Ufisadi na Uzembe wa Kikwete unaligharimu Taifa

Mzalendo80

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
2,508
1,338
Tukiwa na majonzi ya ndugu zetu walioumia na wengine kupoeteza maisha kwa mabomu yaliolipuka huko Gongo la Mboto wengiene wanasema (kama Mafisadi wa Jeshini wanavyoitwa AJALI) Matatizo yote yanatokana na Kiongozi mzembe asiyetaka kusikiliza au kuambiwa,
1. alijifunza nini katika tukio la Mbagala?
2.Na kama amejifunza alichukuwa hatua gani ili kuzuia tukio jengine kama hilo lisitoke?
3. Ufisadi ulikithiri Jeshini na tender wanazijipa wenye ma-Brig na Gen ndio zinazowatia jeuri na wizi.
4. kulindana kupeana vyeo kwa kujuana kama anavyofanya Mkubwa wao Fisadi Kikwete
5. Serikali ya Mkwere imezidisha ari, kasi na nguvu mpya ya Ufisadi kujilimbikizia mali wao wenyewe.
6. suluhisho ni maanadamano ya kumn'go huyu Nduli Fisadi Kikwete anayelea Ufisadi wote hapa Nchi ndio Itakuwa DAWA ya kumaliza haya matatizo tulionayo
 
Thats the only feasible solution
 
Tulijua tu kuwa baada ya hujuma yenu, kitachofuata ni hicho. Tumewashtukia

Uzembe wenu inakuwaje hujuma? Mbagala nayo ilikuwa hujuma? Ukweli ni kwamba JK na serikali yake wamechemsha, tukio la Mbagala lilitosha kuwa la mwisho. Halafu mnaishia kuunda tume za nini? Kama zina manufaa basi ile iliyoundwa baada ya tukio la Mbagala ilitosha kukomesha kutokea tena kwa tukio la aina hiyo hiyo! Hii siyo serikali makini kabisa na dawa yake ni kuiondoa tu!!!
 
Tulijua tu kuwa baada ya hujuma yenu, kitachofuata ni hicho. Tumewashtukia

Tushazichoka Hizo tume zenu za kupeana ulaji kijanja au kupeana ajira za muda na kuzitafuna kodi za walalahoi kijanja, yakitokea matukio katika nchi hii lazima fisadi kikwete afanye ufisadi wake wa kuunda Tume ili awape ulaji Mafisadi wake. Tumeshawastukia Tume zenu ni za kifisadi maana mwisho wa Tume hakuna jibu mnabakia kimya na kusema ni siri ya serikali, na kama ni siri ya serikali kwanini mnaunda Tume?
 
hujuma hata kwenye hili? huu ni uzembe wa wazi na hakuna la kukwepa. ipo siku tutawawajibisha
 
Kwani Hujui kuwa Tume ndio zinazotumika siku hizi kuwapatia vijakazi wanaomlinda Kikwete kuendelea kufanya Ufisadi Unaunda Tume mwisho wa Siku hakuna jibu wanabakia kuficha ukweli nyuma ya pazia kwa kisingizio cha Siri za Jeshi wakati hiyo Tume imegharimu pesa za walipa kodi. Ufisadi hauishi mpaka ccm iondolewe Madarakani
 
Back
Top Bottom