Ufisadi wa CHADEMA Moshi: Ofisi zote Halmashauri ilikuwa zifungwe kwa wiki nzima!!!

Chadema ni chama cha wanafiki. Hawana jipya kila kukicha kuikosoa serikali ya ccm lakini hawanasura ya kuwa najipya. Hapa wamenasa kwenye tundu bovu. Tutahakikisha tunamwaga sumu hii kwa wananchi wawajue. Hii tisa kumi mshahara wa wilbord silaa. Yeye analiwpwa milioni 10 na mkewe anamshahara
 
Na mkopo wa jumba la Josephine kachukuwa fedha zetu za kodi. Hivi ni lini chadema wamechukuwa leseni ya saccos?
 
Chadema hakuna kitu kinabebwa na wanahabari hasa ile television ya mzee-- na magezeti yanayochapishwa kwenye ile nanii..
 
Hata mimi nimeisikia.Kwakweli mabadiliko ya dhati ynahitajika.Ni suala la mfumo nadhani.

Mkuu hapa umenena. Nchi hii inasumbuliwa na mfumo. Bila kubadili mfumo itakuwa vigumu kupata tunachokitaka. Kama tunaowategemea na wao wanaingia kwenye mkumbo huo basi tuna safari ndefu kufika tunakokufikiria.
 
Kwa hakika ikiwa huo ulikuwa ni mpango wa Hshauri ninaunga mkono kauzibe iliyowekwa na Mhe. Gama.
Ikiwa hili ni kweli tuelezwe fedha hiyo ilikuwa itoke wapi. je ni kodi hii yetu. Kama ndivyo nasikitika kuwa hata kule ambako nafsi ilikuwa inaweka tegemeo wanaelekea kuchumia tumbo. Tunahitaji MFUMO ambao utaweka mambo pasipo kujali ni chama gani au nani maana kwa WATz bado inaonekana njaa ni shida kwa wengi.
 
Haka kaleta taarifa ni katumb..ff!

Kwanza kanatuambia Lawrence Gama, wa wapi huyu? Huyo RC naye kaingilia majukumu ambayo siyo yake bwana kwani ilikuwaje ikapita kwenye bajeti? Ina maana yeye ndo kichwa kuliko wabunge waliopitisha hiyo bajeti? Tumb..ff kabisa, wivu tu kwa hao madiwani mbona wabunge pamoja na miposho yote hiyo bado wanakulamba mlungula? Unafikri angekuwamo kwenye hiyo ziara angepinga? Thubutuuuuu!!!

Naomba madiwani wasisakamwe, wanaoandaa bajeti ni watumishi wa serikali. Kwa hiyo ilionekana kwamba hiyo ziara ni ya muhimu waruhusiwe!!
 
Duhhh! hawajaanza kukopa huko? maana hawa wana mbinu za ajabu.
 
Haka kaleta taarifa ni katumb..ff!

Kwanza kanatuambia Lawrence Gama, wa wapi huyu? Huyo RC naye kaingilia majukumu ambayo siyo yake bwana kwani ilikuwaje ikapita kwenye bajeti? Ina maana yeye ndo kichwa kuliko wabunge waliopitisha hiyo bajeti? Tumb..ff kabisa, wivu tu kwa hao madiwani mbona wabunge pamoja na miposho yote hiyo bado wanakulamba mlungula? Unafikri angekuwamo kwenye hiyo ziara angepinga? Thubutuuuuu!!!

Naomba madiwani wasisakamwe, wanaoandaa bajeti ni watumishi wa serikali. Kwa hiyo ilionekana kwamba hiyo ziara ni ya muhimu waruhusiwe!!
Bwana mdogo tafuta jukwaa la watu wanaojadili utumbo, kule unakostahili.
Posti hii haina kichwa wala miguu!!
 
Katika kile ambacho kingeushangaza umma wa kiTanzania, uongozi WOTE wa Halmashauri ya mji wa Moshi ilijipangia safari ya kwenda Kigali, Rwanda kwa ajili ya matembezi ya kusafisha macho na kuona usafi wa Jiji la Kigali.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Lawrence Gama, ameuwekea kauzibe mpango huo baada ya kuona gharama kubwa na ukosefu wa uwajibikaji kwa maana ya kusudio la kufunga Ofisi karibu zote za Halmashauri ya Moshi kwa wiki nzima au zaidi wakati wa matembezi hayo.

Safari hii ambayo ya ujumbe wa Halmashauri ya Moshi, ina mentality ya kishule shule kwa maana ya excursions, na ingewahusu Madiwani wote pamoja na Meya, wakuu wa Idara wote(pamoja nafikiri na Mkurugenzi), viongozi waandamizi wote kwenye halmashauri.

Jumla ya watu waliojipangia kwenda safari hiyo ni 57( Du! wanaiga wapi hii!!)
Na wote wangelipwa posho nono ya kufikia Tshs milioni 200 kwa hii wiki moja tu!!

Hii Halmashauri inaongoza na Meya Jafari Michael na ina uwingi wa maDiwani wa CHADEMA pengine kuliko halmashauri yoyote nchini.

Meya Jafari Michael(CHADEMA) amesikika Radio One asubuhi hii akilalama kuhusu kuingiliwa na Mkuu wa Mkoa kuhusu safari hiyo.
Ati alikuwa waende "kujifunza usafi" kutoka Kigali-sawa na kumfundisha ng'ombe kutengeneza maziwa!

Haya wana CDM changamoto kwenu na utawala bora, matumizi sahihi ya fedha za mlipa kodi, somo la ufisadi bado kitendawili hata kwa wateule wenu.

Hiki si chama, bali ni UOZO TU. nA NITAWALETEA MADUDU WANLIYOFANYA HUKO kIGOPMA NA DAR, Mtashangaa.

Eti wanataka kushika nchi, kwani Tanzania ni kchwa cha Mwendawazimu.
 
Huyu Meya mwaka 2002 alikuwa ni muuza nafaka katika maeneo ya Kiusa soko.la Juu. He was very troublesome. Hana maono ya kiuongozi wala historia ya kisiasa yenye msingi wa utu na huruma kwa binadamu wenzake.
Nimesoms gazeti moja la leo kuwa huyu Diwani anahusika na mauaji ya kijana mmoja muuza duk mtaani kwake .

Chadema imeshakuwa pango la wanyang'anyi
 
Kama habari hii ni ya kweli, inatoa picha mbaya kwa CDM na taifa kwa ujumla. Hii inaonyesha ni jinsi gani bado wanasiasa wengi wana mawazo ya kujinufaisha binafsi bila kujali itikadi. Tukumbuke kuwa wengi bado wamelewa ile hali mtazamo wa kiCCM wa kufanya kuficha ukweli, kubariki rushwa na ufisadi, kutokuwajibika na mambo kama hayo. CDM inapaswa kulifahamu hili na itoe elimu ya uzalendo, uadilifu na utawala bora kwa viongozi wake kama hatua za muda mfupi. Sambamba na CDM kuelimisha wanachama na viongozi, wazazi na walimu waendelee kufundisha na kusisitiza maana ya uadilifu na uzalendo kama hatua za muda mrefu. Wananchi walioandaliwa kwa jinsi hii ni rahisi kusimamia, kushiriki na kuendeleza utawala bora.

Angalizo: Angalau CDM inajitahidi kuwaengua wale wenye kuonyesha utovu wa nidhamu. Si tumeona kule Arusha jamani?
 
ucwe na mawazo chakavu kwan ccm ikiiba na nyie lazma muibe

Mkuu, kuna kosa gani watu wanapokwenda katika ziara za kujifunza?
Ina maana mpaka unajiunga JF hujawahi kusikia ziara kama hizo?

Hata ndani ya TZ hujawahi kusikia au walau kusoma katika magazeti kuhusu ziara za mafunzo za waheshimiwa madiwani wa halmashauri fulani kutembelea nyingine ili kujifunza?

Acheni ushabiki usio na mantiki.
 
wORKING WITH ccm IL LIKE TALKING WITH godfathER (mARIO pUZO), YOU CANT REJECT HIS OFFER.
 
nawambia ndugu zangu ,ufisadi bwana cyo chama ni m2 ona sasa hapo meya chadema anakuwa fisadi lakini mkuu wa mkoa wa ccm kakataa ufisadi ,nashauri kwene ufisadi tusikiseme chama tumseme mhusika.
alikataa kwa sababu hakuwemo kwenye mpango /mgao huo
 
Hiki si chama, bali ni UOZO TU. nA NITAWALETEA MADUDU WANLIYOFANYA HUKO kIGOPMA NA DAR, Mtashangaa.

Eti wanataka kushika nchi, kwani Tanzania ni kchwa cha Mwendawazimu.
yaelekea una umbea mwingi haya lete tu

ufisadi unafanya na kundi la watu wachache au mtu mmoja kwa manufaa yake binafsi sidhani hata hapa utuambie huu ni ufisadi ili hali kikao kiliamua kwa pamoja na wakapisha bajeti yake

tuanacho hoji hapa ni faida ya hiyo ziara kulingana na umasikini tulionao wa Tz
 
duh,ila inaonekana mchakato ulikuwa wa wazi,taratibu za budget zlifuatwa,mbona wa kagera walienda tena na mkuu wa mkoa,kwan ziara wamepanga madiwan au watumish wa sirikali?hapn ni siasa tu chadema haina mkono,labda tuongelee wingi wa msafara,je ni nan atoke?madiwan ndo wanacontact na wananch moja kwa moja so ni lazma,watendaji wa serikali ndo wapangaj na waamuz,watapangaje na kuamua kwa stori za madiwan?
 
gazeti moja ndiyo gazeti gani limesajiliwa lini hilo gazeti moja ????
Read widely na uwe informed kwa matukio yanayoweza kukugusa.
Hakuna gazeti linaloitwa gazeti moja , na wewe unafahamu hilo.

Huyu Jafari Michael, Meya na Diwani wa CHADEMA, Halmashauri ya mji wa Moshi ameandikwa katika gazeti la Nipashe tarehe 14/9/2012 akikanusha kuhusika na mauaji ya kijana mtaani kwake.
Watu waliomuua huyo kijana ni watu wanaofadhiliwa na Meya mwenyewe, sasa hapo akili mukichwa!
 
Back
Top Bottom