIRI wake wa kuwataja na kama kweli wanataka kukimbilia mahakamani kila kitu kitawekwa wazi, zaidi ya dr. Slaa nani mwingine ameweza kukemea maovu ya UFISADI kwenye hili taifa ambalo linameguliwa kwa kasi kubwa hivi??
hapa kuna moja au mawili either umetumwa na hao mapapa pamoja na mtetezi wao mkubwa mama LION(SIMBA) pamoja na yule anayegeuza hili swala ni la ubaguzi wa rangi-Li-PUMBA. na ndio maana hii nchi tunazidi kurudi nyuma we need people who dare for changes not for coruption.
 
nimesema hivi mengi, rostamu. sonia, manji, patel. jeetu, hawa wote ni mafisadi

Wacheni kumsulubu MuuzaChai,hivi kosa lake ni lipi ? Au kwa kuwa tu hali yake na umasikini wake ndio mnaoutumilia kumdharaulisha ,si kila mtu anaweza kupata source za habari na ushahidi wa maandishi ,ila hata tetesi zinatosha kabisa kuwa anachokizungumza kina ukweli flani flani,kushindwa kwake kuweka ushaidi isiwe wala isionekane kuwa hakuna tatizo ambalo amekusudia kuliwakilisha.

Kama imeamuliwa kuwa JF ni jukwaa la Jamii ,hivyo yeye kama mwanajamii anayohaki ya kuandika kile anachokiona kimetokea na huenda pengine yaliomkuta hayo aliyokusudia kuyaeleza yametokea kwa ndugu,jamaa au rafiki yake ,sasa kama kuna watu wameamua kufanya haki kwa kila mtu na wana uwezo wa kuyafuatilia mambu ,hao itakuwa jukumu lao kuzamia na kutoa yalioko huko kulikoshutumiwa.

Ila kama wengi mliomtisha na kumdharau Muuza Chai ni wa kabila la Mengi ,ni watu wa karibu na Mengi,mnafaidika na mapato ya Mengi hapo mtakuwa hamtendi wema kwa kumvurumishia maneno Muuza Chai , mnaonyesha ni watu mliojaa dharau kwaq wengine kwa kuwa tu ni masikini na hawana wa kumsikitikia na kueleza shida zao ,kama kujiunga kwa Muuza Chai hapa JF ni katika kuona kuwa JF ni sehemu ya kupeleka kilio Chake na kuona wahusika wanafuatilia malalamiko yake bila ya upendeleo ,kwa nini hutimizi wajibu wako katika kumsaidia Muuza Chai na hoja zake na kumpa kilicho na uhakika ambacho huenda hana uelewa kuliko kuzidi kumtia unyonge ,mwenyewe ametoka huko kwa furaha kuelekea JF na kujipa matumaini kuwa hata Mengi ni fisadi na kueleza kile anachokijua akitumaini haki anayoililia itapigiwa makelele hapa JF ,wacheni kulinda manyang'anyi.

ha!ha!ha!,Mkuu inamaana karibu wana JF wote waliochangia hapa ni wakabila la Mengi? kama ndio hivyo basi inaonekana huyu bw.Mengi anamtandao mkubwa sana!.
Big up sana wanaJF inaonekana ni jinsi gani mlivyo makini.
 
Tupe facts, sio kusema tu bla bla humu ndani, hatuwezi ku-discus majungu humu ndani.
 
Ila kama wengi mliomtisha na kumdharau Muuza Chai ni wa kabila la Mengi ,ni watu wa karibu na Mengi,mnafaidika na mapato ya Mengi hapo mtakuwa hamtendi wema .

NAUNGA MKONO HOJA!
ikumbukwe kwamba muuzachai hajasimama upande wa kina SUBASH.Ameweka bayana hawa wahindi na huyu mu-iran NDIO CHANZO CHA UMASKINI!

bravo muuza chai!I AM CONVINCED THAT YOU HAVE SEEN THE OTHER SIDE OF LIFE
 
Inawezekana Mengi si safi lakini wachafu ukiwapanga pamoja ataonekana aliyezidi. Mengi japo hajafanya kitu kipya kuwataja hawa jamaa ambao humu tunawafahamu kwa mapana, amekuwa ni mtu wa pekee toka kada ya wafanyabiashara kusema hadharani.

Muzachai tuambie hivi kweli rost am anataka kulipwa shi'ng moja

MAPAPA YA UFISADI YANA RANGI ZOTE RANGI

acha uhuni wewe umetumwa na manji kama wanaccm wa Tabora wakawa hawajui wanachoongea wakatoka nduki.
 
acha uhuni wewe umetumwa na manji kama wanaccm wa Tabora wakawa hawajui wanachoongea wakatoka nduki.

Walionunuliwa ni wengi sana, Nakuunga mkono kabisa MohamedSalum200 nchi yetu kuna watu wa kiala aina ila kundi kubwa zaidi wamelala. Muzachai rudi Jamvini uombe radhi kw Wana JF kwa hicho ulichokiandika kuhusu Mengi. Kama Unauhakika wa ulicho kiandika tupe more details ili tuweze kulizungumza Jambo hili kwa ufasaha zaidi.

Ok Muzachai karibu ndani ya JF, The Home of Great thinkers. Where We Dare to Talk Openly.
 
Msidanganyike, huyo anaejiita MUZACHAI is none other than our own GT by another name!!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom