Ufisadi vyama vya siasa

SURNAME

Member
Feb 10, 2011
81
7
Kitendo cha vyama vya siasa kushindwa kupeleka hesabu zao kukaguliwa kinaashiria nini ktk dunia ya uwazi na ukweli?Nilitegemea CCM na Chadema wangekuwa wa kwanza kupeleka hesabu zao.Chama kinashindwa kutoa maelezo ya 1b,itakuweje kikianza kupata rudhuku ya 10b?
 
Mkuu tulisha sema hawa ni birds of the same feathers, wengi wao wanakipiga madongo chama tawala na walitoka huko huko.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom