Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,475
- 39,988
Nadhani, tuelewe kkuwa habari hii si mpya sana tumeshaigusa humu humu JF na wengine tulijenga hoja kuwa mojawapo ya watumishi Bw. Mrisho alitakiwa awe kizimbani kwa mambo yale; tuliandika pia kuhusu kina Apson na Mboma (hawa ndio watu hatari zaidi kwa usalama wa taifa letu na bado wanakodolewa macho!).