Ufisadi na Tanzania

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Oct 1, 2011
397
81
Ufisadi unakula nchi yetu na unataka kuimaliza,haya matatizo yote ni matunda ya mdudu ufisadi,mdudu huyu amepelekea hata wafadhili wetu wasiwe na imani na serikali yetu kiasi cha kutoa hela kwa manati.Kwa jinsi hali inavyokwenda ninawasiwasi kuna majanga makubwa zaidi yatakuja.Ni muda mwafaka WATANZANIA tukajadili mambo ya msingi yanayotukabili.Moja ya kitu cha msingi ni kuangalia baada ya JK, nani anafaa kwa Uraisi mwaka 2015?.Taking into consideration all matters concerning corruption.Je ni nani anafaa kuwa mgombea uraisi kwa upande wa CCM ambaye hana doa la ufisadi?.Nimeuliza hivyo kwani karibu kila mtu ndani ya chama tawala amehusishwa kwenye ufisadi.
 
Back
Top Bottom