Ufisadi wa hospitali binafsi na mgomo wa ma DR.

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,466
512
Tunapoendelea kusubiri hatma ya mgomo hebu tuangalie huduma binafsi especialy hawa jamaa wa aghakhan. hawa jamaa ni wezi. haiwezekana kumtoa mtoto tumboni jamaa wanachukua milioni 3. kwa huduma zetu za serikali zinavyokuwa mbovu tunazidi kuwatajirisha hawa wahindi ambao wanajifanya ni charity org. hivi wizara haina ceiling price ya huduma za tiba? mtoto wa jamaa yangu alilazwa 4 a week na akafariki lakini jamaa wakaja na bill ya milion 8 na wakakomaa ilipwe ndo tuchukue maiti. hawa jamaa wana jeuri kwasababu hospitali zetu choka mbaya. madaktari jamani wanapoint muhimu sana. hospitali zetu ziboreshwe.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom