Ufisadi mkubwa Wizara ya Maji

Hata kwa huyu mwandosya?
Kama ni hivi hakuna waziri aliye salama katika serikali ya ******,.
Kuna wakati nafikiria kuwa hawa jamaa wa ccm na liserikali lao wana ajenda ya siri ya kuupukutisha uchumi na rasilimali za watanzania ili chadema/ cuf/ tlp/ nccr itakapotwaa nchi basi isiwe na baho, i don't think kama niko sahihi.
Yaani kila wizara ina madudu. Alafu huyo wanayemwita rais yupo yupo tu kama hayupo.
Watanzania wake up.
Nawaomba wanajamiiforums kusambaza habari hata kwa wale wasioweza kuzifikia. Naamini wengi wetu ni wenyeji wa mikoani hususani vijijini ''information is power''

nahitaji kupata mafunzo ya kujilipua ili niweke historia..................kwanini kama nyumba inateketea baba hachukui hatua? Au hatuna baba, au tumekosa baba jasiri,
nathubutu kusema baba amekosa mwlekeo, hana dira..................... Twahitaji mbadala.
 
hivi kuna wizara hata moja ambayo ni safi? Kuna halmashauri hata moja ya wilaya iliyo safi? Sasa hivi hata wenyeviti wa vijiji na ma VEO wao wanachakachua laki chache wanazopata za ruzuku!

Yaani nchi imeoza mpaka basi yaani; it is disgusting!
 
nchi hii kila wizara, idara,etc. kunarushwa za kufa mtu balaa hili sijui mpaka lini. Mungu tusaidie
 
Reformers please where are you???? wendawazimu wanaimliz tanzani jamani,,,, we have to take serius action huu ni upuuzi kucheza na kodi za watanzani maskini....
 
Wakaguzi wabaini ufujaji pesa za miradi

Mabilioni ya pesa za walipa kodi yayeyuka
Kashfa kwenye ununuzi wa mashangingi 68
Wafadhili watishia kuzuia misaada yao


SOURCE:GAZETI LA KULIKONI LA LEO 19/8/2011 -25/8/2011
Hiyo habari ni ya miaka mitatu au minne iliyopita na hiyo issue ilirekebishwa. Ni habari zimewekwa kulenga budget ya mwaka huu. Ukisoma vizuri ni Wizara ya Maji na Umwailiaji, hakuna wizara kama hii kwa sasa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom