Ufisadi wa haki bmtl

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,202
218
Hi,
Sorry fro cross postiong but this is due to my understanding that yo
have got so many ways of postiong this online and make it known to
many people than i do.

Ninaandika haya nikiwa na uchungu sana moyoni kwa kuona jinsi sisi
watanzania wazawa tunavyozidi kunyanyasika na kuonewa na hawa wahindi.
Rejea barua iliyoambatanishwa na email hii ambayo imeandikwa na
kusainiwa na Meneja utumishi wa BMTL.
Hapo kuna kila dalili na harufu kubwa ya ufisadi unaotaka kufanyika
dhidi ya maslahi ya wafanyakazi wa BMTL. Siku hiyo ya kikao, huyo
meneja utumishi mwenyewe alikuwepo kwenye huo mkutano, na ni yeye
mwenyewe alieandika barua na kutuma email kwa wafanyakazi wote
kuwajulisha kuhusiana na mkutano huo.
Mkutano uliendeshwa vizuri kabisa na kwa amani watu wa TUICO
walijieleza kwa ufasaha walijibu maswali ya wafanyakazi vizuri kabisa.
cha kushangaza leo anakuja kusema kulikuwa na maneno ya uchochezi.
Hawa wahindi wa BMTL wamekuwa na kamchezo kabaya ka kunyanyasa
wafanyakazi wazawa kwa kuwakandamiza katika maslahi na haki zao.

kwa wahusika wa TUICO kama mpo na mnasoma hii mijadala fanyeni kila
linalowezekana katika kuwatetea wafanyakazi wanyonge wa bmtl katika
harakati za kutafuta mabadliko. Otherwise tutashawishika kusema kuwa
na hawa TUICO nao ni mafisadi tu, wanajua kuongea tu ila wakihongwa na
wahindi wanakaa kimya.

zipo scenario nyingi sana za kuelezea, ila sitasema sana wala
sitojitambulisha kwa sasa ila nitakapo ona huu mjadala upo hewani,
basi wachangiaji watajitokeza na maoni zaidi na zaidi yataandikwa.

I have tried to disclose my identity, but worry not kuhusiana na haya
nilioandika thats why i have attached the memo, but najua we ni
mtaalamu, try to track me down and contact if u had questions,
otherwise just post it or say something on it then i will personally
call u because i have your number and other contacts informations.
lets save these people for our country sake!

FREEDOM FIGHTER
 
Back
Top Bottom