Ufisadi UDOM

KWETU PAZURI

Senior Member
Oct 14, 2011
161
26
Nyaraka zinaonyesha bodi ya
mikopo ilikabidhi fedha za
wanafunzi kwa chuo tarehe
16/12/2011, lakini hadi leo hii
wanafunzi hawajapewa fedha
zao
 
sio kweli nyalaka haziji na pesa,ndio maana zinatangulia nyaraka mnasaini then zinapelekwa bank na cheki kwa ajili ya kuanza kulipa,mmechoka kusoma na test zimebana mnatafuta sababu
 
Back
Top Bottom