Ufisadi wa kutisha (BILIONI 5) safari ya Olympic London

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266
Kuna ugomvi mkubwa umeibuka wizara ya michezo na utamaduni ambako kuna maofisa wa ngazi ya juu zaidi ya 20 na wanasiasa wanaotaka majina yao yawepo kwenye hii ziara ambayo wote tunajua hakuna mwanamichezo hata mmoja atakayeleta medali yoyote ile

Lakini pia hapa wizarani kuna fungu kubwa mno limetengwa kwa ajili ya per diem za kulipa hawa maofisa ambao hawahitajiki kwenda huko. Hivi leo kuna majina mengine yameongezwa ili yapelekwe Ubalozi wa UK kwa ajili ya mambo ya kupata visa ya Olympiki lakini wako bize na kuangalia uwezekano wa kwenda kununua malori na makachala kwa ajili ya biashara zao hapa bongo.

Pia katika huu mkao wa kula ambao kama watu hawatokuwa makini balozi wetu huko UK anaweza kutumbukia kwenye shimo kwani yeye anataka kuingizwa kwenye hili dili.

Nitaendelea kuwahabarisha kadri muda unavyokwenda lakini watu wanata wapewe safari ya wiki 2 huko London.

Je, kambi ya Upinzani (waziri kivuli wamichezo wa CHADEMA) watasema neno au watakaa kimya?
 
Ningependa kuongeza tuu kuwa serikali ya Nigeria imesema hakuna waziri atakayekwenda huko London kwenye Olympic na watatuma maofisa 2 tuu wa ngazi ya kati kuiwakilisha nchi yao kwa sababu ya kubana matumizi yasiyo ya maana.

Kama Nigeria wameweza sisi tunashindwa nini?
 
Kuna ugomvi mkubwa umeibuka wizara ya michezo na utamaduni ambako kuna maofisa wa ngazi ya juu zaidi ya 20 na wanasiasa wanaotaka majina yao yawepo kwenye hii ziara ambayo wote tunajua hakuna mwanamichezo hata mmoja atakayeleta medali yoyote ile

Lakini pia hapa wizarani kuna fungu kubwa mno limetengwa kwa ajili ya per diem za kulipa hawa maofisa ambao hawahitajiki kwenda huko. Hivi leo kuna majina mengine yameongezwa ili yapelekwe Ubalozi wa UK kwa ajili ya mambo ya kupata visa ya Olympiki lakini wako bize na kuangalia uwezekano wa kwenda kununua malori na makachala kwa ajili ya biashara zao hapa bongo.

Pia katika huu mkao wa kula ambao kama watu hawatokuwa makini balozi wetu huko UK anaweza kutumbukia kwenye shimo kwani yeye anataka kuingizwa kwenye hili dili.

Nitaendelea kuwahabarisha kadri muda unavyokwenda lakini watu wanata wapewe safari ya wiki 2 huko London.

Je, kambi ya Upinzani (waziri kivuli wamichezo wa CHADEMA) watasema neno au watakaa kimya?

Hao unaotaka wapige mayowe hao wanahitaji taarifa sahihi na ushahidi thabiti. Fuatilia kwa makini ishu nzima kisha tupia mambo hapa JF.
 
Wizara imejigeuza kuwa kamati ya olympics? Na hizo Tsh 5bn ni kwa hao watu ishirini peke yake?
 
Pole. Naona jina lako limeondolewa maana lingekuwepo usingesema
 
  • Thanks
Reactions: UKI
Wakati Wenzenu Kenya wanajipanga kuleta Medali za Dhahabu na Fedha nyumbani ninyi mmekalia kuongeza majina ya maafisa kwenda kubung'aa London, then mrudi bila medali na visingizio kibao ndio maana Mwanariadha mmoja mstaafu alimuambia Bayi kuwa kama kuna mwanariadha yoyote wa TZ atarudi na medali ya dhahabu au ya fedha jamaa (mwanariadha mstaafu) atatembea uchi wa mnyama toka kwake mpaka mnazi mmoja. TZ Aibu, Kuanzia Waziri wa pale Bomu (japo Msomi), Katibu mkuu na maafisa waandamizi wote bomu sidhani kama wana nia ya kweli kuendeleza michezo wako pale kuvizia dili za safari za michezo na kuvusha "mizigo" kama kawaida yao, si mnakumbuka ile ishu ya Bro Shabani "Mzee wa Ngumi"?
 
Hapa waziri wa michezo wa chadema lazima atafanya mambo.subirini muone.hatutaki upumbavu,bayi umekula sana,sasa hii ukila umekwenda na maji,shauri lako usipo zingatia.
 
Kazi kweli kweli we are not serious kwa jambo lolote. hivi hawa wanataka kwenda kufanya nini huko? it shame kwa wizara ambayo wanafunzi wote wamefeli he ndio mambo yaeyale ya shule nzuri ila kuna siro moja tu
 
Kuna ugomvi mkubwa umeibuka wizara ya michezo na utamaduni ambako kuna maofisa wa ngazi ya juu zaidi ya 20 na wanasiasa wanaotaka majina yao yawepo kwenye hii ziara ambayo wote tunajua hakuna mwanamichezo hata mmoja atakayeleta medali yoyote ile

Lakini pia hapa wizarani kuna fungu kubwa mno limetengwa kwa ajili ya per diem za kulipa hawa maofisa ambao hawahitajiki kwenda huko. Hivi leo kuna majina mengine yameongezwa ili yapelekwe Ubalozi wa UK kwa ajili ya mambo ya kupata visa ya Olympiki lakini wako bize na kuangalia uwezekano wa kwenda kununua malori na makachala kwa ajili ya biashara zao hapa bongo.

Pia katika huu mkao wa kula ambao kama watu hawatokuwa makini balozi wetu huko UK anaweza kutumbukia kwenye shimo kwani yeye anataka kuingizwa kwenye hili dili.

Nitaendelea kuwahabarisha kadri muda unavyokwenda lakini watu wanata wapewe safari ya wiki 2 huko London.

Je, kambi ya Upinzani (waziri kivuli wamichezo wa CHADEMA) watasema neno au watakaa kimya?

Ajira kuu wa Tanzania ni Serikali ya Tanzania, Mwizi kuu wa Tanzania ni Mwajiwa wa Serikali ya Tanzania

Mpanga Mishahara ya wafanyakazi wa Tanzania ni Serikali ya Tanzania...

Wizarani watu wamelimbikizwa hakuna cha kufanya ni kupokea mishahara, kufanya misheni, kuiba na kuiba

Wizarani kila mtu anajua bila kula mishahara haitoshi kunufaisha familia, na haianzii chini ni Rais, Mawaziri wote

Wanaila nchi kivyao... hakuna atakayelalama; Vyama Vya Upinzani havina nguvu CCM kila mahali ina miliki nguvu za

Dola kwahiyo haviwezi kufanya chochote.
 
CHADEMA hawawezi kukemea haya mambo kwa sababu wanapata ruzuku kutoka CCM na system inayonyonya wananchi

ukweli ndio huo

nitashangaa sana kama CHADEMA watatoa statement kuhusu gharama za Olympiki
 
JK alishashauriwa juu ya kuwatupia macho hao makatibu wakuu, kuwa wamekuwa wezi, wapiga madili,hawashauriki,wao ndo wababe,wao ndo wenye makampuni yanayoshinda tenda zote kuanzia za stationaries hadi za usafi,lakini wapi hachukui hatua yoyote. Sjui huwa anafanya nini huyu jamaa pale magomeni, halafu watu wakimlalamikia mnawaita chadema,come on! Plz JK phase out hao makatibu wakuu wako,wameishiwa skills za kuongoza hivyo wanazidi kukuharibia tu
 
Back
Top Bottom