Ufisadi mpya karagwe-shule zaendelea kuchomwa

chitambikwa

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
3,941
900
Mwezi wa pili 2011 ilichomwa shule ya Kaisho ambapo ilikuwa ni mda mfupi shule ya sekondary ya nyaishozi kuchomewa bweni.
Leo saa nne asubuhi bweni jingine katika shule ya sekondari kaisho-karagwe limechomwa moto ikiwa ni mwendelezo wa kuchoma mabweni na kuharibu mali za shule hiyo. Chanzo kikubwa ni siasa hasa baada ya mwl/mkuu na timu yake kufukuzwa kwa madai ya ubadhilifu, Nongwa ikaja kwa viongozi wa ccm ambao walikuwa wanafaidika na uwepo wake. Sasa wanaharibu miondombinu ili kupoteza ushaidi na kulipiza kisasi.

Mbunge wa karagwe ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa bodi wa shule hiyo. Bweni limeungua ndani ya sekunde kama 100 tu.
 
yoo mawe!!! hivi twaelekea wapi? kupoteza ushahidi kwa kuchoma shule mambo ya siasa!! hadi kwenye shule za watoto wetu? mkoa huo unasifika sana kwa watoto wenye akili sasa wanatupeleka wapi???
 
Back
Top Bottom