Ufisadi ndani ya Ikulu!

If you cannot eat with them from the same bowl, choma utambi!!!!........Nakumbuka ile speech iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kuhusu mambo mengi la mvuto ni EPA then mwenye nchi akasema ........hata siri isingefichuka, kuna jamaa alichoma utambi.... halafu tena .....kula uliwe...Du kweli misamiati ya kitendawili hiyo!!!

Kwa hakika ni kwamba CAG akiamua kwa dhati kupitia hesabu za serikali kisawasawa na akapewa meno ya kushitaki basi fahamu about 80% ya watumishi watafunguliwa mashtaka na itabidi kuwa na crush programme ya kupata mahakimu wapya maana waliopo hawatoshi na pia mahakama hazitatosha!!! Ni uozo na wizi mtupu!!!
 
Back
Top Bottom