Ufisadi wa Kufa mtu TANAPA: Hebu angalia Mkakati ulivyokaa!!

Sio magetini tu, tembelea hizo benki tajwa hapa uone wale jamaa wanaodili na hiz kadi za Tanap wanavokula dollar na kujenga majumba na migari. Ukirudisha kadi na iko na chenchi wao wanalamba kadi inakuwa tupu

Mkuu hiyo kadi ikoje na inafanyaje kazi? Ni kama credit ama debit card au ikoje?
 
Back
Top Bottom