Ufisadi wa Mengi ni huu hapa

Status
Not open for further replies.

muzachai

Member
Apr 30, 2009
41
16
Mheshimiwa , babu aka kijana wa zamani reginald mengi nani asiejua ufisadi wako. ufisadi wa mengi ni huu hapa.

1: kampuni yake ya vinjwaji hailipi kodi

2: mishahara yake ya ipp media ipo ya ina mbili
a: kuna watu wanaochukua pesa dirishani kila mwezi kwenye baasha tu na wana zaidi ya miaka kumi ya kazi. hawana PAYE wala NSSF

b: kuna watu wanaochukulia mshahara benki na kukatwa shahiri zote yaani PAYE and NSSF ambao hawazidi hata mia ukilinganisha na wafanyakazi ambao kampuni inao

3: TRA hawa audit wala kufatilia mambo ya mengi

mfano halisi mwaka jana alipowachisha kazi watu ilikuwa balaa tupu.

JAMANI SINA NIA MBAYA NA LAKINI HIZI NI TATU KATI TA MATENDO 1000 YA UFISADI YA MENGI NITAENDELEA WIKI IJAYO WIKI END NJEMA

ROSTAM, SOMAIA, MANJI, PATEL, JEETU HAWA NDIO SOURCE YA UMASKINI BONGO BILA KUWASAHAU WENGINE.

UNAPOMNYOOSHEA MWENZIO KIDOLE KIMOJA AMBALIA KWAKO VINGAPI VINAKUNYOOSHEA WEWE

NANI WA KUMFUNGA PAKA KENGELE
 
Lete fact sio blah blah, mbona unasubiri hadi alipue bomu la ufisadi na wewe ndio ulete ya kwake?

Usitake kucheza na akili zetu. Tunataka kwanza kumalizana na Mapapa ndio tuhamie kwa Mengi

Ikiwa Mengi ni fisadi asingethubutu kuamsha fikra za ufisadi.

Kauze chai ulale dogo
 
no thanks

iam tired with wazee. na hawa wote ambao walisoma na kupata degree zao bure na bado their doing nothing. sisi sasa hivi eti tunakopeshwa . NOW WHO MUST BE ENTHUASIAST BETWEEN US AND THEM. probably ni them as every thing was given to them for free. free transport warranty, madaftari,karamu. hawa wazee wanatia uchungu sana.

iko siku watalipa wamefirisi viwanda vyote.
 
nimesema hivi mengi, rostamu. sonia, manji, patel. jeetu, hawa wote ni mafisadi
 
Hii kama ni zile ELEMENTS, basi uzito wake ni sawa na HELIUM. Big job Muzachai
Unaonekana wee mwandishi mzuri na unakipaji.
 
Mheshimiwa , babu aka kijana wa zamani reginald mengi nani asiejua ufisadi wako. ufisadi wa mengi ni huu hapa.

1: kampuni yake ya vinjwaji hailipi kodi

2: mishahara yake ya ipp media ipo ya ina mbili

ROSTAM, SOMAIA, MANJI, PATEL, JEETU HAWA NDIO SOURCE YA UMASKINI BONGO BILA KUWASAHAU WENGINE.
UNAPOMNYOOSHEA MWENZIO KIDOLE KIMOJA AMBALIA KWAKO VINGAPI VINAKUNYOOSHEA WEWE

Join Date: Thu Apr 2009
Posts: 3
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power: 0

Da! Hii kali true true!
Wewe ufisadi wako ni upi? mbona unawanyooshea vidole wote hawa?
 
Heeeeeeeeee vifisadi watoto mmerudi.jamani msiumize kichwa hao walishatumwa wakakimbia wamekuja na majina tofauti....
 
Inawezekana Mengi si safi lakini wachafu ukiwapanga pamoja ataonekana aliyezidi. Mengi japo hajafanya kitu kipya kuwataja hawa jamaa ambao humu tunawafahamu kwa mapana, amekuwa ni mtu wa pekee toka kada ya wafanyabiashara kusema hadharani.

Muzachai tuambie hivi kweli rost am anataka kulipwa shi'ng moja

MAPAPA YA UFISADI YANA RANGI ZOTE RANGI
 
Mheshimiwa , babu aka kijana wa zamani reginald mengi nani asiejua ufisadi wako. ufisadi wa mengi ni huu hapa.

