Ufisadi! Ufisadi?

Saiguran

Member
Mar 7, 2006
14
2
Ni nchi zipi duniani zimefanikiwa kutokomeza ufisadi?

Kwa Tanzania mtu akiiba au kujipatia utajiri wa haraka, ndio anaitwa fisadi, je hawa ambao hawatekelezi majukumu yao ipasavyo tunawaweka wapi?

Tunao viongozi mfano wa Pinda ambaye sijasikia akisemwa kuwa kajitajirisha wala kujikusanyia utajiri, lakini ni mgumu sana kuchukua maamuzi na hatua kwa wale wanaoshindwa kuwajibika, kwa namna hii yeye mwenyewe tunamchukuliaje?
 
Na wewe kama umetumwa vile uje na singo yako, embu idadavue basi tukuelewe
 
ndg zangu wana jf si kanakwamba pinda ni msafi kiasi hicho pia yeye lazima anausika kwa njia moja au nyingine. kwani hana ndugu au maswahiba zake anaoweza kuwa2mia kufanya ufisadi,kama jk anavyo2miwa na maswaiba wake. ukweli utabaki kuwa ni ule ule ya kwamba ccm yote ni ya mafisadi. ndy yangu njoo ujionee mikutano wanayoifanya unaweza kushangaa hata aibu hawaoni jinsi wanavyopaki magari ya kifahari huku wanaowasikiliza ni watu wasioweza kumiliki hata baisikeli,nawaonea sana uruma bibi,babu na mama zetu wanavyovalishwa vitenge na kuchezeshwa ngoma wezao wakila viyoyozi.
mungu waumbue hawa kwani hawana utu
 
Ni nchi zipi duniani zimefanikiwa kutokomeza ufisadi?

Kwa Tanzania mtu akiiba au kujipatia utajiri wa haraka, ndio anaitwa fisadi, je hawa ambao hawatekelezi majukumu yao ipasavyo tunawaweka wapi?

Tunao viongozi mfano wa Pinda ambaye sijasikia akisemwa kuwa kajitajirisha wala kujikusanyia utajiri, lakini ni mgumu sana kuchukua maamuzi na hatua kwa wale wanaoshindwa kuwajibika, kwa namna hii yeye mwenyewe tunamchukuliaje?

umetoka lini jela? inaonekana umetumwa na ha
 
Back
Top Bottom