Ufisadi wa kutisha waitikisa udom!!.

MCHUMIPESA

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
2,088
257
Ni baada ya kutafuna fedha za ada za wanafunzi(wanachuo) wanazolipiwa na bodi ya mkopo ya elimu ya juu ikishirikiana na benki fulani hapa nchini. source.Gazeti la leo la NIPASHE UKURASA WA 4
 
kuna wanafunzi walifukuzwa kisa walienda kuuliza uongozi uwa wanalipiwa bei gaani na tcu maana walikuwa wanapewa pesa tu bila kuambiwa imebaki kiasi gani...
 
Muulizeni jk ndiye mdhamini wa chuo ila sidhani kama mtapata taarifa zote maana si mnajua ni tawi la mafisadi?
 
tatizo hamna umoja
Mheshimiwa waziri mulugo ameahidi kufuatilia suala hili, lakini pia kumbuka mh waziri kumekuwa na taarifa kuwa wizara yako, fedha na utumishi mmezuia ama kuchelewesha maslahi (salary arreas) ya wahadhari ambao kwa nyaati tofauti hasa kuanzia 2010 walikuwapromoted katika ngazi mbalimbali na walikuwa wakilipwa mshahara wao wa zamani kwa miezi 13 walipokija kulipwa decemba 2011 walilipw daraja moja chini na sasa wanaeleka julai 2012 ambayo wanapaswa kuwa kuwa ngazi ya tatu ya mshahara wao wakati ya pili hawajalipwa kwa maelezo kuwa wizara yako na hazina wange adjust scales hizo chakusikitsha hadi leo wanalipwa chini ya stahiki zao. Je, wanafanya kazi ya wito ama wanakopeshwa na watalipwa ofisi hizo zitzkapoona inafaa?
 
Ufisadi kila mahali yawezekana nia ni kukomba kila kitu. CHUKUA CHAKO MAPEMA (ccm)
 
Udini udini udin, Udom balaaaa, heeee
"Asalam..alek, ndo kila kitu pale, ukinda interview na jamii ya people hao wakati ww ni upande wa "Amen" umeuumia
 
Back
Top Bottom