1: kampuni yake ya vinjwaji hailipi kodi

2: mishahara yake ya ipp media ipo ya ina mbili
a: kuna watu wanaochukua pesa dirishani kila mwezi kwenye baasha tu na wana zaidi ya miaka kumi ya kazi. hawana PAYE wala NSSF

b: kuna watu wanaochukulia mshahara benki na kukatwa shahiri zote yaani PAYE and NSSF ambao hawazidi hata mia ukilinganisha na wafanyakazi ambao kampuni inao

3: TRA hawa audit wala kufatilia mambo ya mengi

mfano halisi mwaka jana alipowachisha kazi watu ilikuwa balaa tupu.

JAMANI SINA NIA MBAYA NA LAKINI HIZI NI TATU KATI TA MATENDO 1000 YA UFISADI YA MENGI NITAENDELEA WIKI IJAYO WIKI END NJEMA

ROSTAM, SOMAIA, MANJI, PATEL, JEETU HAWA NDIO SOURCE YA UMASKINI BONGO BILA KUWASAHAU WENGINE.

UNAPOMNYOOSHEA MWENZIO KIDOLE KIMOJA AMBALIA KWAKO VINGAPI VINAKUNYOOSHEA WEWE

NANI WA KUMFUNGA PAKA KENGELE

Kuuza Chai Ni Kupiga Soga na Kuzungumza yale usiyo na Uhakika nayo (Waulize Vijana wa Mlimani). Inaonekana Mkuu Umekurupuka hata hujapiga mswaki ukaweka hilo Tundiko Lako.

Note:JF ni mahali pa watu wanaopenda kufikiri kabla hawajatundika lolote.

BTW Karibu Jamvini kata ishu na siyo Story wala Matukio Mkuu!

Asante
 
Mi naona tumekuwa wepesi kumfukuza muzachai, I am interested in what he has to say. Mengi si malaika wala Mungu mtu, na he is fair game, wacha tusikie what dirt they have on him.
Karibu sana Muzachai, usitishike, ila tunachoomba, utusaidie kuweka vizuri hapa argument zako. Hao waajiri wasiolipa kodi zote ni wangapi, na wanaolipa ni wangapi, kama hailipi kodi tujue ni kampuniipi Bonite? Au? Na una thibitisho zipi?
Lakini kama umejiunga kweli ktuhabarisha karibu sana...
 
Huyu ndiyo Muzachai wetu.
 
Attachments

  • papaa.jpg
    papaa.jpg
    17.7 KB · Views: 49
nimemshauri akakae na baba yake akishamjibu maswali aliyoandika then aje upya hapa jamvini...tatizo vijana wengine wameshaachiwa laana na wazazi
 
enh! waache! mwachee abrought nemz si ndiyo wenyewee! kwa ufisadi aah! tunafatilia sanaa! mpaka kiele we kee! unajua papa ni rahisi kumjua papa mwenzie, sasa mwacheni ataje tu woote hasa wale wa majimbo madogo hadi kule kwenyewe mbelembele enh! kule baharini! eh! walane na tuone yanavyo papatika! aah! wamezoweyaa! UPAPASI KUFWAA! Kabsaa, au syo kaka!
 
Dogo acha kutuuzia chai hapa si mahali pake. Kama TRA hawamfuatilii mengi huo ni ufisadi wa TRA sio Mengi, etc
 
ufisadi utatuvuruga sana maana wao wana pesa za kutuhonga na kujiita wanatabora mungu tuepushe na balaa hili na hata mtoa mada ni matunda ya ufisadi ya walio chukua kitu kidogo!
 
Inasikitisha Jibaba zima linakuja na hoja iliyolipwa na "Isiyo na maana", Hapa unataka kutujengea chuki bure kwani tukikueleza ubaki kusema na kulia. Kwa Kifupi huna hoja MuzaChai acha kununuliwa, hivi unadhani kama hayo unayosema yangekuwa kweli Masha, EL, Manji wangeshingwa kuzungumza na mafisadi wenzao na kummnin'giniza Mengi.
Kwa taarifa yako katika mambo ambayo Mengi ametafutwa nayo ni hayo lakini baada ya kukuta kila kitu clear walitulia wakabaki kumbambikia 'Ohoo anataka kugombea Urais...Ohoo anakula na walemavu kujiandalia njia ya uchaguzi' sasa lete Ushahidi ili tukuone wa maana siyo kutuletea mabirika ya Chai, tena chai yenyewe ya maji ya Mruturutu. KOMA KABISA KUINGIA NA HOJA ZA KUKURUPUKA.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom